The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,613
Hahaha babuuu! Walitaka kuamsha simba waliolala?
Kuna conference tulifanya in kigali in a hotel, tukawa na jamaa wa zenj wakorofi balaa. Tukawa kila siku tukimaliza kazi wanatuwekea mziki tunatumia ukumbi wa disco. Aisee kuna makahaba wakatustukia. Nilimrescue mkaka wa zenj kwa kumganda manake angebakwa humo humo. Wako too aggressive!
una uhakika gani kama ulimuokoa?
usikute alirudi mwenyewe peke yake siku ingine
na alikulaani kwa kumganda