M
MegaPyne
Guest
Anybody has a clue who these people are!!
We should be certain that atleast Professor Mwandosya voted against the incumbent chairman of CCM. Why i think so?
-My sources say that Professor was quoted a while back swearing that H.E Kikwete will not be able to finish his term in office. That comment has left Kikwete and his colleagues wondering and confused.
-Also, there is a circulation of rumors that there would be changes in the cabinet anytime after the end of the current parliamentary session (after Nov 16th). The state of affairs at the moment is a deep heated discussion between JK his humble advisors on whether professor Mwandosya should be kicked out of the cabinet or no. According to this source, wanamtandao are still working on the cost-benefit analysis of such a move. Certainly that would be a grave mistake. Lets wait to witness a turn around chapter in the politics of the post nyerere era.
Kama mimi ni Mwandosya, naamua kujiuzulu kwa sababu binafsi...~
Ni wazo zuri. Lakini professor itabidi akalishwe chini na awe mkweli kutuelezea ni nini anataka kuifanyia Tanzania. Hatujasahau kwamba aliamua kugombea ubunge apate uwaziri na baadae kugombea urais kutokana na ugomvi wake binafsi na Kikwete kuhusu 'nani zaidi'.
"Bila ubishi wowote Mwandosya ni zaidi kuliko Kikwete. Kikwete hana ubavu wa kushindana na Mwandosya siku yoyote ile",
Mkuu Bubu,
Heshima mbele mkuu, hizi statement ndizo zilizotufanya tumchague Muungwana, bila ya kudai rekodi zake, here you are tumpeting exactly the same mantra bila evidence wala facts, uzaidi wa Mwandosya over Muungwana, unasababishwa na what as a political record? Kufundisha shule is one thing na kuongoza politicaly ni ni absolutely another different ball game!
What is Mwandosya political record inayomfanya awe zaidi ya Muungwana?
Bubu ataka kusema,
Mzee wangu tumwache JK kama JK tusitake kulinganisha watu hata kidogo....kwani accomplishement za JK ni kubwa sana kama vile Utajiri. JK anazo ngawila kisha wataka kumradharau tu kwa sababu hana elimu kubwa. Huwezi kupima mafanikio ya mtu kwa sababu ya elimu yake ama ukubwa wa Umbo.. JK is the President of Tanzania at age 55. Mjomba Mwa - can't beat that..
Nachojua mimi Mwandosya hawezi kuondolewa ktk madaraka kwani anaifanya kazi yake vizuri na hana mahala pa kupumua.
CCM ni Mafia wakiamua kumtosa wanaweza na wanaweza kuhakikisha maisha yake yanakuwa mabaya zaidi...Kumbukeni kina Chief Fundikira, Jumbe, Mtei na majuzi akina Lamwai ambaye kama Mungu tu mwenyewe alikubali kurudi nyumbani kwao CCM ama sivyo mabo yalikuwa mabaya sana. Mwandosya sio tishio kabisa ila ni chachu nzuri kwao kuweza kupata the other side ya shilingi. Kwa hiyo wataendelea kumtumia ili kupata hoja za upande wapili wa shilingi yao CCM...Chachandu kama hii JK anajua anaihitaji sana pamoja na kwamba picha haziendi.
Jamani, CCM ni gonjwa baya sana ukisha ingia mjomba inaweza kukupandisha chat na kukushusha kama hukuwepo duniani. JK mwenyewe kapandishwa na watu ktk jukwaa la siasa na kifupi naweza sema kuna watu wachache sana wanasiasa ndani ya CCM..
Mtazame mtu kama Freeman, huyu kazaliwa na kipaji hiki na naweza sema Mwandosya hawezi kusimama na Freeman ktk lingo la siasa kwa round tatu tu acha huyo JK. Lakini will Freeman make a good Presida? hilo swala jingine tena.... Hata huyo Busha anayeitwa shetani kasoma lakini nchi inamshinda.
Mwandosya is a goodman, well educated lakini hana kivutio cha kushika Urais!..Pomoja na elimu yake kisha boronga mangapi yanayotakiwa elimu?...
Mafanikio kwenye siasa yanapimwa vipi?
"Bila ubishi wowote Mwandosya ni zaidi kuliko Kikwete. Kikwete hana ubavu wa kushindana na Mwandosya siku yoyote ile",
Mkuu Bubu,
Heshima mbele mkuu, hizi statement ndizo zilizotufanya tumchague Muungwana, bila ya kudai rekodi zake, here you are tumpeting exactly the same mantra bila evidence wala facts, uzaidi wa Mwandosya over Muungwana, unasababishwa na what as a political record? Kufundisha shule is one thing na kuongoza politicaly ni ni absolutely another different ball game!
What is Mwandosya political record inayomfanya awe zaidi ya Muungwana?[/QUOTE]
Oh God,
Walau Mwandosya is not mwanamtandao hivyo we dont expect him kuunda serikali ya kishikaji isiyo wajibishana kwa ajili ya kulindana, matokeo yake inatupeleka kuzimu! Damn!
I wish ninge kuwa na uwezo wa Kumwambia Mwandosya aache unafiki (kwani nina hakika hakubaliani na yanayo endelea!) afanye hima kutoka huko kuliokoa jahazi hakika linazama!