Kioo kinatuonyesha ukweli kwa kiasi gani?

Kioo kinatuonyesha ukweli kwa kiasi gani?

Kifalsafa na kibiolojia, wewe ni huyu uliye mbele ya kioo. Wewe ndiye chanzo cha uhalisia (the original subject).

Yule wa kwenye kioo ni taswira tu (an image/reflection) inayosababishwa na mwanga unaotoka kwenye mwili wako, kwenda kwenye kioo, na kurudi kwenye macho yako.

Yule wa kwenye kioo hawezi kuwepo bila wewe, lakini wewe unaweza kuwepo bila yeye.

Usijali wala usiwaze sana. Uhalisia wako uko hapo nje ya kioo, na hiyo tabia ya vioo kubadilisha muonekano wako ni physics (sayansi ya mwanga) na ubora wa kioo chenyewe, wala siyo wenge!
Shukran sana mkuu
Umeeleza vizuri
Karibu tena 🙏🙏
 
Aisee hii kali sana
Inaonekana inatisha sana
Yeah ni movie iliyo kwenye category ya Psychological and supernatural horror movie... Ni type ya Final destination kama umewahi icheki..
Hii movie kisa chake ni kama demu alibakwa na kuuliwa karibu nakioo Sasa katika ile harakati za kukata Roho alikufa huku akijiangalia kwenye kioo ...Sasa ile spirit yake ikawa inaishi kwenye kioo... Sasa ikawa inaua victim wake mmoja baada ya mwingine.
 
Alooo nitaichek weekend then nitakuja na mrejesho 🔥🔥
 
Back
Top Bottom