Kilichonifanya niache kuamini kwenye dini

Ubaya wa dini Ni mmoja tu kutokukubali sehemu yenye makosa na kukubali kusahiishwa .tofauti kidogo na sayansi inayokubali sehemu yenye makosa mwenye kuja na facts anasema facts zake na sehemu penye kosa panarekebishwa Ila dini Sasa yenyewe imejivisha kilemba Cha ukamilifu hata Kama Kuna sehemu Kuna kosa hawatakubali Hilo kosa Bali watasema hipo hivyo unapaswa kuamini hivyo hivyo wakati sio sahihi kuwa hivyo
Hawawezi kubali kusahishwa maana wanaamini kuwa Mungu hakosei, wanaanzaje kumkosoa Mungu?
 
WEWE KIJAMBO MMOJA UNATHUBUTU KUMTUKANA MUNGU AMBAYE HUMJUI??!!?
Acha kutumia makushabu jamaa yangu. Vuta bangi ile fresh itakuwa tiba kwako ila makushabu yatazidi kukuharibu. Nakuonea huruma sana unapitia kipindi kigumu sana kwa kuwa makushabu nayajua. Tangu nianze kuvuta bangi kama bangi nimegundua makushabu ni hasara kwa jamii.
Kumtukana hakutasaidia.
 
Hawawezi kubali kusahishwa maana wanaamini kuwa Mungu hakosei, wanaanzaje kumkosoa Mungu?
Na pia ubaya wa dini imeshakwisha kujimilikisha Mungu yaani inaamini kuwa yenyewe ni kazi ya Mungu / imetengenezwa na kuletwa na Mungu wakati ni matokeo ya watu Kama tu ilivyo sayansi ambavyo ni matokeo ya watu wenye akili walioanzisha .Sasa yenyewe dini imeshakwisha kujimilikisha na Mungu kwa hio ni kazi Sana kwao kuamini kuwa Mungu alieanzisha dini anakosea
 
Watu wa dini wengi humu naona wameishia kumtisha na kumtamkia maneno ya sio na manufaa mtoa mada. Hii inaonesha ata wao hakuna walijualo juu ya Mungu.
Hoja IPO hapa "kwenye Mungu kujua Kila kitu" inamaana wa motoni anawajua wa peponi anawajua, anajua kesho yako ipoje anajua Leo yako itaishaje, kwaiyo dunian watu tupo kama character wa kwenye movie ambao watazamaji wanajua mwisho wao upoje.
 
Agiza msosi bill ninalipa mimi
 
Toka nipo shule ya msingi nilikuwa naenda madrasa sana nikawa najiuliza kama Mungu anajua kesho yetu ina maana hadi motoni na peponi basi katupangia watu wa dini ukiwauliza wanasema anajua ila hajakupangia sasa anachokuwa anajua nini huwa siwaelewi kabisaaa

Kwa maono yangu Mungu ndio shetani mwenyewe maana kila kitu kakiumba yeye
Mungu ni kiumbe wa ajabu sana

Ilibidi awe ni the eighth wonder of the universe
 
WEWE KIJAMBO MMOJA UNATHUBUTU KUMTUKANA MUNGU AMBAYE HUMJUI??!!?
Acha kutumia makushabu jamaa yangu. Vuta bangi ile fresh itakuwa tiba kwako ila makushabu yatazidi kukuharibu. Nakuonea huruma sana unapitia kipindi kigumu sana kwa kuwa makushabu nayajua. Tangu nianze kuvuta bangi kama bangi nimegundua makushabu ni hasara kwa jamii.
Wewe unamjua Mungu?
 
Watu wa dini wengi humu naona wameishia kumtisha na kumtamkia maneno ya sio na manufaa mtoa mada. Hii inaonesha ata wao hakuna walijualo juu ya Mungu.
Hoja IPO hapa "kwenye Mungu kujua Kila kitu" inamaana wa motoni anawajua wa peponi anawajua, anajua kesho yako ipoje anajua Leo yako itaishaje, kwaiyo dunian watu tupo kama character wa kwenye movie ambao watazamaji wanajua mwisho wao upoje.
Ahsanteeeeeh,
Pita kwa mangi, pata chochote bill juu yangu.
 
Mimi swali langu ni. Ikiwa yeye anafahamu ata kabla hujazaliwa kwa nini anaruhusu azaliwe mtu ambaye hatumuabudu yeye, atakua mdhambi, mtesi na muuaji wa watu.?

Kwa nini anaruhusu mtu azaliwe katika mateso, mfano mtu viungo havipo ambapo ataishi kwa mateso na kuomba omba.
 
Toka nipo shule ya msingi nilikuwa naenda madrasa sana nikawa najiuliza kama Mungu anajua kesho yetu ina maana hadi motoni na peponi basi katupangia watu wa dini ukiwauliza wanasema anajua ila hajakupangia sasa anachokuwa anajua nini huwa siwaelewi kabisaaa

Kwa maono yangu Mungu ndio shetani mwenyewe maana kila kitu kakiumba yeye
Umefika hatua nzuri sasa ya kukitumia kichwa chako vizuri.. binadamu aliekamilika huwaza vizuri kwa upeo.
 
Back
Top Bottom