Kikwete, sasa umemwelewa Sumaye?

Nilwahi kusikia kenge ana vituko kibao. Akinyeshewa yeye hukimbilia majini kujificha mvua. Sijui ni uelewa au ni mbwembwe zake tu
 
Du,umenikumbusha ya jangwani mtoto wa mwalimu na uchawi
wa kifimbo na story za chandimu,sasa toka kampeni
zianze kushika kasi sijawahi kumuona,au ndo kusema kifimbo kimedhibitiwa na maombi?
 
Haha ndio maana nikaamua leo nimuulize JK nayeye amemwelewa Sumaye au bado anahitaji mbinu nyingine za ufundishaji aelewe?

Mkuu kumuelewa sumaye keshamuelewa kitambo 2....ila c unajua tabia zake z mipasho ndio asili yke...mpka mwanawe teja nae mipasho tu unga wa kin'goko umemlewesha....2015 ccmout
 
Na wewe una akili za sisimizi ka Sumaye. Amekuwa Waziri Mkuu kwa miaka 10 hadi kipindi chake kilipoisha.

Ni concern gani tena aliitaka toka kwa Serikali. Ni yeye pekee ndo anastahili?

Nonsense.
 
Na wewe una akili za sisimizi ka Sumaye. Amekuwa Waziri Mkuu kwa miaka 10 hadi kipindi chake kilipoisha.

Ni concern gani tena aliitaka toka kwa Serikali. Ni yeye pekee ndo anastahili?

Nonsense.

Ndugu nani ana akili za sisimizi kati yangu nawewe?

Mi nimeuliza kama JK amemwelewa Sumaye kama alivyosema jangwani wewe unaleta stori za kuchumpa!!

Kwani Sumaye anagombea cheo gani UKAWA mpaka useme anajiona yeye tu ndo anafaa?

au nawe upo ktk kundi la jiwe?
 
Du,umenikumbusha ya jangwani mtoto wa mwalimu na uchawi
wa kifimbo na story za chandimu,sasa toka kampeni
zianze kushika kasi sijawahi kumuona,au ndo kusema kifimbo kimedhibitiwa na maombi?

Nakumbuka sana sasa sijui hiyo chandimu imeishia wapi!!!
 
Back
Top Bottom