Kikwete, sasa umemwelewa Sumaye?

Kikwete, sasa umemwelewa Sumaye?

Nawe pia ni kundi la stone,huwezi kumuelewa lusungo! Unakariri tu Sawa na ndugu #HapaMatusiTu ,na mkwere.
Kwanza nimeweka sahihi kama professional,naichukia ccm kuliko hata mbowe Kwa sababu walipora mali yetu,soma uelewe nachoeleza night kitu kisicho husiana name siasa inahusu watoto wetu mashuleni, ni kama ukizungumzia kuuawa kwa maalbino, kwani suala hilo halina chama.na nasema hivyo kwa sababu msingi mkuu was kufundisha wanafunzi night kuwaelewa na kuwapa kipaumbele kwa maana ya kuwafundisha
slow leaners taratibu na bila kuwatisha,ndiyo maana nimeeleza hayo. Sasa wewe unapo kurupuka na hayo inaonyesha upeo wako.
 
Last edited by a moderator:
Kalumanzila, Sangoma, wataalam kule mlingotini Bagamoyo na mrithi wa Sheikk Yahya ndo anaowasikiliza sasa hivi.

Ningekuwa karibu naye ningempeleka Makka (sio kibla), pale Kuna wataalamu wa majini balaa.
 
Mr Zero ana UliZwa shamba la Mvomero anasema ni dhambi kumiliki ekari 300,ukawa mnamuelewa nyie tu Mr Zero

Mimi namiliki heka 670 sembuse hizo mia tatu? Hawa wengine wanaodaiwa kuchota Escrow huwaoni au ndiyo umelipwa kwa kazi maalumu?
 
Mr Zero ana ulizwa na Tido wewe uliwahi kusema Lowassa ni Fisadi leo una muuza kwa Watanzania ameacha Ufisadi?? Mr Zero anajibu yeye hajawahi sema Lowassa ni Fisadi ila alisikia tu mitaani

Yeye hajawahi kusema Lowasa Fisadi bali alisema ccm ikiteuwa fisadi ataondoka.
Na ndiyo yametimia baada ya kuteuwa fisadi Magufuli katoka
 
hivi JK kilaza huwa anapata na wasaa wa kuwasikiliza akina zero wenye IQ kubwa?
 
Wewe kama jeuri basi pita Upanga na sumaye kama sijatemea mate yote wewe na bana ziro toka gorofa

Kumbe hofu yako ni kurudishwa India.
Mwaka huu tunachukua Nchi na kama unaishi Nchini kwa feki Document itakugharimu.
 
CCM wamejisahau sana matokeo yake ndo yataonekana oct. 25, sijawahi sikia mwizi akijisifia kuiba[ goli la mkono, maarifa ya kushinda tunayo.....]
 
CCM imebakiza mwezi mmoja na siku kadhaa madarakani, watukabidhi nchi yetu kwa Amani. Hatutaki fujo, wala damu ya mtu imwagike! Watukabidhi kiroho safi kama waingereza walivyofanya kwa Nyerere mwaka 1961.

Du! MUSSA ALLAN umehamia upinzani?
 
Last edited by a moderator:
Mbona siku nyingi tu,mara ya kwanza nilipoona mchango wake alipohamia upinzani nilidhani sio yeye ila kuna watu wanadukua account yake.

Mussa hajaamia upinzani.
Kamfuata Lowassa
 
Back
Top Bottom