mlokole halisi
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 268
- 87
jf ni mahali pazuri pa kujifunza........nawasalimu akina gold...silva na ......
ndugu wana jf,
nimelazimika kumwandikia rafiki yangu kipenzi jk waraka huu wa swali kwamba sasa amemwelewa sumaye? Ktk makundi ya wanafunzi tunazo aina tatu yaani gold...silver...stone.
Gold huweza kuelewa bila msaada wa mwalimu na kwa haraka sana... Silver huelewa mara moja akifundishwa na mwalimu na hahitaji nguvu ya ziada ... Stone yeye hata akifundisha ni ngumu kuelewa na huhitaji mbinu kali zaidi aelewe ikibidi kwa kurudia rudia somo lkn hawa hawafiki mbali kielimu.
Nimeanza na utangulizi huo nikiikumbuka kauli ya rafiki yangu jk pale jangwani kwenye ufunguzi wa kampeni za ccm aliposema amemsikiliza sumaye hajamwelewa!! Anasema mpaka siku hiyo anapokwenda uwanjani alikuwa hajamwelewa!!!!
Lakini ktk sokomoko hilo tumeshuhudia ccm ikibadili mbinu na sera... Bajeti ya kampeni ikiongezeka maradufu na hata kuwakumbatia wale jk aliowaita wanamiliki viwanda vya uongo ili tu kupunguza mvumo wa kauli na sumu za sumaye majukwaani ndo nauliza sasa jk amemwelewa sumaye?
Ndani ya vikao vya siri ajenda imekuwa sumaye... Ndugu yangu bm hana raha tangu sumaye aondoke ccm...
Vilio na kutupiana lawama vimetawala ndani ya ccm juu ya kile sumaye anafanya huko ukawa!!!
Mafaili machafu dhidi yake yametafutwa yamekosekana!! Hata hoja ya shamba halali la mvomero iliyoletwa na makamba haijauza sasa wanaulizana itakuwaje sumaye anayetujua sisi binafsi akiamua kufunguka??
Siku anajitoa ccm sumaye alisema huko ccm mmemuona ni sisimizi tu kiasi cha kuandika barua kutojibiwa hivyo wataona umuhimu wake akiwa upinzani na ni dhahiri sasa anawatetemesha ndipo nauliza jk sasa umemwelewa sumaye?
Nimeuliza kote walikopita wana ukawa nimeambiwa watu wamekua na shauku kubwa mno yakumsikiliza bwana zero kuliko yeyote na amekuwa akitoa hamasa sana ....
Sumaye amejenga ujasiri sana kwa wapinzani na wapenda mabadiliko... Ameondoa hofu na woga... Amejenga kujiamini sasa vinaanza vitisho kuwa nchi haiendi upinzani!!!!
Nauliza tena jk uliyesema kwa dharau humwelewi sumaye sasa umemwelewa au abadili mbinu za ufundishaji? Umuulize na mdogo wako makongoro ule mchezo wa chandimu vipi mbona amechoka mapema??
Ahsante kwa kunisoma natumai umenielewa!!!
Ndimi lusungo.
nashangaa sana kuona ziro amegeuka ndiyo jembe la wapinzani kama ambavyo nashangaa sana kubwa la mafisadi kugeuka kuwa ndiyo nabii wa upinzani....
inji hii....full vituko!!!
hebu nifafanulie hapa kama nikubwa la mafisadi lowasa naomba kujua listi ya mafisadi mpaka tulipate dogo la mafisadi.
Biot
iptl
chench ya rada
meremeta
gass
kivuko cha magufuli
esxrow
epa
nyingine ongezea wewe alafu nipangie list hapo kuanzia kubwa la mafisadi mpaka yule dogo la mafisadi alafu mutueleze ilikuaje hawakufikishwa mahakamani na hamukuwahi kuyazungumzia mabaya yao mpaka walipowakimbia?kina muhongo na tibaijuka wajuzitu kwenye esxrow leo munawanadi tuwape kura hata hatujasahau maovu yao alafu muje kutupigia umbea wa miaka nane.lowasa ndiye rais hata iweje.na nasikia mudajidanganya eti hamutakabidh nch sasa jaribun ndi mujue tutatoa hukumu gani juu yenu kama icc haitawatembelea ndo hapo october
Jibu swali kima wewe leo upo shift centre ipi? Masaki au Lumumba?
The best u can do is insulting....poor u...siwezi kujibizana na mpumbavu???
Ndugu wana JF,
Nimelazimika kumwandikia rafiki yangu kipenzi JK waraka huu wa swali kwamba sasa amemwelewa Sumaye? Ktk makundi ya wanafunzi tunazo aina tatu yaani gold...silver...stone.
Gold huweza kuelewa bila msaada wa mwalimu na kwa haraka sana... Silver huelewa mara moja akifundishwa na mwalimu na hahitaji nguvu ya ziada ... Stone yeye hata akifundisha ni ngumu kuelewa na huhitaji mbinu kali zaidi aelewe ikibidi kwa kurudia rudia somo lkn hawa hawafiki mbali kielimu.
Nimeanza na utangulizi huo nikiikumbuka kauli ya rafiki yangu JK pale jangwani kwenye ufunguzi wa kampeni za CCM aliposema amemsikiliza Sumaye hajamwelewa!! anasema mpaka siku hiyo anapokwenda uwanjani alikuwa hajamwelewa!!!!
Lakini ktk sokomoko hilo tumeshuhudia CCM ikibadili mbinu na sera... Bajeti ya kampeni ikiongezeka maradufu na hata kuwakumbatia wale JK aliowaita wanamiliki viwanda vya uongo ili tu kupunguza mvumo wa kauli na sumu za Sumaye majukwaani ndo nauliza sasa JK amemwelewa Sumaye?
Ndani ya vikao vya siri ajenda imekuwa Sumaye... ndugu yangu BM hana raha tangu Sumaye aondoke CCM...
Vilio na kutupiana lawama vimetawala ndani ya CCM juu ya kile Sumaye anafanya huko UKAWA!!!
Mafaili machafu dhidi yake yametafutwa yamekosekana!! hata hoja ya shamba halali la mvomero iliyoletwa na Makamba haijauza sasa wanaulizana ITAKUWAJE SUMAYE ANAYETUJUA SISI BINAFSI AKIAMUA KUFUNGUKA??
Siku anajitoa CCM Sumaye alisema huko CCM mmemuona ni sisimizi tu kiasi cha kuandika barua kutojibiwa hivyo wataona umuhimu wake akiwa Upinzani na ni dhahiri sasa anawatetemesha ndipo nauliza JK sasa umemwelewa Sumaye?
Nimeuliza kote walikopita wana UKAWA nimeambiwa watu wamekua na shauku kubwa mno yakumsikiliza bwana zero kuliko yeyote na amekuwa akitoa hamasa sana ....
Sumaye amejenga ujasiri sana kwa wapinzani na wapenda mabadiliko... ameondoa hofu na woga... amejenga kujiamini sasa vinaanza vitisho kuwa nchi haiendi upinzani!!!!
Nauliza tena JK uliyesema kwa dharau humwelewi Sumaye sasa umemwelewa au abadili mbinu za ufundishaji? umuulize na mdogo wako Makongoro ule mchezo wa CHANDIMU vipi mbona amechoka mapema??
Ahsante kwa kunisoma natumai umenielewa!!!
Ndimi LUSUNGO.
Hee kumbe wewe ndo Elungata? maana nimemjibu yeye weye wasema huwezi jibizana nami...
Hahahahahahah umechapia PC mkuu? kwi! kwi! kwi!
Kwakwakwaaaaa teh teh umekosea kubofya naona upo shift hapo mausingizi yamekukaba mpaka unakosea na kuchanganya laptop masikini!!
Yaani mtu mmoja unashiriki kwa ID 10??
Hivi mmewahi jiuliza huo utumwa mtaufanya mpaka lini?
Daah hiyo wapi IT centre Masaki au Lumumba? wasalimu mkuu....
Ila nyinyi CCM mnapomdhihaki Lowassa ni sawa kwakuwa si mwanadamu aliyeumba na Mungu si ndiyo?