Kikwete, sasa umemwelewa Sumaye?

CCM ni shida. Hawana kitu vichwani. Mh.Rais hajui kwa nini watu wake maskini wakati kuna kila kitu. Ngumu sana kumuelewa graduate wa Harvard university.
Na mgombea wao naye kituko. Jamaa anapenda kuangalizia vya wenzake. Eti M4C kaifanya yake. Ph.D haitendei haki. Wanataaluma wa UDSM jaribuni kukaa tena,nina wasiwasi na JPM.

Haha sasa aje atueleze amemwelewa Sumaye au bado?
 
mwaka huu maCCM watatafutana sana, hawana pa kutokea.

Haha wanasubiri mwenyekiti wao JK arudi kuwaelewesha somo la Sumaye kama walivyomsubiri awape ufafanuzi wa ESCROW!!!
 
CCM ni shida. Hawana kitu vichwani. Mh.Rais hajui kwa nini watu wake maskini wakati kuna kila kitu. Ngumu sana kumuelewa graduate wa Harvard university.
Na mgombea wao naye kituko. Jamaa anapenda kuangalizia vya wenzake. Eti M4C kaifanya yake. Ph.D haitendei haki. Wanataaluma wa UDSM jaribuni kukaa tena,nina wasiwasi na JPM.

Watu ambao "hawana kitu kichwani" wamewahenyesha upinzani..
Wameungana kimtindo lakini bado, na hiyo Ukawa yao bado wananyimwa usingizi na "wasio na kitu kichwani".
Nadhani hao walioshindwa kuwamudu wasio na kitu kichwani ndo maboga kabisaaa
 
Aaaaa nimemkumbuka CHANDIMU, amakweli michezo ya watoto (CHANDIMU) haikeshi. Makongoro kapotelea palepale Jangwani

Tena alijitapa wamwandalie mkutano bila wasanii wamwite yeye aje amwage nondo!!!

Haha sasa kote wanapita na wasanii nilisubiri waitishe mkutano usio na wasanii!!!
 
Mr Zero anasema miaka 50 CCM haijafanya kitu,Tido ana muuliza wewe ulikua Waziri Mkuu miaka 10 si ndio hiyo infanya 50??? Mr Zero anasema yeye alikua anafanya kazi sana hata likizo hakwenda! what a bogus old fool!
 
Sumaye amesema leo hata kama CCM wakishinda huu uchaguzi zile dharau za awali zitaisha kabisa.!

Naona sasa hivi ccm wametambua kuwa pale magogoni ni wapangaji na si wamiliki kama walivyokuwa wakijiaminisha miaka yote.!
 
Tido ana muuliza Mr Zero kuwa CCM wanasema wamefanya utafiti wao na kuwa watashinda kwa 69%,nyie ukawa mtapata ushindi asilimia ngapi? Mr zero anajibu Mungu atasaidia Ushindi wa Ukawa asilimia zozote tutapata!
 
Mr Zero anasema miaka 50 CCM haijafanya kitu,Tido ana muuliza wewe ulikua Waziri Mkuu miaka 10 si ndio hiyo infanya 50??? Mr Zero anasema yeye alikua anafanya kazi sana hata likizo hakwenda! what a bogus old fool!

Vipi JK sasa ameelewa au bado?
 
lusungo watu wengi wakati Sumaye anakuja UKAWA hakumwelewa ila kwa sasa amekuwa sumu kali kuliko Lowasa .
Jk anamwelewa sana Sumaye kuondoka kwake sisi wenyewe wanajua wamepata pigo kubwa sana tatizo la viongozi wetu wengi hupenda kujitoa ufahamu .labda tarehe 25.10.2015 ndo atamwelewa Sumaye.

LOWASA HUYO ANAKUJA NA TANZANIA MPYA .
 
Mr Zero ana UliZwa shamba la Mvomero anasema ni dhambi kumiliki ekari 300,ukawa mnamuelewa nyie tu Mr Zero
 
Mr Zero anaulizwa na Tido elimu bure mtatoaje yeye anasema mambo yatajipa tu..what a hopeless old Zero
 
Mr Zero anasema miaka 50 CCM haijafanya kitu,Tido ana muuliza wewe ulikua Waziri Mkuu miaka 10 si ndio hiyo infanya 50??? Mr Zero anasema yeye alikua anafanya kazi sana hata likizo hakwenda! what a bogus old fool!
hahahahaw.....
kuna mda niliona kapost kako umejidai we sio mtanzania nami nikasadiki kumbe nawe ni walewale stones level
alaf kiswahili unakijua tena kile cha kanga moko
muda mwingne uwe unafanya hata hivi ✌🏽✌ kwa kujiiba
si unaona ad magufuli uwa anafanya

jingalao wewe 🏽
 
Last edited by a moderator:
Mr Zero ana UliZwa shamba la Mvomero anasema ni dhambi kumiliki ekari 300,ukawa mnamuelewa nyie tu Mr Zero

Anamili kihalali au kiharamu?

Kama ni kiharamu CCM si bado mna dola why msilichukue?

Lile shamba la miembe la Mwinyi pale Mkuranga lililogeuzwa mavuno ya mkaa vipi anamiliki kihalali au kiharamu?
 
Mr Zero ana ulizwa na Tido wewe uliwahi kusema Lowassa ni Fisadi leo una muuza kwa Watanzania ameacha Ufisadi?? Mr Zero anajibu yeye hajawahi sema Lowassa ni Fisadi ila alisikia tu mitaani
 
hahahahaw.....
kuna mda niliona kapost kako umejidai we sio mtanzania nami nikasadiki kumbe nawe ni walewale stones level
alaf kiswahili unakijua tena kile cha kanga moko
muda mwingne uwe unafanya hata hivi ✌✌ kwa kujiiba
si unaona ad magufuli uwa anafanya

jingalao wewe 

Hahahahah twende naye taratibu nampata sana huyu hopeless creature!!

Anapenda kujifanya mjuvi kumbe maamuma tu!!!
 
Last edited by a moderator:
hahahahaw.....
kuna mda niliona kapost kako umejidai we sio mtanzania nami nikasadiki kumbe nawe ni walewale stones level
alaf kiswahili unakijua tena kile cha kanga moko
muda mwingne uwe unafanya hata hivi ✌✌ kwa kujiiba
si unaona ad magufuli uwa anafanya

jingalao wewe 

Ile Sumaye iko na akili dogo saana,yeye naelewa tu ongea halafu siku bili nasahau neno yote sema nyuma
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom