Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

kwanini makongoro nyerere? mia

Huyu ndoyo pekee mwenye "courage" ya kufanya hivyo maana hana cha kupoteza, ni mtoto wa baba wa taifa, hana hisa za kifisadi lakini pia amewahi kuwa mbunge wa upinzani wa Arusha kupitia NCCR Mageuzi. Mbali na hilo, huwa hajali sana maslahi yake, na pia ni mpenzi wa kinywaji kwenye zile sturi ndefu!
 
naona faizafoxy na mwita wanasuport labda kuna ukweli
sijaelewa kutemwa uanachama au NEC?
 
ni kama vile kila mtu ana eneo lake la kujidai habari kutoka dodoma ni kuwa kamati kuu ambayo ndo ina wajumbe wengi kutoka kundi la akina sitta imeshapitisha maamuzi ya kuwavua gamba akina lowassa sasa hoja imepelekwa nec amabako hasa ndo kuna kundi kubwa la akina lowasa la wenyeviti wa mkoa mzigo katwishwa mwenyekiti wajumbe wa kamati kuu hawataki wajadili tena ila mwenyekiti anataka wajadili sasa hapo ndo patamu kwasababu hapo ndo wapo akina mgeja na guninita wengi tuu ambao wapo kundi la lowasa na inasemekana wamejipanga vilivyo ....aisee naomaba watifuanee humoo .....source mjumbe ndani ya kikaooo
 
Labda Mkapa na Shein wanaweza, lakini sio hawa wanamazingaombwe ambao kila siku wanatuletea drama mpya!!!
 
Jamani hivi kwanini mnapenda kusema uongo? Kwamba Redio Mwangaza FM. ndio chanzo cha habari hii si kweli kabisa.Mimi hapa nilipo nasikiliza redio hii kuanzia saa 2.00 na hakuna kitu cha namna hiyo.Haipendezi kwa watu wazima kuwa waongo jamani. Kama kuna source nyingine,sawa,lakini sio Redio Mwangaza FM.

Kutafuta sifa!
 
baada ya vikao hivyo ni kama sarakasi ya kitoto isiyo na malipo. HAkuna cha maaana kitakacho komboa nchi yetu dhidi ya umasikini huu wa kutisha wa kujitakia. Wote walewale tu.
 
ni kama vile kila mtu ana eneo lake la kujidai habari kutoka dodoma ni kuwa kamati kuu ambayo ndo ina wajumbe wengi kutoka kundi la akina sitta imeshapitisha maamuzi ya kuwavua gamba akina lowassa sasa hoja imepelekwa nec amabako hasa ndo kuna kundi kubwa la akina lowasa la wenyeviti wa mkoa mzigo katwishwa mwenyekiti wajumbe wa kamati kuu hawataki wajadili tena ila mwenyekiti anataka wajadili sasa hapo ndo patamu kwasababu hapo ndo wapo akina mgeja na guninita wengi tuu ambao wapo kundi la lowasa na inasemekana wamejipanga vilivyo ....aisee naomaba








watifuanee humoo .....source mjumbe ndani ya kikaooo





mh!!watake wasitake ni kwenda mbele au kurudi nyuma mbele kidogo kuna mwanga,nyuma kiza kinene!Mungu wajalie watu hao!!!!
 
Wenzio wameishaleta habari kama hizi, ungechangia kule ingekuwa na mantiki zaidi kuliko kujaza server tu na uzushi. Je huyo mjumbe ndani ya kikao akitoka na kukwambia kuwa ilikuwa ni UTANI utaleta uzi mwingine wa kukanusha. Hii ishu ni sensitive na watanzania wengi wanaifuatilia sio vizuri kurushana roho.
 
Nyie jidanganyeni, lakini ukweli wa mambo ni kuwa,lowassa hawezi kufukuzwa ndani ya ccm,kwa kuwa hamuijui hii nchi vizuri bora mkanyamaza kimya,
 
mi naomaba tu hiki chama kivunjike...ila ccm nnavyowaju anaweza asifukuzwe mtu na mada ibadilishwe nnachikiona jk anaogopa kwasababu hao akina lowasa wanajua uchafu wake wotee sasa hapo ndo patamu akimwaga mboga wewe mwaga ugali
 
Amini usiamini gamba lowasa na chenge wametemwa katika chama cha Mapinduzi muda huu tnitawajuza zaidi yanayojiri

Wasalaam

Mmemkwa.


Mwenyekiti awe makini sana story zilizo zagaa zaweza kuwa na ka ukweli awe makini na anao shirikiana nao...wamo miongoni mwake asipokuwa makini shauri ni lake..Mungu fungua macho yake ya rohoni na umpe kinga kama amefanya sawa sawa na mapenzi yako!
 
wenzio wameishaleta habari kama hizi, ungechangia kule ingekuwa na mantiki zaidi kuliko kujaza server tu na uzushi. Je huyo mjumbe ndani ya kikao akitoka na kukwambia kuwa ilikuwa ni utani utaleta uzi mwingine wa kukanusha. Hii ishu ni sensitive na watanzania wengi wanaifuatilia sio vizuri kurushana roho.


mkubwa imekula kwako!!!!!!!!!!!!!!!!!!!mwakyembe anaumwa india,mamvi anakunywa whisky!we unakula vihela kidogo vya kutetea upuuzi!!imekula kwako kaombe msaada kwa david cameroon!!!
 
Back
Top Bottom