Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

makongoro vp hutaki kurudi ukumbini, ubongo unashtua masaa ngapi, weka kidogo kwenye kichupa ya maji ya kilimanjaro.
 
Nipo Dodoma tangu jana, na sasa nipo hapa maeneo ya white house ktk kuulizia kuhusu ukweli wa jambo hli, nimeambiwa ni kweli mapendekezo ya kuvuliwa gamba yamepelekwa kwa M/kiti taifa na sasa wanasubiri waone maamuzi yakifanyika LAKINI pia inasemekana maamuzi hayo yatapata wakati mgumu sbb ya wingi wa wajumbe wanao muunga mkono Lowasa.
Tusubiri tuone!
 
  • Thanks
Reactions: Ame
anayetakiwa kutoa maamuzi ni Makongoro au JK?

Jk ndumila kuwili, hana lolote harufu ya ufisadi zina mwandama. Makongoro tu mwenye uwezo wa kuongea ukweli. Tatizo lake ni gongo na viroba.
 
Amaaaa kweliiiiiii Natamani lunch yangu leo iwe ya mboga saba na kishushio swaaaaafi.
ado ado mwendo mdundo, tutafika tu. freedom is around the coner, freedom is coming tomorrow.

Amani yetu inatumiwa vibaya.
 
Nasubiri nisikie ni wangapi wataanguka na kuzimia kwa mshtuko,magamba ni zaidi ya kaole na jumba la sanaa.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Gamba kubwa kabisa ni JK; hao wengine wote wamefunikwa na gamba hilo. Huwezi kuvua nguo ya ndani bila kwanza kuvua suruali; lazima gamba lililofunika magamba mengine kwanza livuliwe ndipo uyafikie hayo magamba mengine!
 
You have said it all!!! Mwenye masikio na asikie!!!!

Tiba
 
Gamba kama la Nungunungu au mamba.....
Gamba kubwa kabisa ni JK; hao wengine wote wamefunikwa na gamba hilo. Huwezi kuvua nguo ya ndani bila kwanza kuvua suruali; lazima gamba lililofunika magamba mengine kwanza livuliwe ndipo uyafikie hayo magamba mengine!
 
Ni mapema mno siamini kama JK anaweza kumwajibisha rafiki yake kipenzi ikumbukwe hawajakuna barabarani.

Kwa Ajili ya kuhakikishia mtu wake wa Zenji anakuwa rais anaweza. Huu ni mkakati, hawakukutana barabarai lakini si mtu wa pwani wala si mui......am
 
Naomba unieleze kazi za Waziri Mkuu

Licha ya kuwa msimamizi na mtekelezaji mkuu wa siku hata siku wa kazi na shughuli za Serikali ya Jamhuri ya Muungano; hayo uliyosema aliyafanya Lowassa yana utofauti upi ambao yanamfanya aonekane mchapakazi kazi? Mfano, inafahamika Sokoine alikua mchapakazi kweli kwa jinsi alivyosimamia na kutekeleza maagizo ya rais ya kuwashughulikia wahujumu uchumi kipindi chake.

Sasa Lowassa akiwa waziriki mkuu alifanya jambo gani la "ajabu" ambalo linamsymbolise kama "mchapakazi"?!?
 
huu ni ulimbuken na ujuha kukopy majina ya members..kama huna data kaa kimya
 
Back
Top Bottom