Kila mtu ana kichaa chake

Marco Seth

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2022
Posts
4,680
Reaction score
5,653
Katika saikolojia, kauli ya “kila mtu ana kichaa chake”
wewe Fanya observation utaona

Kila mtu ana tabia, fikra, au hisia zisizo za kawaida au tofauti na wengine, hata kama si ugonjwa wa akili.
3604B5C0-60A2-4FCE-BFF5-0058D522035C.jpeg

Inaweza kumaanisha pia kuwa hakuna mtu mkamilifu kiakili
kila mtu ana mapambano yake ya ndani, huzuni, wasiwasi, au changamoto za kisaikolojia kwa kiwango fulani.

Mtu akiwa addicted na kitu fulani kupitiliza kwa mtu akiwa na mitizamo mingine anaweza kusema kuwa anaukichaa

Kwenye social media Mfano Tiktok
Utakuta kuna vitu vya ajabu ajabu
Ovyo ila utaona kila mtu anakituko chake anachokifanya ( yupo confident na serious)

Mfano kwa mitazamo mingine

Angalia tu
Mtu anayetafsiri movie- unamkuta ni kama anaongea peke yake

Madancer - wanatumia nguvu nyingi kuruka ruka tu

Mwalimu- sometimes anaongea peke yake ni yeye na ubao

Wanawake - muda wote kujiselfie na kuweka weka mafilter kila sk utaona anapost sura yake (ndio ukichaa wake)
Huku akiimba alf utakuta ni mzee

Stand up comedian- muda wote ni kuongea na uongo uongo
(Ukichaa wake)

Wanaongalia TV (muda wote ni Tv tu) ukichaa wake

Wacheza mpira (muda wote anakimbizana na mpira , kuruka , kupiga , (goal keeper anajirusha na kujitupa tu) 90 mins alf unakuta 0-0
Na referee muda wote kuzunguka tu
Mbaba na mindevu yake

Imagine wachezaji wakicheza bila mpira( utapata picha halisi kuwa kila mtu anakichaa chake😅)
Kuna wale wa kubet kila kikicha wao ni mikeka tu

Ingia kwenye posts za watu , profile pic , username zao au status zao utamtambua mtu vizuri na kuthibitisha kila mtu anakichaa chake.

Je wewe unavituko gani? (Ukichaa gani?)
Au jambo la ajabu unalolifanya na watu kukushangaa?
Au kitu gani upo addicted?
 
Mi naona kama una elezea passion wala sio ukichaa au addiction
 
mimi ukichaa wangu huja nikipandwa hasira kiasili nachelewa sana kukasirika ila bahati mbaya yakinifika hapa nikakushindwa kwl utasema huyu kichaa kilikuwa kimelala wengi huniuliza hivi fulani ni ww kwl ?ila hutokea kwa nadra sana.
 
Hatar
 
Nafanya mazungumzo na mimi kichwani najiuliza na kujijibu mwenyewe, naanza kuona haina haja ya kuongea na watu 😅😅
Inner voices😅😅kama mm tu (introverted)
It seems crazy
Ila ndio njia za ufikiriaji
 
Katika saikolojia, kauli ya “kila mtu ana kichaa chake”
wewe Fanya observation utaona

Kila mtu ana tabia, fikra, au hisia zisizo za kawaida au tofauti na wengine, hata kama si ugonjwa wa akili.
View attachment 3464680

Inaweza kumaanisha pia kuwa hakuna mtu mkamilifu kiakili
kila mtu ana mapambano yake ya ndani, huzuni, wasiwasi, au changamoto za kisaikolojia kwa kiwango fulani.

Mtu akiwa addicted na kitu fulani kupitiliza kwa mtu akiwa na mitizamo mingine anaweza kusema kuwa anaukichaa

Kwenye social media Mfano Tiktok
Utakuta kuna vitu vya ajabu ajabu
Ovyo ila utaona kila mtu anakituko chake anachokifanya ( yupo confident na serious)

Mfano kwa mitazamo mingine

Angalia tu
Mtu anayetafsiri movie- unamkuta ni kama anaongea peke yake

Madancer - wanatumia nguvu nyingi kuruka ruka tu

Mwalimu- sometimes anaongea peke yake ni yeye na ubao

Wanawake - muda wote kujiselfie na kuweka weka mafilter kila sk utaona anapost sura yake (ndio ukichaa wake)
Huku akiimba alf utakuta ni mzee

Stand up comedian- muda wote ni kuongea na uongo uongo
(Ukichaa wake)

Wanaongalia TV (muda wote ni Tv tu) ukichaa wake

Wacheza mpira (muda wote anakimbizana na mpira , kuruka , kupiga , (goal keeper anajirusha na kujitupa tu) 90 mins alf unakuta 0-0
Na referee muda wote kuzunguka tu
Mbaba na mindevu yake

Imagine wachezaji wakicheza bila mpira( utapata picha halisi kuwa kila mtu anakichaa chake😅)
Kuna wale wa kubet kila kikicha wao ni mikeka tu

Ingia kwenye posts za watu , profile pic , username zao au status zao utamtambua mtu vizuri na kuthibitisha kila mtu anakichaa chake.

Je wewe unavituko gani? (Ukichaa gani?)
Au jambo la ajabu unalolifanya na watu kukushangaa?
Au kitu gani upo addicted?
Kwa mfano wewe mkuu una kichaa kipi ⁉️
😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom