Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

nanukuu moja ya maneno alowahi kusema EDWARD LOWASA 😛oa "MIMI NA KIKWETE HATUKUKUTANA BARABARANI"....😛oa
 
Kwi!kwi!kwi!teh!teh!teh!kweli thithiemu ya thatha thawathawa na MAVI.hawawezi kumvua gamba LOWASA na CHENGE mwenyeki akabaki salama,C.C.M yote chafu.toeni wendawazimu hapa.
 
Kwa Ajili ya kuhakikishia mtu wake wa Zenji anakuwa rais anaweza. Huu ni mkakati, hawakukutana barabarai lakini si mtu wa pwani wala si mui......am

haya mawazo yako peleka huko kanisani! Kwani aliyesoma riport ya kuonyesha EL ni fisadi kwenye mchakato wa Richmond ni mtu wa pwani au muislamu? Spika aliyeruhusu kuutwa kwa kamati ile ya bunge ni muislam au mtu wa pwani? Dr slaa aliyemjumuisha EL kwenye list of shame ni muislamu au mtu wa pwani? Acha kuchochea chuki, peleka hivi vitu FB
 
Hivi nyie mnauliza source wakati mleta habari mnamuona hapo juu. Mnanshangaza sana, source kwani anam "quote" mtu kuwa fulani kasema hivi. Hapo source ni yeye mwenyewe.

Nijuavyo mimi ni kuwa asilimia kubwa yenu watu wa pwani mtafurahia sana na mtagonga sana kahawa na ubwabwa kuanzia sasa.
 
Nyie jidanganyeni, lakini ukweli wa mambo ni kuwa,lowassa hawezi kufukuzwa ndani ya ccm,kwa kuwa hamuijui hii nchi vizuri bora mkanyamaza kimya,

Je akifukuzwa utakuwa tayari tuje tuyaguse masaburi yako maana umeonekana unaapa kuwa hilo haliwezi kutokea. Sema watu mchana huu tukutafute
 
wewe mpumbavu unae copy majina unakera kishenzi kama huna jipya kaa kimya kima wewe...
 
Yaani mpka muda huu hii habari haijathibitishwa tu,nitarudi baadae
 
haya mawazo yako peleka huko kanisani! Kwani aliyesoma riport ya kuonyesha EL ni fisadi kwenye mchakato wa Richmond ni mtu wa pwani au muislamu? Spika aliyeruhusu kuutwa kwa kamati ile ya bunge ni muislam au mtu wa pwani? Dr slaa aliyemjumuisha EL kwenye list of shame ni muislamu au mtu wa pwani? Acha kuchochea chuki, peleka hivi vitu FB

Imekuuma kuona siri iiliyojificha nyuma ya pazia inafahamika?
 
Back
Top Bottom