Kina nani walimpigia JK kura ya Hapana?

raiamwema,
By the way, when you introduced yourself in this forum, ulisema JF haina dira. What did you real mean? Just to let you know, whatever you say in this forum you are responsible to answer.

I am very responsible and i am being subjective reporting on what i have learnt from my sources. Keep an eye on how things will unfold in the coming cabinet reshuffle (within weeks) then we will get back at one.
 
You are trying to bring "street politics" back in this beloved JF. Sometimes it is good but be ready/prepared to change your anonymouse ID in the future.

What i say on this subject is based on my researched data and information rather than 'street politics' or speculation. Be what it may, let us put the upcoming cabinet reshuffle as a benchmark and then we will get back at one.
 
Ahhaa, wacha we, nani amekwambia au unajisemea tu? Mimi ni mojawapo wa hao wanasiasa wa upinzani na wala sitamani hata chembe kuwa CCM. Usipende kuwasemea watu, huna uwezo wa kujua wanachofikiria watu. Sema unachokijua ndugu!

Kitila Mkumbo,
Tafadhali soma tena nilichokiandika na uelewe. Nimeandika kwamba wanasiasa wanatamani wangekuwa kwenye Chama chenye mpangilio kama CCM na wala sijasema wanasiasa wanatamani kuwa CCM

Nakuwekea nukuu usome tena.
WANASIASA HATA WALE WA UPINZANI WANATAMANI WANGEKUWA KWENYE CHAMA CHENYE MPANGILIO KAMA CCM.
 
ILI PROF. ANDELEE KUPATA MAFANIKIO ZAIDI YA KISIASA ATAENDELEA KUWA NDANI YA CCM NA NINAVYOJUA MIMI KUWA HANA UGOMVI WOWOTE NA MH. RAIS NA ANAMPA USHIRIKIANO KAMA KIONGOZI WAKE MKUU. MANENO MENGI YANAYOTOLEWA SIJAWAHI KUMSIKIA PROF. AKIONGELEA KUWA NA UGOMVI NA MH. RAIS.

Wewe mbona unaleta maigizo hapa forum. Unatumia neno sijawahi kumsikia Prof kwani wewe unatembea na prof masaa 24. Mambo mengine bwana hata watoto wanaweza kupanga propaganda vizuri zaidi ya hizi zako.

PROF KAMA WANA-CCM WENGINE POPOTE WALIPO ANA NAFASI NZURI YA KUJIJENGA KISIASA, KUKIENDELEZA CHAMA CHAKE NA KUITUMIKIA NCHI KAMA AMBAVYO AMEKUWA ANAFANYA HIVYO KWA WAKATI WOTE.
NAWATAKIA MH RAIS NA PROF KILA LA HERI.

Unawatakia prof na rais kila heri kwa nini usiwatumie kadi?

BTW. Admin mbona this guy anatumia picha ya Nyerere kama avatar yake wakati makubaliano hapa forum yalikuwa ni kutotumia picha za viongozi wa siasa kama avatar?
 
What i say on this subject is based on my researched data and information rather than 'street politics' or speculation. Be what it may, let us put the upcoming cabinet reshuffle as a benchmark and then we will get back at one.

Haya mambo ya kutumia picha ya Nyerere kwenye avatar itabidi yakome mara moja. Na wewe raia mwema ukome kupondea JF na kama unaona imekosa mwelekeo inabidi ukatoe maoni yako gazeti la uhuru au magazeti ya majira na mtanzania, rai au rtd.

Kwanza toa hiyo picha ya Nyerere kutoka kwenye avatar yako. Watu wanaotetea mafisadi na kupondea JF kama wewe hawafai kabisa kutumia picha ya Nyerere kama kitambulisho chao
 
Kitila Mkumbo,
Tafadhali soma tena nilichokiandika na uelewe. Nimeandika kwamba wanasiasa wanatamani wangekuwa kwenye Chama chenye mpangilio kama CCM na wala sijasema wanasiasa wanatamani kuwa CCM

Nakuwekea nukuu usome tena.
WANASIASA HATA WALE WA UPINZANI WANATAMANI WANGEKUWA KWENYE CHAMA CHENYE MPANGILIO KAMA CCM.

Ok, mkuu. Angalau hapo nakupata, japokuwa sikubaliani kabisa na wewe kwamba CCM ndio chama chenye mpangilio mzuri wa kuigwa. Kama mpangilio ni huo wa Mwenyekiti kuteua watu halafu wanachama wengine kazi yao ni ku-approve, huo mpangilio wa kikomunisti upinzani hatuutamani. However, I respect your freedom to make your opinion heard!
 
Mtanzania,
Mwandosya alipita bila kupingwa kama mwakilishi wa chama CCM ktk uchaguzi wao sio uchaguzi wa Taifa.. kumbuika kuna kina Chadema, CUF TLP ama umesahau demokrasia mjomba! Ebu nifahamishe ama hawa nao walimpitisha Mwandosya bila kupinga kwa hiyo hapakuwa na haja kabisa ya JK kumnadi.

Mkandara,

Kumbe muda wote tunaongelea mambo tofauti? Prof. Mwandosya alipita bila kupingwa kwenye uchaguzi wa taifa na wala sio uchaguzi wa CCM. Vyama vya upinzani hawakuweka mtu Rungwe Mashariki kwa mwaka 2000 na pia 2005. Ndio maana bado nashangaa unaposema JK alimpigia kura prof. Mwandosya. Ile link niliyokutumia ni matokeo ya uchaguzi wa taifa, je umeona jina la Prof. Mwandosya pale?

Sijui kama kwenye CCM kuna mtu alimpinga, kuna uwezekano hata huko alipita bila kupingwa ila sina data hizo.
 
kura 5 za hapana kwa jk..to my views

1.mark mwandosya
2.frederick sumaye
3.salim ahmed salim[may be]
4.hassan ngwilizi
5.kigoda abdalah
6.philip mangula.
7malecela john[may be]
 
Ok, mkuu. Angalau hapo nakupata, japokuwa sikubaliani kabisa na wewe kwamba CCM ndio chama chenye mpangilio mzuri wa kuigwa. Kama mpangilio ni huo wa Mwenyekiti kuteua watu halafu wanachama wengine kazi yao ni ku-approve, huo mpangilio wa kikomunisti upinzani hatuutamani. However, I respect your freedom to make your opinion heard!

Nimekusoma, thanks.
 
Wewe mbona unaleta maigizo hapa forum. Unatumia neno sijawahi kumsikia Prof kwani wewe unatembea na prof masaa 24. Mambo mengine bwana hata watoto wanaweza kupanga propaganda vizuri zaidi ya hizi zako.

Unawatakia prof na rais kila heri kwa nini usiwatumie kadi?

BTW. Admin mbona this guy anatumia picha ya Nyerere kama avatar yake wakati makubaliano hapa forum yalikuwa ni kutotumia picha za viongozi wa siasa kama avatar?

Mgaya, hapa ni JF kila wakati inasisitizwa ukitoa kauli ni lazima iwe na ushahidi, je ulitaka niseme nimemsikia Prof akisema ana ugomvi na JK, nina ushahidi?

Vipi Mjommba, ulitaka niwatakie mabaya?
Nasisitiza nawatakia Mh Rais na Profesa Mwandosya kila la heri!
 
Mtanzania,
Kweli bob maanake mimi nilitanguliza JK kuwaomba wananchi kuwachagua hawa watu nikatoa link ya wakati JK akitembelea Rungwe na kuomba kura za wananchi. That was before the votes na sababu kubwa hasa ilowafanya Chadema na vyama vingine hawakusimamisha mgombea sehemu hizo ambazo ni kuwa hapo ni stronghold ya chama na sio wagombea wake. Sidhani kama Chadema na vyama vingine walimkubali Mwandosya, ama Mwandosya kuwa sababu kubwa yao kutoweka mgombea wao hivyo kumpa ushindi.
Hiyo site niliiona na kama sikosei Mwandosya alipata Kura 60 na kitu akigombea na Ukuta! Ule mpango wa Mwl. Nyerere kwa hiyo nadhani inakupa picha nzuri zaidi kuwa the guys sio malaika kama mnvyotaka tuamini. Nina hakika angesimama na mtu mwingine pale badala ya Ukuta yangekuwa meneno kabisa..halafu basi kweli wewe unaamini Mtandao ama JK angefanya mbinu gani kuhakikisha huyu jamaa hapati ushindi ikiwa kasimama na Ukuta. CCM hawashindwi kabisa kuweka mtu mwingine kushindana naye au hata kuuza ushindi kwa chama kingine maadam huyu jamaa hafiki huko anakotaka.
Yote tisa hakuna beef kati ya hawa jamaa na subirini matokeo ya baraza jipya la mawaziri namp[a nafasi kubwa sana na kama kweli ataondolewa basi tatizo lipo limetoka kwa EL....
 
I am very responsible and i am being subjective reporting on what i have learnt from my sources. Keep an eye on how things will unfold in the coming cabinet reshuffle (within weeks) then we will get back at one.

Hizo source zako ndiyo zinasema Mwandosya alimpigia kura ya hapana JK? Mwanzoni nilijaribu kutoingilia hili swala lakini you have failed to prove that. Wewe unachukua mambo yanayoongelewa mitaani na kujaribu kutushawishi hapa kuwa ni kweli. Hiyo ndiyo dira uliyokuwa unasema watu tukae hapa tuongelee udaku?Umesababisha watu wote waache kuongelea vitu vya maana na waanze kuongalie eti nani zaidi? Kwa faida ya nani? Who cares? Mwandosya atagombea urais kama JK akiamua kutogombea urais kwa kipindi cha pili. FULL STOP. JK has nothing to worry about Mwandosya at all. That has nothing to do na taifa. Hivi unajua bila JK Mwandosya angekuwa siyo mjumbe wa NEC, kwenye Kamati kuu kura alizopata toka mkoa wa Mbeya zilionyesha hatakiwa hata kujaribishwa kuwa kiongozi ni JK aliyemtetea kwa nguvu zote, unless unataka kuniambia Mwandosya is running crazy right now.
Haya mambo ya cabinet reshuffle watu wameanza kuongelea mwaka mzima uliopita. Eti, Tom awe waziri, are you kidding me.
 
napenda kuchukua fursa hii kuwakaribisha MAKADA (WA CCM) JF ! Naombeni tuigeuze hii kuwa ngome yetu temporarily !
 
napenda kuchukua fursa hii kuwakaribisha MAKADA (WA CCM) JF ! Naombeni tuigeuze hii kuwa ngome yetu temporarily !

..wewe fikiria maendeleo na kujenga jamii ya utawala wa haki na isiyo na rushwa sio unazi tuu
 
koba ebu angalia rep power yako halafu angalia ya kwangu halafu nambie mkuu !teh teh

Maendeleo na kujenga jamii lazima uwe ndani ya chama fulani (kwa nchi za moti-pati sistem)! CCM in this case !
 
koba ebu angalia rep power yako halafu angalia ya kwangu halafu nambie mkuu !teh teh

Maendeleo na kujenga jamii lazima uwe ndani ya chama fulani (kwa nchi za moti-pati sistem)! CCM in this case !

..tena umenikumbusha hebu rep power na credit maana yake nini? na vinapatikana vipi,nilitaka kumuuliza invincible lakini wewe naona utasaidia,nasubiri jibu...kuna maslahi yeyote ya dola ukiwa nazo kubwa au ndogo
 
ningekujibu lakini mbaya mwenyewe sijui ila kwa kuhisi ni kwamba, ........... (i dont give a damn seriously bana) hivyo i could care less !

hiyo kazi ya mviZIBO....!!!!
 
Hizo source zako ndiyo zinasema Mwandosya alimpigia kura ya hapana JK? Mwanzoni nilijaribu kutoingilia hili swala lakini you have failed to prove that. Wewe unachukua mambo yanayoongelewa mitaani na kujaribu kutushawishi hapa kuwa ni kweli. Hiyo ndiyo dira uliyokuwa unasema watu tukae hapa tuongelee udaku?Umesababisha watu wote waache kuongelea vitu vya maana na waanze kuongalie eti nani zaidi? Kwa faida ya nani? Who cares? Mwandosya atagombea urais kama JK akiamua kutogombea urais kwa kipindi cha pili. FULL STOP. JK has nothing to worry about Mwandosya at all. That has nothing to do na taifa. Hivi unajua bila JK Mwandosya angekuwa siyo mjumbe wa NEC, kwenye Kamati kuu kura alizopata toka mkoa wa Mbeya zilionyesha hatakiwa hata kujaribishwa kuwa kiongozi ni JK aliyemtetea kwa nguvu zote, unless unataka kuniambia Mwandosya is running crazy right now.
Haya mambo ya cabinet reshuffle watu wameanza kuongelea mwaka mzima uliopita. Eti, Tom awe waziri, are you kidding me.

On Mwandosya voting against JK, i have no proof about that ofcourse. If you had read me carefully, it was just my guestimation. However, about the beef between mwandosya and JK - it has been in existence for over a decade. Even Tanzania Daima, mwanahalisi etc did a good job to unveil this even though they did it at a very late stage. Keep on calling this 'habari za kijiweni sir'. Time will tell you.

On JK defending Mwandosya in the CC for NEC Mbeya, who argued against that? JK plays it very well. I advise you to keep a close eye on this interesting game that you have labeled it Habari za kijiweni.

On Mwang'onda becoming a minister, yes sir, once that happens, please ask JK if hes kidding you, not me. Soon are later, Mwang'onda will be a deputy minister. JF is here to live, so we will be back at one. Watch for Mwakyusa going to an inferior ministry in the next few weeks and later on when Mwang'onda makes it to the cabinet.

Now the following is not confirmed so you can adamantly add it to your library of habari za kijiweni. I am still verifying the info - Karamagi will remain in the cabinet. At the moment they are working on ways to send him to another cabinet post. Further, Mkullo, Dr Burian, Rostam Aziz are among a few that are currently under consideration for full portfolio ministries. Even further, there is also a deep cost-benefit analysis on whether Sumaye should be given a ministry as a way of containing him. Now based on your scant understanding of politics in Tanzania, once sumaye makes it, you would conclude that JK needs him and the beef has ended, right?

Bear in mind JK is playing a very smart game to show that hes distancing himself from mtandao. It is just a pretense my honorable friend. If you want to remain fooled, be it. I am not.

In conclusion, all i am providing here is information based on my sources. It does not mean that i am for or against any of these political heavy weights, all i am doing is sharing with JF what my ears gather and the sources are good. I believe JF is the right place - where we can develop heated and constructive discussions on what unfolds in Tanzania's politics.

Stay tuned on radio kijiweni.
 
Mtanzania,
Kweli bob maanake mimi nilitanguliza JK kuwaomba wananchi kuwachagua hawa watu nikatoa link ya wakati JK akitembelea Rungwe na kuomba kura za wananchi. That was before the votes na sababu kubwa hasa ilowafanya Chadema na vyama vingine hawakusimamisha mgombea sehemu hizo ambazo ni kuwa hapo ni stronghold ya chama na sio wagombea wake. Sidhani kama Chadema na vyama vingine walimkubali Mwandosya, ama Mwandosya kuwa sababu kubwa yao kutoweka mgombea wao hivyo kumpa ushindi.
Hiyo site niliiona na kama sikosei Mwandosya alipata Kura 60 na kitu akigombea na Ukuta! Ule mpango wa Mwl. Nyerere kwa hiyo nadhani inakupa picha nzuri zaidi kuwa the guys sio malaika kama mnvyotaka tuamini. Nina hakika angesimama na mtu mwingine pale badala ya Ukuta yangekuwa meneno kabisa..halafu basi kweli wewe unaamini Mtandao ama JK angefanya mbinu gani kuhakikisha huyu jamaa hapati ushindi ikiwa kasimama na Ukuta. CCM hawashindwi kabisa kuweka mtu mwingine kushindana naye au hata kuuza ushindi kwa chama kingine maadam huyu jamaa hafiki huko anakotaka.
Yote tisa hakuna beef kati ya hawa jamaa na subirini matokeo ya baraza jipya la mawaziri namp[a nafasi kubwa sana na kama kweli ataondolewa basi tatizo lipo limetoka kwa EL....

Mkuu Mkandara,
Inaelekea unahitaji somo la nguvu kwenye siasa za Tanzania. Mtu akipita bila kupingwa, hapo hakuna cha uchaguzi tena. Sio kwamba
kunakuwa na uchaguzi wa yeye na kivuli. Mwulize Zitto au Kitila nini maana ya kupita bila kupingwa? Kwa mkoa wa Mbeya aliyepita bila kupingwa ni yeye tu, tena mara mbili zote. Sasa kama ni uimara wa chama kwanini na hao wengine wasipite bila kupingwa?

Si umeona juzi Zitto katangaza hapa diwani wa upinzani kapita bila kupingwa? Ikawa upinzani 1 CCM 0? Hiyo ilikuwa kabla hata ya siku ya uchaguzi.

Kama kwenye jimbo mgombea ni mmoja tu, basi tume ya uchaguzi inamtangaza mshindi hapo hapo, kwahiyo hakuna uchaguzi tena, hivyo ndivyo ilivyokuwa Rungwe Mashariki.

Hilo la beef na JK, rudia ujumbe wangu wa mwanzo, mimi pia naona hakuna beef. Ninachoongelea ni hili la kwamba Prof. Mwandosya anasumbuka kwenye chaguzi Mbeya. Kwa kule Mbeya prof. Mwandosya ana nguvu mno, na kwa wilaya zile nne, yaani Kyela, Mbeya mjini, Rungwe na Ileje, hata kwa wabunge kama huungwi mkono na Prof. Mwandosya, chance ya kuanguka, hasa kwenye mchujo wa CCM ni kubwa mno.
 
Back
Top Bottom