NAHISI WEWE KIPALA CHAKO CHA UBURUNGE yaani zero; aliyekwambia hizo ni kazi za WAZIRI MKUU NANI?
Naomba unieleze kazi za Waziri Mkuu
NAHISI WEWE KIPALA CHAKO CHA UBURUNGE yaani zero; aliyekwambia hizo ni kazi za WAZIRI MKUU NANI?
Hawawezi kuuvunja. Vijana wana ushawishi mkubwa kwa vijana wenzao. Wakithubutu Ccm kwishnei.
Tatizo ni kuwa hapa kwetu huo umoja wa vijana unaendeshwa na wazee. kuna sura za vijana kwenye umoja huo lakini wapo kama vibaraka tu wanaotekeleza ajenda za wazee. kwa maana hiyo, kwa maoni yangu, wala hakuna maana ya kuwa na huo unaoitwa umoja wa vijanaLitakuwa kosa kubwa sana kwa CCM kwa sababu siasa za sasa hivi dunia nzima zinaendeshwa na vijana na wao ndio waasisi wa harakati zote hizi tunazoziona duniani iwe Libya, Yemen, Misri, Syria, Bahrain, na kubwa zaidi ya yote -The occupy 99% ktk nchi za magharibi. CCM na vyama vyote lazima wafahamu muda wa vizee kina sisi umekwisha - hii ni dunia ya generation mpya ambayo inarudi kwenye misingi ya UTAIFA wao..
Breaking News, Radio Mwangaza FM. Watu wameshikwa na taharuki sana hapa Dodoma.
source plz!
Amini usiamini gamba lowasa na chenge wametemwa katika chama cha Mapinduzi muda huu tnitawajuza zaidi yanayojiri
Wasalaam
Mmemkwa.