hebu nifafanulie hapa kama nikubwa la mafisadi lowasa naomba kujua listi ya mafisadi mpaka tulipate dogo la mafisadi.
Biot
iptl
chench ya rada
meremeta
gass
kivuko cha magufuli
esxrow
epa
nyingine ongezea wewe alafu nipangie list hapo kuanzia kubwa la mafisadi mpaka yule dogo la mafisadi alafu mutueleze ilikuaje hawakufikishwa mahakamani na hamukuwahi kuyazungumzia mabaya yao mpaka walipowakimbia?kina muhongo na tibaijuka wajuzitu kwenye esxrow leo munawanadi tuwape kura hata hatujasahau maovu yao alafu muje kutupigia umbea wa miaka nane.lowasa ndiye rais hata iweje.na nasikia mudajidanganya eti hamutakabidh nch sasa jaribun ndi mujue tutatoa hukumu gani juu yenu kama icc haitawatembelea ndo hapo october