Kwa nini mnadhani yeye kikwete hahusiki na makashfa yanayotokea hapa nchini. Wengi wanapoongelea kashfa huongea kana kwamba kikwete anachotakiwa kufanya ni kuwafukuza wengine kumbe huenda hata yeye huwa ni key player wa ufisadi.hakuna mtu muoga nchi hii kama kikwete...tena linapokuja swala la edward lowasa....jk huwa anaweka mkia ndani kabisa.....siku wanaasisi dhana ya kujivua gamba pale pale angetumia nasi ile kuondokana na watu hawa wanaomharibia chama...hata leo hii hao watu wakifukuzwa na kutoka kikwete anajua fika na wazi kabisa kwamba hamalizi mda wake.........tatizo lake la unafiki na uogalinamsumbua na kumkost sana.....kama signature yangu inavyosema.....kikwete ili achukue uamzi huo ni mpaka ashinikizwe kabisa wamshikilie mikono na miguu ili atie sahihi ya kuwatimua hawa watu hivi hiv hawezi......
we fikilia siku ile walipotajwa hawa kina lowasa na nduguze usiku ule ule jk alimwita lowasa na kumwambia tutalimaliza hili au wewe una maoni gani..El akamwambia sijafikilia lolote ila ngoja kwanza nikaongee na Regina...wakati huo huo jk akikutana na msekwa anampa maneno kuwa washighulikie hawa jamaa waondoke..ndio maana msekwa alipomwita lowasa kipindi kile lowasa alimwambia msekwa..mbona wewe unaniambia vitu tofauti na vile alivyoniambia mwenyekiti??
Kikwete ndio tatizo nambari moja ndani ya ccm
Kwa nini mnadhani yeye kikwete hahusiki na makashfa yanayotokea hapa nchini. Wengi wanapoongelea kashfa huongea kana kwamba kikwete anachotakiwa kufanya ni kuwafukuza wengine kumbe huenda hata yeye huwa ni key player wa ufisadi.
Natabiri
- Lowassa atang'oka. Kung'oka kwake kutaleta mpasuko mkubwa CHADEMA wengine wakitaka aalikwe CHADEMA na wengine wakiapa "over my dead body".
- Sitta atapewa karipio kali, na kwa kuwa ni ndumilakuwili ataufyata.
- Chenge is not as powerfull as those two, yeye ataondolewa kirahisi na haraka sana.
- Itapangwa mikakati mikali ya kuhakikisha SUGU anang'oka Mbeya kwa hali na mali, haswa baada ya kuitwa Rais wa Mbeya.
Ngoja waparuane magamba wenyewe kwa wenyewe na wakimaliza sisi tunawamwagia shombo la samaki wakaliwe na mafisadi papaKuna taarifa kwamba, vikao vya awali vya CCM mjini Dodoma vimeanza kwa kuwahoji vijana kadhaa wa UVCCM wanaotajwa kuwa karibu na Watuhumiwa wa ufisadi walotakiwa kujivua gamba.
Haijafahamika kama vijana hao watakua kafara la baba zao ama ndio kipima joto cha maamuzi magumu yanayotarajiwa kufanywa wiki hii. Hakika mwandishi mahiri wa makala katika Raia Mwema alisema, "mbele giza nyuma kaburi" na sasa uamuzi wa kurudi nyuma ni CCM kuingia kaburini na kwenda mbele ni gizani maana magamba yana nguvu za ajabu na kila kukicha yanakua magumu.
Je, CCM itaamua kuingia gizani kuvua magamba ama kurudi nyuma na kuyaacha iwe ni kaburi la CCM?
Taarifa zaidi baadae.
![]()