Kioo kinatuonyesha ukweli kwa kiasi gani?

Kioo kinatuonyesha ukweli kwa kiasi gani?

Mkuu natamani kukuamini
Shida ni kwamba issu za uchawi hua siamini kabisa
😂😂😂 Mkuu wewe wa kishua au hujaishi na watu wengi. Not an insult please!

Binafsi naamini UCHAWI upo na mwingine nimeshuhudia kwa macho yangu ila siamini kwamba mchawi anaweza kunitesa/kuninyanyasa kwa namna yoyote ile.


Kuna huo uzi hapo ukipata nafasi upitie
🤝🤝🙏
 
😂😂😂 Mkuu wewe wa kishua au hujaishi na watu wengi. Not an insult please!

Binafsi naamini UCHAWI upo na mwingine nimeshuhudia kwa macho yangu ila siamini kwamba mchawi anaweza kunitesa/kuninyanyasa kwa namna yoyote ile.


🤝🤝🙏
Mkuu nimeshaandika visa vingi sana kwenye huo uzi wa ShesRise_1 , uchawi ni nadharia lakini ushahidi wa moja kwa moja ndio hakuna.

Visa vyangu mpaka akawa ananiambia ni chai eti, mkorofi huyu 😀
 
Siwezi kumnyanyasa mwanamke niliyemchagua mwenyewe kwamba ndiye bora kuliko wengine mkuu.

Sema ikitokea sintofahamu za hapa na pale basi yeye hukimbilia maneno hayo wakati mimi sina maana hiyo hata kidogo.
Ooh basi anajishtukia tu
Hongera sana kwa tabia nzuri
 
Ni physics hiyo, sijui nikuelezeaje kwa kiswahili

Ila unachokiona ni reflection ya mwanga uliokumulika wewe kisha ukatua kwenye plane mirror, so basically kioo kina copy nakupaste muonekano wako kama ulivyo.

Ila kuna aina za vioo,
concave mirror, convex mirror ( hivi hu alter the size and height of object)
na plane mirror ( hiki huonesha object kama ilivyo in terms of height and size)
Shukran sana mkuu
Karibu tena
Kama kuna zaidi usisite kuongezea
 
😂😂😂 Mkuu wewe wa kishua au hujaishi na watu wengi. Not an insult please!

Binafsi naamini UCHAWI upo na mwingine nimeshuhudia kwa macho yangu ila siamini kwamba mchawi anaweza kunitesa/kuninyanyasa kwa namna yoyote ile.


🤝🤝🙏
Mimi sio wa ki shua hata kidogo
Nimezaliwa kijijini ndani ndani huko

Ila kwangu uchawi unabaki kua theory tu !
 
Mkuu nimeshaandika visa vingi sana kwenye huo uzi wa ShesRise_1 , uchawi ni nadharia lakini ushahidi wa moja kwa moja ndio hakuna.
Mkuu tungekua tunarekodi haya matukio isingekua nadharia, sema ndio hivyo matukio hutokea gafla.

Visa vyangu mpaka akawa ananiambia ni chai eti, mkorofi huyu 😀
Mkuu hawezi kuelewa hivyo vitu😂😂😂
 
Mirror 🪞



Hello Great thinkers 👋

Kwanza naomba niweke sawa hapa
Kuna mtu aliniuliza kwanini unaandika sana JF ?
Sielewi hapendezwi au lah(?)
Akauliza 👇
Huna kazi?: me nina kazi ✔️
Unalipwa?: Silipwi ❌️
NB:Writing is one of my hobbies ✍️🧠


Nitakua busy sana lakini siwezi kabisa kukosa muda wa kuandika

Imebidi niseme hapa kwa wale pia wanaojiuliza
Licha ya kua nashangazwa na mtu ku judge jambo binafsi kama hili

Kwenye mada 👇

Nimesoma mtandaoni kuhusu uvumbuzi wa kioo lakini nimeshindwa kupata taarifa sahihi ya nani hasa aliyegundua kioo.

Kwa mujibu wa mtandaoni nimeona kwamba kioo kiligunduliwa miaka 8000 iliyopita huko Anatolia, Uturuki.

Then kuna watu wengine waliokuja kuboresha zaidi namna ya kutengeneza kioo mpaka tukafika kwenye vioo tunavyotumia leo

So historia ya kioo ipo hivyo...

Sasa nikajiangalia kwenye kioo changu, nikaona taswira kwenye kioo kilichopo mbele yangu

Chemsha Bongo: 🤔
👇

Nikajiuliza, ikiwa hicho nilichokiona kwenye kioo ni kitu gani hasa?

Mimi ni huyo wa kwenye kioo?
Au mimi ni huyu niliye mbele ya kioo?

Kama ninachoona kwenye kioo ni taswira yangu hiki kioo napaswa kukiamini kwa asilimia ngapi kwamba kinatoa taswira yangu sahihi?

Hivi umewahi kujiangalia kwenye vioo tofauti na ukapata taswira tofauti?

Kuna kioo unaangalia unaona umeonekana hivi ukiangalia kingine unaona tofauti kabisa😅

Hii imekaaja au ni wenge ?

Kama hua unaona taswira tofauti kwenye vioo tofauti sasa ni kioo gani kinatoa taswira yako halisi?

Na mwisho...

Huwa unapata feeling gani ukijiangalia kwenye kioo? 👀
Me👇
Nikijiangalia kwenye kioo hua najisikia raha sana mara nyingi naishia kutabasamu baada ya kuona
Inayodhaniwa kua ni taswira yangu mwenyewe 🤗🤗


ShesRise_1 ✋️

Mbona mi ndo naona leo bandiko lako huwa mengine unaandikia wapi mpaka huyo jamaa akakuuliza hivyo? Au anakutaka tu?
 
Lazima ufahamu kwamba vioo vimegawanyika;

Kimoja kinaweza kukukuza na kukufanya uonekane una misuli hivyo kutamani ukaanzishe ugomvi na watu.

Ukifata kioo hiki, utatolewa damu bure kwa kipigo

Kuna kioo kinaweza kuonesha uhalisia wako, hiki ukiambiwa mpenzi hiyo make-up uliyofanya imekuvimbisha uso, kiamini

Utachagua kioo kulingana na matumizi yako
 
Hakuna kitu kama hicho
Nitapoteza muda wangu tu

Mkuu by fact huyu kijana Huwa nakaa nae porini hata miezi mi3.

Kuna siku nikamtania watakusaidia kazi kwa shemeji, akanipa hiyo mbinu alafu kuna siku nikakuta mtu analalamika humu JF.

Yaani ukimtongoza mke wake ukalale nae kamwe hauwezi kusimamisha😂😂😂. Huu uchawi kwangu ni mzuri
 
Na tunaopenda kioo kupitiliza mmesema tuna matatizo gani vile? Genuine question.

Mi nimefunga kioo kikubwa usawa wa kitanda, nilikuwa naongea na mtu “mpya” nikamwambia nipo najiangalia kwenye kioo, akajibu nitakusaidia upunguze kupenda kioo, i was like what? unisaidie kwani ni tatizo? Akapotezea hiyo mada
Binti ondoa shaka kabisa, hakuna tatizo lolote kwenye hilo, hiyo inaitwa visual spatial enhancement na inasaidia sana kuleta utulivu wa akili.
 
Back
Top Bottom