Laurence
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 3,104
- 426
Mods jaribuni kudhibiti threads zenye uzushi uzushi na zisizo na data kamili zinazohusisha vikao vya NEC Dodoma ili kulinda heshima ya jukwaa. Hali hii ikianza asubuhi hivi watu kibao watalikimbia jukwaa na kuliona kama kijiwe cha uzushi na hakuna ishu serious. Kama huna data na hauna uhakika kaa kimya, nenda kwenye jukwaa la mapenzi changia hoja za kule ambazo nyingi hazina data, ni mambo yanayotokea kitandani watu wakiwa wawili.
Kama unaona ni uzushi anza wewe kukaa pembeni wanaochangia waache wachangie na usilazimishe watu wote kuamini kile unachokiamini wewe