Kioo kinatuonyesha ukweli kwa kiasi gani?

Kioo kinatuonyesha ukweli kwa kiasi gani?

Mirror 🪞



Hello Great thinkers 👋

Kwanza naomba niweke sawa hapa
Kuna mtu aliniuliza kwanini unaandika sana JF ?
Sielewi hapendezwi au lah(?)
Akauliza 👇
Huna kazi?: me nina kazi ✔️
Unalipwa?: Silipwi ❌️
NB:Writing is one of my hobbies ✍️🧠


Nitakua busy sana lakini siwezi kabisa kukosa muda wa kuandika

Imebidi niseme hapa kwa wale pia wanaojiuliza
Licha ya kua nashangazwa na mtu ku judge jambo binafsi kama hili

Kwenye mada 👇

Nimesoma mtandaoni kuhusu uvumbuzi wa kioo lakini nimeshindwa kupata taarifa sahihi ya nani hasa aliyegundua kioo.

Kwa mujibu wa mtandaoni nimeona kwamba kioo kiligunduliwa miaka 8000 iliyopita huko Anatolia, Uturuki.

Then kuna watu wengine waliokuja kuboresha zaidi namna ya kutengeneza kioo mpaka tukafika kwenye vioo tunavyotumia leo

So historia ya kioo ipo hivyo...

Sasa nikajiangalia kwenye kioo changu, nikaona taswira kwenye kioo kilichopo mbele yangu

Chemsha Bongo: 🤔
👇

Nikajiuliza, ikiwa hicho nilichokiona kwenye kioo ni kitu gani hasa?

Mimi ni huyo wa kwenye kioo?
Au mimi ni huyu niliye mbele ya kioo?

Kama ninachoona kwenye kioo ni taswira yangu hiki kioo napaswa kukiamini kwa asilimia ngapi kwamba kinatoa taswira yangu sahihi?

Hivi umewahi kujiangalia kwenye vioo tofauti na ukapata taswira tofauti?

Kuna kioo unaangalia unaona umeonekana hivi ukiangalia kingine unaona tofauti kabisa😅

Hii imekaaja au ni wenge ?

Kama hua unaona taswira tofauti kwenye vioo tofauti sasa ni kioo gani kinatoa taswira yako halisi?

Na mwisho...

Huwa unapata feeling gani ukijiangalia kwenye kioo? 👀
Me👇
Nikijiangalia kwenye kioo hua najisikia raha sana mara nyingi naishia kutabasamu baada ya kuona
Inayodhaniwa kua ni taswira yangu mwenyewe 🤗🤗


ShesRise_1 ✋️
Una miaka mingp mkuu?
Ukiwa over 55 + kioo unakichukia sn...
Sometimes unaona kama ninataka sifa sasa,,
Nikama unachokiona sio wewe
 
Una miaka mingp mkuu?
Ukiwa over 55 + kioo unakichukia sn...
Sometimes unaona kama ninataka sifa sasa,,
Nikama unachokiona sio wewe
55+ 😅😅
Hata 30 sijafika mkuu

Kwanini ukiwa over 55 unachukia sana kioo ?
Mikunjo ya uso au nini imebidi nicheke 😁
 
55+ 😅😅
Hata 30 sijafika mkuu

Kwanini ukiwa over 55 unachukia sana kioo ?
Mikunjo ya uso au nini imebidi nicheke 😁
Uliposema unapenda kioo nikajuwa upo below 30..
55+ kujiangalia kwenye kioo labda salon ukiwa unanyoa..
Wengi hawapendi kioo sababu ya muonekano..
 
Andika tu mwaya unapeperusha bendera ya waandishi wa kike. I can’t even think something to write about 🙆🏻‍♀️😭
1 kwanza nimekumiss sana 🥹
How are you babes🤗


2 Nitaandika sana labda nipigwe ✋️
Na enjoy kuandika na kujadili na watu
Naweza kumaliza siku sijakanyaga Ig maana hakuna vya kusoma wala kuandika

3 changia mada babe sis 😍
Usiondoke hivi hivi

Ya mwisho sijui nilifanyaje kule nikakuta nime dissappear please nafungua come boo🥹
 
1 kwanza nimekumiss sana 🥹
How are you babes🤗

Missing you more kamamaa 🥰 Naendelea vizuri ila nimechoka sana nipo tu hapa sababu napenda mno kuwa JF.
2 Nitaandika sana labda nipigwe ✋️
Na enjoy kuandika na kujadili na watu
Naweza kumaliza siku sijakanyaga Ig maana hakuna vya kusoma wala kuandika
Sahihi kabisa.
3 changia mada babe sis 😍
Usiondoke hivi hivi
Naomba leo niwe msomaji, watu ametiririkaaa wamewezaje kuyajua hayo mambo 🤣 Like where yall reading from?
Ya mwisho sijui nilifanyaje kule nikakuta nime dissappear please nafungua come boo🥹
Nitafanya hivo, siku notice hata. Cheers 🥂
 
Na tunaopenda kioo kupitiliza mmesema tuna matatizo gani vile? Genuine question.

Mi nimefunga kioo kikubwa usawa wa kitanda, nilikuwa naongea na mtu “mpya” nikamwambia nipo najiangalia kwenye kioo, akajibu nitakusaidia upunguze kupenda kioo, i was like what? unisaidie kwani ni tatizo? Akapotezea hiyo mada
 
Missing you more kamamaa 🥰 Naendelea vizuri ila nimechoka sana nipo tu hapa sababu napenda mno kuwa JF.
Naweza kuja kukufanyia massage maa 🤗
Sahihi kabisa.
Wewe na twin mkisema naweza je kupata shaka 🤪
Naomba leo niwe msomaji, watu ametiririkaaa wamewezaje kuyajua hayo mambo 🤣 Like where yall reading from?
Watu humu wanajua mambo ukisoma mtu unaweza kujiona head potato 😅😅
Nitafanya hivo, siku notice hata. Cheers 🥂
Fanya mama ni tie 🔐
Cheers 🔥🔥
 
Na tunaopenda kioo kupitiliza mmesema tuna matatizo gani vile? Genuine question.
Ngoja waje mamy ila si bi mzurii lazima ujiangalie bana 👌
NB: kwenye kupenda kioo wewe ni twin
Mi nimefunga kioo kikubwa usawa wa kitanda, nilikuwa naongea na mtu “mpya” nikamwambia nipo najiangalia kwenye kioo, akajibu nitakusaidia upunguze kupenda kioo, i was like what? unisaidie kwani ni tatizo? Akapotezea hiyo mada
Huyu mtu mpya huyu
Hivi kweli ni mtu wa Mungu 🙄
Kwanini akapotezea hiyo mada 🤣🤣
#Mtu mpya 🔥🔥👌
 
Ndio, UCHAWI unaweza kutumika na kioo.

Kwasababu kioo ni reflection ya nguvu unazozitoa, hivyo yule anaeonekana kwenye kioo ndio wewe.

Kwanini UCHAWI utumike kwenye kioo?

Inategemea na huyo anaefanya UCHAWI anataka nini kutoka kwako, ila kwa nilivyosikia wengi hufanya hivyo ili kupata nguvu ya mvuto au muonekano.

Hivyo mchawi hukupatia zawadi ya kioo ili kuvuna hiyo nguvu kutoka kwako.

Pia waganga hutumia kioo kufanya ramli ambapo humwambia mtu akae mbele ya kioo na kupitia reflection ya hicho kioo huweza kupredict your past and your future. (Sijajua hutumia mechanism Gani lakini hii nilisikia kwa mtu ambaye amekwenda kwa mganga na akafanyiwa hivyo)

Jamaa aliyenipa kile kioo alikua anafanya mambo ya upromoter, udalali na ukuadi wa wale video vixen sijui.

So alinipa kile kioo kwaajili ya kunyoosha mambo yake.

What happened ni kwamba nilikua sipendi kufanya kazi/biashara hata kwenda chuo pia na muda mwingi nilikua natumia kujiangalia kwenye kile kioo.

Untill siku nimeenda church ndio nikaombewa pia Bi mkubwa home aliniotea ndoto mbaya akanipigia simu kuniuliza chumbani kwako kuna Nini?

Nikamtajia vitu vyote akaniambia hicho kioo kitoe pia akaniuliza ulikipata wapi? Nikamjibu Kuna jamaa alikileta kwangu hapo hapo akaniambia tena kipasue.

Also kile kioo kilikua Cha maajabu maana kilifungwa jirani na mlango wa washroom, usiku nikiamka kwenda washroom nilikua naona kinang'aa sana japo taa nimezima. Sikutiliaga maanani sana kwasababu sijawahi kuwa na kioo hapo kabla so kimawazo nikawa nahisi vioo vyote vipo hivyo.

At the end nilikuja kujua kwamba ile nyumba asilimia 60+ ya wapangaji ni washirikina tena ni vijana kabisa. Yaani kuanzia muuza mgahawa alikua anatulisha uchafu😡😡😡.

Pia mmoja alikua ni mganga wa kienyeji, huyu alikua anawaagulia wasanii😂😂😂.

Nyumba ipo Mbezi beach Goig, barabara ya kwenda Baraza la mitihani, nyumba ya tatu kutoka Bagamoyo road.
Mkuu natamani kukuamini
Shida ni kwamba issu za uchawi hua siamini kabisa


Kuna huo uzi hapo ukipata nafasi upitie
 
Nimesoma koote nimekwama hapo
Kwa mke wako anakuambia unatumia uzuri kumdharau!

Hivi ni kweli unafanya hivyo?

Hongera sana kwa watu kutwangana makonde kwa ajili yako
Siwezi kumnyanyasa mwanamke niliyemchagua mwenyewe kwamba ndiye bora kuliko wengine mkuu.

Sema ikitokea sintofahamu za hapa na pale basi yeye hukimbilia maneno hayo wakati mimi sina maana hiyo hata kidogo.
 
Ni physics hiyo, sijui nikuelezeaje kwa kiswahili

Ila unachokiona ni reflection ya mwanga uliokumulika wewe kisha ukatua kwenye plane mirror, so basically kioo kina copy nakupaste muonekano wako kama ulivyo.

Ila kuna aina za vioo,
concave mirror, convex mirror ( hivi hu alter the size and height of object)
na plane mirror ( hiki huonesha object kama ilivyo in terms of height and size)
 
Back
Top Bottom