peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 12,828
- 21,461
Mawazo ya ChademaWe jamaa ni wa ovyo sana, no wonder wakenya wanatuzarau ni sababu ya watu kama nyie. Unajua kuna uhusiano gani kati ya mafuta na dollar?
Unajua anayeendesha biashara ya mafuta duniani? Unapompa mama lawama hatukuelewi nia yako punguza siasa kwenye maisha.
Bei ya mafuta ikipanda vitu vyote hupandaMafuta kupanda bei tutamkumbuka mwendakuzimu, ila mchele kushuka bei hadi kilo 1 per 5OO tutamkumbuka nani?
Wakati kipindi Cha Mwendazake, Sukari ilipanda toka elfu moja mpaka 3600.Mafuta kupanda bei tutamkumbuka mwendakuzimu, ila mchele kushuka bei hadi kilo 1 per 5OO tutamkumbuka nani?
Unalinganisha kupanda Kwa bei za mafuta ya petrol na kupanda Kwa mafuta ya Kula na sukari mkuu?Wakati kipindi Cha Mwendazake,Sukari ilipanda toka elfu moja mpaka 3600.
Mafuta ya kula toka tsh. 31000 kwa Lita 10 mpaka 45,000
Ila yakishuka bei vitu vyote havishuki?Bei ya mafuta ikipanda vitu vyote hupanda
Ushetu Lita 2,600 kilichoandikwa hakina uhalisia na bei. Hata hivyo bei imepaa sanaHizi ni bei za leo EWURA mikoa yote
Mpuuzi kweli weweUnalinganisha kupanda Kwa bei za mafuta ya petrol na kupanda Kwa mafuta ya Kula na sukari mkuu?
Jamani vitu vingine sio kuwa ni raisin wenu wanapanga ama nani jamani. Just ask why this or that. In your life please learn to begin with why.Huko uliko bei ya mafuta ya petrol ni Tsh ngapi? Hali imeanza kuwa Tete baada ya kupanda Kwa bei ya mafuta. Hali ikiendelea hivi, tutamkumbuka Magufuli mara kumi . Serikali isipo angali Jambo hili tunaelekea kusiko julikana.