S. S. Phares
JF-Expert Member
- Nov 27, 2006
- 2,138
- 82
Oh God,
Walau Mwandosya is not mwanamtandao hivyo we dont expect him kuunda serikali ya kishikaji isiyo wajibishana kwa ajili ya kulindana, matokeo yake inatupeleka kuzimu! Damn!
I wish ninge kuwa na uwezo wa Kumwambia Mwandosya aache unafiki (kwani nina hakika hakubaliani na yanayo endelea!) afanye hima kutoka huko kuliokoa jahazi hakika linazama!
Katika mambo ninayomsifu Prof ni kubakia CCM, kiongozi yoyote lazima uwe na busara za msimamo. Yeye anapambana nao mumo kwa mumo na wenyewe wanajua kuwa sio mtu wa kumchezea.
Kama Prof angekuwa na busara hafifu basi baada ya uchaguzi wa CCM Mbeya angekuwa na mengi sana ya kusema hatharani lakini ameona ni vema atayarishe ripoti aipeleke kwenye vikao vya chama chake. Huo ndio utaratibu wa chama ambacho yeye ni mmoja wa viongozi, hili la kuhama vyama sio solusion; kwanza ahame CCM aende wapi..!!!
CCM inahitaji watu kama wakina Prof Mwandosya kama alivyosema Bob Mkandara. Nasubiri kuona kama JK atamtema iwapo atafanya mabadiliko ya cabinet; huo ndio utakuwa mtihani wangu mkubwa kwa Prof, je atahama Chama au atasimama na kupambana ndani ya CCM? Time will tell
Nina kiu ya kuona kuna mtu/watu ndani ya CCM wanaoweza kusema NO na wakaeleweka kuwa wakisema No wanamaanisha No...