Kila mtu ana kichaa chake
wendawazimu wangu ni kuivaa chadema jumlajumla hata wakikimbia mtanange nitakua nao sahani moja
 
Katika saikolojia, kauli ya “kila mtu ana kichaa chake”
wewe Fanya observation utaona

Kila mtu ana tabia, fikra, au hisia zisizo za kawaida au tofauti na wengine, hata kama si ugonjwa wa akili.
View attachment 3464680

Inaweza kumaanisha pia kuwa hakuna mtu mkamilifu kiakili
kila mtu ana mapambano yake ya ndani, huzuni, wasiwasi, au changamoto za kisaikolojia kwa kiwango fulani.

Mtu akiwa addicted na kitu fulani kupitiliza kwa mtu akiwa na mitizamo mingine anaweza kusema kuwa anaukichaa

Kwenye social media Mfano Tiktok
Utakuta kuna vitu vya ajabu ajabu
Ovyo ila utaona kila mtu anakituko chake anachokifanya ( yupo confident na serious)

Mfano kwa mitazamo mingine

Angalia tu
Mtu anayetafsiri movie- unamkuta ni kama anaongea peke yake

Madancer - wanatumia nguvu nyingi kuruka ruka tu

Mwalimu- sometimes anaongea peke yake ni yeye na ubao

Wanawake - muda wote kujiselfie na kuweka weka mafilter kila sk utaona anapost sura yake (ndio ukichaa wake)
Huku akiimba alf utakuta ni mzee

Stand up comedian- muda wote ni kuongea na uongo uongo
(Ukichaa wake)

Wanaongalia TV (muda wote ni Tv tu) ukichaa wake

Wacheza mpira (muda wote anakimbizana na mpira , kuruka , kupiga , (goal keeper anajirusha na kujitupa tu) 90 mins alf unakuta 0-0
Na referee muda wote kuzunguka tu
Mbaba na mindevu yake

Imagine wachezaji wakicheza bila mpira( utapata picha halisi kuwa kila mtu anakichaa chake😅)
Kuna wale wa kubet kila kikicha wao ni mikeka tu

Ingia kwenye posts za watu , profile pic , username zao au status zao utamtambua mtu vizuri na kuthibitisha kila mtu anakichaa chake.


Je wewe unavituko gani? (Ukichaa gani?)
Au jambo la ajabu unalolifanya na watu kukushangaa?
Au kitu gani upo addicted?
Kabisa mkuu na kuna mda huwa kichaa kinajionyeshsa kabisa ,kuna mda unaweza kupiga kelele tu,au kucheza mziki ambao haupo hewani
 
Kabisa mkuu na kuna mda huwa kichaa kinajionyeshsa kabisa ,kuna mda unaweza kupiga kelele tu,au kucheza mziki ambao haupo hewani
Yani 😅😅hapo imagination zikiwa juu
Chochote utakachoimagine unafanya
 
Back
Top Bottom