Nimearifiwa na Mjumbe mmoja wa Kamati Kuu ya CCM kuwa Kamati Kuu imemkumbusha Mwenyekiti Kikwete kuwa maamuzi juu ya kuwafukuza Wajumbe 'wachafu' ndani ya CCM kama Lowassa na Chenge ulishafikiwa na hakuna haja ya kuwajadili tena. Wakamtaka atoe mara moja uamuzi wake.Kikwete alikwepa mtego huo kwa kuzungumzia bei ya sukari na kuhamia kwenye ajenda nyingine.Wajumbe wa Kamati Kuu na wale wa NEC wanajiandaa kumtwisha zigo zito Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara,Makongoro Nyerere.More to come....just sit and receive.Nipo hapa nje...