Hivi baba yako kwa nini hakukupeleka shule ili uwe na upeo?
Umelongwa nini unajua elimu yangu au unskurupuka tu,jibu hoja kwa nini aliitwa Mr ziro akiwa waziri mkuu,
Hivi baba yako kwa nini hakukupeleka shule ili uwe na upeo?
Sumaye ni hewa tu nakumbuka maongezi yske na waandishi wa habari eti ccm ikimpitisha MTU kwenye kashfa ya ufisadi nitaama chama,akimlenga lowasa Leo hii anaongea nini?
Kiburi cha JK kiko juu mno na matokeo yake ni anguko lake na chama cha mapinduzi.
Team ilio upande wa ccm wamebaki kujitumainisha tu kusiko na Tumaini halisi,wanajitia moyo na kujifariji kuwa Watashinda.
Wakati uhalisia wa Mambo chama tawala kuachwa na MAWAZIRI WAKUU WASTAAFU WAWILI NA KWENDA KUJIUNGA NA CHADEMA/UKAWA HILO NI PIGO KUBWA SANA,Maana hao wanajua SIRI NZURI NA MBAYA ZA SERIKALI YA CCM.
Midomoni mwa makada wa ccm walibakia kuenzi kijani WANACHEKA lakini Mioyoni mwao wanajaziba,hasira na wana uhakika ngoma imewashinda mwaka huu USHINDI SIO WAO.
SASA JK AMEMWELEWA SANA TENA SANA TU,NA AKIJIFANYA KUENDELEA KUBWABWAJA ANACHOFANYA SUMAYE/UKAWA NI KUBONYEZA MAHALI PENYE JERAHA TU Hapo utasikia MACCM WAKIANGUA KILIO TU.
Acha kubwabwaja wewe!! ulishaambiwa kwenye siasa hakuna adui wala rafiki wa kudumu. Kwa hiyo kuja kwa Lowasa na Sumaye ndani ya Ukawa kimewapa ccm pigo na kichomi ambayo itakuwa ni historia katika nchi hii. Subirini oct mtaenda kulilia chooni.
Umelongwa nini unajua elimu yangu au unskurupuka tu,jibu hoja kwa nini aliitwa Mr ziro akiwa waziri mkuu,
Nilwahi kusikia kenge ana vituko kibao. Akinyeshewa yeye hukimbilia majini kujificha mvua. Sijui ni uelewa au ni mbwembwe zake tu
Du! MUSSA ALLAN umehamia upinzani?
Hili la shamba ekari 300, nayo hoja? Mbona muhindi amepewa like shamba la Mpunga mbarali na serikali hii, nadhani ekari 10000' halafu anawakodishia wazawa , yaaani ukabaila in 20th century, na hata kinana mwenyewe ilimsitua, naona tunajishusha sanaAnamili kihalali au kiharamu?
Kama ni kiharamu CCM si bado mna dola why msilichukue?
Lile shamba la miembe la Mwinyi pale Mkuranga lililogeuzwa mavuno ya mkaa vipi anamiliki kihalali au kiharamu?
Hili la shamba ekari 300, nayo hoja? Mbona muhindi amepewa like shamba la Mpunga mbarali na serikali hii, nadhani ekari 10000' halafu anawakodishia wazawa , yaaani ukabaila in 20th century, na hata kinana mwenyewe ilimsitua, naona tunajishusha sana
Lusungo,
Nafikiri ungejaribu kutengeneza video labda akikusikiliza huku akiangalia video anaweza at least kuambulia mawili au matatu. Wanafunzi wengine ni visual learners, and he might be one of them.
Hizo ni siasa, hata nyerere aliitwa haambilki, Jakaya akaitwa jangala, Lowassa akaitwa fisadi, slaa akaitwa babu, Dr. Salim akaitwa hizboSumaye alipokuwa CCM alikuwa zero leo kahamia UKAWA mnamwona mwana mabadiliko 😂😂😂😂😂😂😂 siasa kazi sana 🏃🏾🏃🏾🏃🏾🏃🏾🏃🏾🏃🏾🏃🏾🏃🏾🏃🏾
Jiwe hilo... HahahahaNdugu umeelewa topic?
Unajua lengo la uzi ni nini? hapa yanahitajika majibu au sentensi za kuungwa mkono?
au nawewe upo ktk kundi la jiwe?
ulutheri na UKANDA NDIYO ULIYOMPELEKA SUMAYE UKAWA NA SIYO HOJA SISI TUNALIJUA ILA TUTAONANA OCTOBR 25