ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 21,692
- 50,205
- Thread starter
- #61
Ahaa sawa asante kwa maoni 🙏Kioo ni nusu ya copy yako ambapo taswira yako inaweza kuunda symmetrical energy of you
Ahaa sawa asante kwa maoni 🙏Kioo ni nusu ya copy yako ambapo taswira yako inaweza kuunda symmetrical energy of you
Shukran sana mkuu
Yah, sema anakuwa kama anakutania kimtindo lakini ndiyo ukweli wenyewe.Masoud Surambaya why Masudiii?
Hivi wanaume nao hua mnasifiana uzuri?
Ni ukweli ulio wazi kuwa pamoja na kwamba vioo vinaonyesha taswira halisi kuna wakati pia hata macho yetu hatupaswi kuyawmini sana maana macho hayo hayo yaliyokuona kwenyekioo A yakatoa taswira na tafsiri ya ulivyo ndo hayo hayo yakitumika ukaangalia sura ileile katka kioo B yanaweza yakaonyesha taswira na tafsiri nyingine ya mtu huyohuyo. Mi binafsi kuiangalia kwenye kioo si pogo zangu kabisa kwasababu ya huo mchanganyo wa taswira.Shukran sana mkuu 😊
Karibu ndani ya mada
Unakiamini kioo chako?
Sawa sawaEm tumuulize Saida kaloli na Diamond Platinumz
Nimesoma koote nimekwama hapoYah, sema anakuwa kama anakutania kimtindo lakini ndiyo ukweli wenyewe.
Binafsi tangu nikiwa primary hadi sekondari ilikuwa mademu wananiandikia barua kwamba wamenipenda kwakuwa na uso (sura) mzuri😄 na kilichonifanya niamini huenda kweli mimi ni kahandsome ni pale manzi walikuwa wanatwangana ngumi wao kwa wao eti kunigombania.😄
Kuna wanangu watatu kipindi tukiwa sekondari tulikuwa tunataniana sema ilikuwa ikifika time wananitania kwamba nina sura ya kike na ninamzidi uzuri dada angu aliyekuwa mbele yangu darasa nilikuwa namaindi kinoma coz kiasili mwanaume hapendi kufananishwa na demu aise.
Hadi leo hii wife wangu huwa ananiambia 'huu uzuri wako ndiyo unautumia kama nyenzo ya kunidharau kwasababu unajua muda wowote unaweza kutongoza na ukakubaliwa'.
Lakini nikijiangalia kwenye kioo najiona wa kawaida tu sasa najiuliza haka kauhandsome kanakowababaisha watu kanatokea wapi?😅
Inafikirisha sana mkuuNi ukweli ulio wazi kuwa pamoja na kwamba vioo vinaonyesha taswira halisi kuna wakati pia hata macho yetu hatupaswi kuyawmini sana maana macho hayo hayo yaliyokuona kwenyekioo A yakatoa taswira na tafsiri ya ulivyo ndo hayo hayo yakitumika ukaangalia sura ileile katka kioo B yanaweza yakaonyesha taswira na tafsiri nyingine ya mtu huyohuyo. Mi binafsi kuiangalia kwenye kioo si pogo zangu kabisa kwasababu ya huo mchanganyo wa taswira.
Kuna wakati unajiuliza pengine vitu vyote tuvionavyo inawezekana si vitu halisi uhalisia unabaki kwa aliyetuumba. Ndiyo maana alisema tufanye mtu kwa sura zetu, ni mfano lakini si halisi
DuuhView attachment 3676411
A bro who using mirror...
Ndio, UCHAWI unaweza kutumika na kioo.So unaamini uchawi unaweza kutumika na kioo?
Jamaa aliyenipa kile kioo alikua anafanya mambo ya upromoter, udalali na ukuadi wa wale video vixen sijui.Nini kilitokea ?
Unaweza ku share?
JF imecorrupt au moderator wameanza wikiendi??Moderator
Mnaweza kunipa sababu
Au Elimu kwanini huu uzi ukaletwa Chit-chat?
Na sio jukwaa nililopost la Jamii Intelligence?
Ni kwamba huu uzi unavyoonekana ni sahihi kuhamishiwa kwenye hili jukwaa?🤔
Narudi hapa!Ndio, UCHAWI unaweza kutumika na kioo.
Kwasababu kioo ni reflection ya nguvu unazozitoa, hivyo yule anaeonekana kwenye kioo ndio wewe.
Kwanini UCHAWI utumike kwenye kioo?
Inategemea na huyo anaefanya UCHAWI anataka nini kutoka kwako, ila kwa nilivyosikia wengi hufanya hivyo ili kupata nguvu ya mvuto au muonekano.
Hivyo mchawi hukupatia zawadi ya kioo ili kuvuna hiyo nguvu kutoka kwako.
Pia waganga hutumia kioo kufanya ramli ambapo humwambia mtu akae mbele ya kioo na kupitia reflection ya hicho kioo huweza kupredict your past and your future. (Sijajua hutumia mechanism Gani lakini hii nilisikia kwa mtu ambaye amekwenda kwa mganga na akafanyiwa hivyo)
Jamaa aliyenipa kile kioo alikua anafanya mambo ya upromoter, udalali na ukuadi wa wale video vixen sijui.
So alinipa kile kioo kwaajili ya kunyoosha mambo yake.
What happened ni kwamba nilikua sipendi kufanya kazi/biashara hata kwenda chuo pia na muda mwingi nilikua natumia kujiangalia kwenye kile kioo.
Untill siku nimeenda church ndio nikaombewa pia Bi mkubwa home aliniotea ndoto mbaya akanipigia simu kuniuliza chumbani kwako kuna Nini?
Nikamtajia vitu vyote akaniambia hicho kioo kitoe pia akaniuliza ulikipata wapi? Nikamjibu Kuna jamaa alikileta kwangu hapo hapo akaniambia tena kipasue.
Also kile kioo kilikua Cha maajabu maana kilifungwa jirani na mlango wa washroom, usiku nikiamka kwenda washroom nilikua naona kinang'aa sana japo taa nimezima. Sikutiliaga maanani sana kwasababu sijawahi kuwa na kioo hapo kabla so kimawazo nikawa nahisi vioo vyote vipo hivyo.
At the end nilikuja kujua kwamba ile nyumba asilimia 60+ ya wapangaji ni washirikina tena ni vijana kabisa. Yaani kuanzia muuza mgahawa alikua anatulisha uchafu😡😡😡.
Pia mmoja alikua ni mganga wa kienyeji, huyu alikua anawaagulia wasanii😂😂😂.
Nyumba ipo Mbezi beach Goig, barabara ya kwenda Baraza la mitihani, nyumba ya tatu kutoka Bagamoyo road.
Pole sana!Ndio, UCHAWI unaweza kutumika na kioo.