Sharif walid
Member
- Sep 21, 2026
- 96
- 90
Unayemuona kwenye kioo ni ww kwa asilimia kadhaa ila sio 100 kutegemea na mwanga ktk eneo hilo na kwa sababu hujioni 360.
Kioo cha kutunisha misuli 😅😅Lazima ufahamu kwamba vioo vimegawanyika;
Kimoja kinaweza kukukuza na kukufanya uonekane una misuli hivyo kutamani ukaanzishe ugomvi na watu.
Ukifata kioo hiki, utatolewa damu bure kwa kipigo
Kuna kioo kinaweza kuonesha uhalisia wako, hiki ukiambiwa mpenzi hiyo make-up uliyofanya imekuvimbisha uso, kiamini
Utachagua kioo kulingana na matumizi yako
Chai 😅Mkuu by fact huyu kijana Huwa nakaa nae porini hata miezi mi3.
Kuna siku nikamtania watakusaidia kazi kwa shemeji, akanipa hiyo mbinu alafu kuna siku nikakuta mtu analalamika humu JF.
Yaani ukimtongoza mke wake ukalale nae kamwe hauwezi kusimamisha😂😂😂. Huu uchawi kwangu ni mzuri
We gusa kuna wachawi wenzio😅😅Sawa 😄 sitogusa tena ule uzi
Shukran mkuu🙏Unayemuona kwenye kioo ni ww kwa asilimia kadhaa ila sio 100 kutegemea na mwanga ktk eneo hilo na kwa sababu hujioni 360.
Umeamua kunibadikisha na jina 🤔We gusa kuna wachawi wenzio😅😅
Watasoma
Nimeona unakitumia sana hiki Mjukuu 🤪Kioo cha kutunisha misuli 😅😅
Umeanza lini kupiga Ramli?Nimeona unakitumia sana hiki Mjukuu 🤪
Tafadhali usije kusema hatukushauri babu zako 🤭
Sisi ni Wazee ujueUmeanza lini kupiga Ramli?
Usinishauri utanichanganya mzeeSisi ni Wazee ujue
Tumetumia skills za mwaka 47 🤭
Ndio umesha mind tayari?Umeamua kunibadikisha na jina 🤔
😂😂😂 Mkuu ngoja niende kwenye uzi husika.Chai 😅
Me mwenyewe napenda kujiangalia kwenye kioo jamani haswa nikitoka kuoga 🙂.....ila ikifika usiku muda wa kulala sijawahi sahau kukifunika na khanga naogopa haswaMirror 🪞
Hello Great thinkers 👋
Kwanza naomba niweke sawa hapa
Kuna mtu aliniuliza kwanini unaandika sana JF ?
Sielewi hapendezwi au lah(?)
Akauliza 👇
Huna kazi?: me nina kazi ✔️
Unalipwa?: Silipwi ❌️
NB:Writing is one of my hobbies ✍️🧠
Nitakua busy sana lakini siwezi kabisa kukosa muda wa kuandika
Imebidi niseme hapa kwa wale pia wanaojiuliza
Licha ya kua nashangazwa na mtu ku judge jambo binafsi kama hili
Kwenye mada 👇
Nimesoma mtandaoni kuhusu uvumbuzi wa kioo lakini nimeshindwa kupata taarifa sahihi ya nani hasa aliyegundua kioo.
Kwa mujibu wa mtandaoni nimeona kwamba kioo kiligunduliwa miaka 8000 iliyopita huko Anatolia, Uturuki.
Then kuna watu wengine waliokuja kuboresha zaidi namna ya kutengeneza kioo mpaka tukafika kwenye vioo tunavyotumia leo
So historia ya kioo ipo hivyo...
Sasa nikajiangalia kwenye kioo changu, nikaona taswira kwenye kioo kilichopo mbele yangu
Chemsha Bongo: 🤔
👇
Nikajiuliza, ikiwa hicho nilichokiona kwenye kioo ni kitu gani hasa?
Mimi ni huyo wa kwenye kioo?
Au mimi ni huyu niliye mbele ya kioo?
Kama ninachoona kwenye kioo ni taswira yangu hiki kioo napaswa kukiamini kwa asilimia ngapi kwamba kinatoa taswira yangu sahihi?
Hivi umewahi kujiangalia kwenye vioo tofauti na ukapata taswira tofauti?
Kuna kioo unaangalia unaona umeonekana hivi ukiangalia kingine unaona tofauti kabisa😅
Hii imekaaja au ni wenge ?
Kama hua unaona taswira tofauti kwenye vioo tofauti sasa ni kioo gani kinatoa taswira yako halisi?
Na mwisho...
Huwa unapata feeling gani ukijiangalia kwenye kioo? 👀
Me👇
Nikijiangalia kwenye kioo hua najisikia raha sana mara nyingi naishia kutabasamu baada ya kuona
Inayodhaniwa kua ni taswira yangu mwenyewe 🤗🤗
ShesRise_1 ✋️
Aisee hii kali sanaView attachment 3676538
Mkiwa mnaongelea mambo ya vioo msisahau kuna hii kazi njema ya kisanaa ya 2010 kutoka pale Hollywood kijijini ..
Kisa cha hii filamu ni mzimu wa mrembo mmoja ulioko kwenye kioo ambao ulikuwa unawaua victim wake selected kila wakijiangalia kwenye kioo...😎😎🫵
NB: Hii movie niliipenda pale madam mmoja yuko bafuni anajinyoa mavuzi na ile razor🤩🤩😍☺️.. Sasa bahati mbaya akajikata kidogo ... Sasa katika zile harakati za kutafuta taulo ajifute damu kidogo sehemu aliyojikata akateleza mle bafuni akaanguka ....😜😜😜 Kile kioo cha bafuni kikaanguka kila mkata shingo biashara yake ikaisha hivyo..
Busara za mtu wa makamo hizi 🫡Nje ya mada; wewe kuandika sana ni hobby yako, sioni wewe kuwa na excuse kwenye hilo. Zamani enzi za kuandikiana barua na marafiki "pen pal", tulikuwa tunajieleza kuhusu hobbies, kuandika, kusoma, kusikiliza muziki, kuogelea n.k,
Ni hobbies za watu, na hawawezi kuwa na excuse juu ya hobbies zao. Wewe andika, asiependa maandishi yako hatosoma au atascan tuu. Usijisikie vibaya kwa kitu ambacho kinakupa furaha madam huvunji sheria yeyote.
Sawa sawa mkuu😂😂😂 Mkuu ngoja niende kwenye uzi husika.
Unaogopa nini dearMe mwenyewe napenda kujiangalia kwenye kioo jamani haswa nikitoka kuoga 🙂.....ila ikifika usiku muda wa kulala sijawahi sahau kukifunika na khanga naogopa haswa
😁😁Niliambiwa ukijitazama usiku unaweza ona sura ingine na siyo mara 1 kuambiwa hivyo kwahiyo sitaki kabisa ....Unaogopa nini dear
Mpaka unakifunika na kanga ?
Mimi nalala kwenye chumba chenye kioo bila shida kabisa