ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 21,734
- 50,302
- Thread starter
- #141
Umeambiwa then umekubali bila ushahidi 😅😅😁😁Niliambiwa ukijitazama usiku unaweza ona sura ingine na siyo mara 1 kuambiwa hivyo kwahiyo sitaki kabisa ....
ahah hongera mwaya mi siwezi 🤗
Lakini kwa sababu umeambiwa na ukaamini si ajabu ukijiangalia utaona kama sura inatisha kumbe wewe mwenyewe hiyo picha umeitengeneza kwenye akili yako ume paste kwenye kioo 😄😄😄