Rushwa ya ngono kwenye ndoa na mahusiano....!!

Dark City

JF-Expert Member
Oct 18, 2008
16,253
11,599
Nimetokea kufuatilia (accidentally) kipindi cha Mama Terry kwenye TV yao (TBC1) na kukutana na vitu ambavyo vimeniacha hoi...

1. Eti kuna rushwa ya ngono kwenye ndoa...mzee ananyimwa unyumba hadi atoe pesa kwa ajili ya kitu fulani. Mfano, sare za harusi au kununua vito. Pia kwamba anaweza kutakiwa kuongeza dau kama anahitaji dozi ya pili...

2. Baadhi ya watu ambao wanaonekana wagumu wanawekewa mitego na wafanyakazi wenzao hadi wauvae mkenge. Na kwamba hili linawahusu wanaume wagumu, ambao anaweza kujaribiwa na wafanyakazi wa kike kama 4 au zaidi hadi anaswe. Na akishanaswa, basi anakuwa blackmailed, kiasi kwamba akitaka kujichomoa au kufanya kinyume na huyo mdau anatishiwa usalama wake..!

3. Watu wanaleweshwa na maneno ya kitapeli...baby, honey, sweetie etc...hadi anatangaza ndoa ndani ya muda mfupi...

Yamesemwa mengi ila haya kwa kweli yamenitisha....

Hivi akina Babu tuko salama??...

Babu DC!!

cc: Kaizer, Asprin, PakaJimmy, @FP, Smile, KOKUTONA, snowhite, CHUAKACHARA, Blaki Womani, Filipo, Arushaone, Lily Flower (mama wa nyuki wa machine), marejesho, gfsonwin (najua hawezi kujaribu kwa sasa), Mtambuzi..
 
Last edited by a moderator:
mie nawaambiaga papuchi for sale kila sehemu hamna k ya bure

Hapana bwana,

Haiwezi kuwa kila mahali.....

Ngoja niwasubiri wadau wanihakikishie kama kweli na mimi nimekuwa nikiuziwa hadi nastaafu..lol!!

Babu DC!!
 
huwa nashindwaga kukuelewa kwa kweli.
Back to topic iyo ipo sana tena usiombe umkere wife halafu ucku unataka mambo lazima utoe mlungura au uahidi.
Na wengine 0714 anaambiwa atoe dau apewe dozi.
Kuta za vumba zinasitiri mengi

Bado sitaki kuamini kwamba hata wale wa 1947 wamekuwa wakutukama ki hivyo..

Kama unaongelea mambo yenu ya dot com siwezi kubisha...

Ngoja tumsubiri Madame B atupe ushuhuda wake..

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
huwa nashindwaga kukuelewa kwa kweli.
Back to topic iyo ipo sana tena usiombe umkere wife halafu ucku unataka mambo lazima utoe mlungura au uahidi.
Na wengine 0714 anaambiwa atoe dau apewe dozi.
Kuta za vumba zinasitiri mengi

sasa waahindwa kunielewa nini wewe ...mie nakwambia papuchi for sale...sasa kwani uongo huo?
 
Bado sitaki kuamini kwamba hata wale wa 1947 wamekuwa wakutukama ki hivyo..

Kama unaongelea mambo yenu ya dot com siwezi kubisha...

Ngoja tumsubiri Madame B atupe ushuhuda wake..

Babu DC!!

oooo karagabaho kama rushwa hutoi jua kuna mwenzako anayempa
halafu nimezaliwa 10/october 1948.
 
Last edited by a moderator:
sasa waahindwa kunielewa nini wewe ...mie nakwambia papuchi for sale...sasa kwani uongo huo?

Hebu mweleweshe basi mkuu..

Ila kweli mzabzab, ni kweli kwamba hata my wife wako anakuwekea price tag??

Mie bado kuamini bwana....

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
oooo karagabaho kama rushwa hutoi jua kuna mwenzako anayempa
halafu nimezaliwa 10/october 1948.

Sasa we amu unaanza kumkosea babu adabu...

Yaani unataka kumpandisha pressure kwamba bibi anagawa hazina?

Hilo naomba usirudie kuliongea aiseee..

Ukikaidia nawaomba wahusika wafunge hii kitu tukalale...

Babu DC!1
 
Last edited by a moderator:
Sasa we amu unaanza kumkosea babu adabu...

Yaani unataka kumpandisha pressure kwamba bibi anagawa hazina?

Hilo naomba usirudie kuliongea aiseee..

Ukikaidia nawaomba wahusika wafunge hii kitu tukalale...

Babu DC!1

ha ha ha babu ukweli mchungu jamani
anyway bibi hana rushwa
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha babu ukweli mchungu jamani
anyway bibi hana rushwa

Badala ya kuomba radhi unacheka wewe amu?

Shauri yako...usipokuwa mwangalifu nitatoa ruhusa kama aliyotoa Pinda,

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom