Kigali, Kigali, Kigali ....Jamani nini hii??

Kigali, Kigali, Kigali ....Jamani nini hii??

mmh naanza kukuwaza kwa jicho la 3 kigari!

kwaio ikisikia mr anaenda kigari training uanze kusoma novena kbs?? daah haya bana.
 
Hapnshaka babu

Mimi nuko swalama kabisa
We nipe mkono wa kheri tu

Na baraka zako nizipate!

Kusema kweli siwezi kukutakia heri ambayo najua hutapata.....

Its at your own risk and you have been strongly cautioned...!!

Nitaomba tu unisamehe brother....

Babu DC!!
 
Kuwa mkweli FaizaFoxy, nini kizuri kati ya fanicha hizo na mabinti!! ongelea general perspective, usijikwepeshe!

Hata mimi nimemshangaa zana huyu mkubwa mwenzetu...

Halafu mwone huyo mwingine hapo chini anavyofanya uchokozi wa makusudi kabisa.....


hata hivyo viglass nimevipenda sana

Basi nakubalina na nyie, hakuna kitu kingine zaidi ya fenicha na viglass.....

Mmefurahi??

Babu DC!!
 
ha haaa, mimi ni mtu mzima bana....
kuanza kwenda mgambo saa hizi si nitaishia kuvunjika mgongo?
la maana kwangu ambalo nakazana nalo kila siku ni kujifua vizuri kwenye mechi..... ili hata akiwa anawaangalia hao warembo awe anakumbuka ninavyomtoa knock-out kila mechi


:shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth:

Babu DC!!
 
na mie nimewaza kwenda huko ili niwakataze wengine nitakaporudi

Dark City ngoja na mie niende pande hiyo[kigali], halafu nikirudi nitakuunga mkono kuwakataza watu wasiende huko

Nimeamini kwamba kila binadamu ni Tomaso,

Yaani maneno yooooote niliyoongea toka asubuhi bado watu mnataka kwenda kuchuma majanga.....

Naona sasa nioshe mikono yangu kama Pilato....

Babu DC!!
 
Nini kinaendelea hapa?


Mkuu na wewe unataka kuwa Tomaso.....

Hapa tunawataarifu ndugu na marafiki kwamba Kigali si salama kwa afya.....kama ambavyo nasikia na Addis nayo inavyotishia utengamano wa physiology!!

Bado una swali??

Babu DC!!
 
mmh naanza kukuwaza kwa jicho la 3 kigari!

kwaio ikisikia mr anaenda kigari training uanze kusoma novena kbs?? daah haya bana.


Novena haitakusaidia kitu mdogo wangu....Ukisoma yako naye anasoma yake....

Hujawahi kusikia mwizi akimwomba Mungu ili amsaidie akamilishe mission yake ya wizi??

Kigali siyo salama kwa Me na Ke, dawa ni kubebana ili kila mtu achunge mzigo wake....

Mie nimetimiza wajibu wangu kwa kuwajulisha haya...

Babu DC!!!
 
Kigali kuna popobawa?


Hahahahahahahahahahahah,

Sie tunaongelea vitu vinavyoonekana bwana na siyo majini na illusions....

Kigali kuna wadudu wanaweza kukufanya ukawa kichaa hivi hivi.....

Hutaki kuamini??

Babu DC!!
 
aaaaa kigali weee lazima nirudi tena kigali


Ushauri wangu ni kwamba avoid Kigali as much as you can....

Kama hamtaki kunisikia basi tena....sina la kufanya ila najua mtanikumbuka....

Utawezaje kuhimiri wakati ni kama vile kila unapoenda unakutana magari bomba kutoka kwenye kiwanda kimoja??

I don't like this at all.... Na sitaki hata wengine wakutane na hii karaha!!
Mtambuzi ni shahidi yangu!


Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Nyie vip... we babu wewe! kigali mbona cha mtoto.... Anzia Hargeisa somalia, Shuka mogadishu, nenda Addis Ababa, then ndo urudi kigali, ila bujumbura pia si haba, usisahau singida pia.... kama ukijiskia umechoka sana shuka bondeni afika kusini... then pandisha Gaborone na Ukapumzike Maputo.......
 
Hebu niache nisiseme siri paw akanifukuza jf banaa. Im 90% sure hakurudi. Mzanzibari wa watu lol. Basi tuu niishie hapo. Kigali is anazar in bongo movie tone.
una uhakika gani kama ulimuokoa?
usikute alirudi mwenyewe peke yake siku ingine
na alikulaani kwa kumganda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom