Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,080
- 4,275
Hali hapa si shwari tena.Yawezekana yakatokea makubwa...ngoja nisogee pale.
Nini kinaendelea mkuu
Hali hapa si shwari tena.Yawezekana yakatokea makubwa...ngoja nisogee pale.
Ni mapema mno siamini kama JK anaweza kumwajibisha rafiki yake kipenzi ikumbukwe hawajakuna barabarani.
upo nje wap unaota jua kama ile mujusi au
Kama ni uongo Mmemkwa leo hutoki!
Tutahakikisha unapelekwa kunakostahili!
Ame ... Naunga mkono ...Lakini labada jambo lenyewe liwe AFYA zao kuzorota ...baada ya misuguano na minyukano ..Lingine ? Mhh!!
Mzushi ww!
hata kama watatemwa bac itakuwa kwenye NEC tu, ubunge wao wataendelea nao