Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

Kweli kwa jinsi nilivyozipata za ndani sishangai ndio maana kumekuwa na usiri mkubwa, kwanza wamewatisha UVCCM, UVCCM wakaangalia maslahi yao, then possibly atakae aside na gamba anapigwa chini. Naunga hoja mkuno itakuwa kweli.
 
Tunataka data hapa za uhakika na ikibidi tupate kinachojiri huko sasa maana kutupa kitu halafu unasema utarudi baadae unatupa jakamoyo
 
Kama ni kweli hii ni habari njema kuwahi kusikika mwaka mzima huu. Waende wakahamasishe wale professionals wa kuzimia na kurudisha kadi kutoka matawi ya mamluki waliyoyafungua juzi.
 
Habari nusunusu hauzitaki....ila nahisi mpasuko mkubwa unakuja!! matter of time
 
Subutu, Ubavu huo Rais Kikwete akauazime toka wapi wakati ni hao hao mafisadi ndio waliompakulia urais wa dezo kupitia uchakachuaji wa fedha zao?????????????

Tunachojua hadi hivi sasa ni kwambaa hali ni tete ndani ya CCM kuliko wakati mwingine wowote ule na kwamba unafiki wa sehemu kubwa ya viongozi wengi sana wa chama hiki ngazi ya taifa unakaribia kubainika wazi kwa umma wote wa Tanzania.
 
Nami nimeipata hiyo hivi punde kutoka kwa mdau loh ni kweli LOWASSA KWISHA>>>
 
kama kweli vile! Ndo maan jana nape alikuwa akiongea kwa makonfo vile, eti tunaoga kuanzia kichwani kisha hadi chini. Nyie waandishi hamwelewi??!!
 
Back
Top Bottom