Breaking News, Radio Mwangaza FM. Watu wameshikwa na taharuki sana hapa Dodoma. S
Hivi nyie mnauliza source wakati mleta habari mnamuona hapo juu. Mnanshangaza sana, source kwani anam "quote" mtu kuwa fulani kasema hivi. Hapo source ni yeye mwenyewe.
Ulikuwa na maslahi na lowasa imekula kwako kapigwa chini jumla hehehe mzee wa vijisent mahakama inakusubiriJamani hivi kwanini mnapenda kusema uongo? Kwamba Redio Mwangaza FM. ndio chanzo cha habari hii si kweli kabisa.Mimi hapa nilipo nasikiliza redio hii kuanzia saa 2.00 na hakuna kitu cha namna hiyo.Haipendezi kwa watu wazima kuwa waongo jamani. Kama kuna source nyingine,sawa,lakini sio Redio Mwangaza FM.
Hivi nyie mnauliza source wakati mleta habari mnamuona hapo juu. Mnanshangaza sana, source kwani anam "quote" mtu kuwa fulani kasema hivi. Hapo source ni yeye mwenyewe.
Kweli JK ni kamanda!