Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

Nimearifiwa na Mjumbe mmoja wa Kamati Kuu ya CCM kuwa Kamati Kuu imemkumbusha Mwenyekiti Kikwete kuwa maamuzi juu ya kuwafukuza Wajumbe 'wachafu' ndani ya CCM kama Lowassa na Chenge ulishafikiwa na hakuna haja ya kuwajadili tena. Wakamtaka atoe mara moja uamuzi wake.Kikwete alikwepa mtego huo kwa kuzungumzia bei ya sukari na kuhamia kwenye ajenda nyingine.Wajumbe wa Kamati Kuu na wale wa NEC wanajiandaa kumtwisha zigo zito Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara,Makongoro Nyerere.More to come....just sit and receive.Nipo hapa nje...

Dondosha News mkuu!!!!gamba kama halifai kuvuliwa lichunwe kama ngozi!!!!
 
Jamani leteni habari za uhakika wengine mtatufanya tuanze kusherehekea kugawanyika kwa c..m hapo
 
Hali hapa si shwari tena.Yawezekana yakatokea makubwa...ngoja nisogee pale.
 
Sioni cha maana hapa zaidi ya tetesi,tunataka data za uhakika.
 
Endelea mkuu kutupa ma updates,wanalo Magamba mwaka huu
 
mbona huku kwingine tumeambiwa lowasa and chenge out??
 
Back
Top Bottom