Kigali, Kigali, Kigali ....Jamani nini hii??

Kigali, Kigali, Kigali ....Jamani nini hii??

Mamito mwenyewe rafiki zangu wa Rwanda nahisi wanataka kuniingiza mkenge eti kuwa wanaume wa kirwanda bi balaa..
Ila yote tisa kumi mumie, Cameroun🙂) asikwambie mtu!!! mimi simo:dance::dance:


Hahahahahahahah,

Hao jamaa nao wanatisha sana aisee....umenikumbusha zile jezi zao ambazo zilipigwa marufuku na FIFA....

Hata mimi nisingependa hiyo mijamaa ikae kwenye viwanja vya bibi au wajukuuu....

Babu DC!!
 
Babu imendikwa bhana ukizimia siku ya taabu yako nguvu zako ni chache....................na waswahili husema tumbi tumbi tumbi ya mgongo

Sasa wewe ndugu yako akizidiwa si unampa moyo?

Mbona sasa unaamua kunivunja vunja nguvu kabisa......But, namshuru Mungu nimevuka salama!!

Babu usiombe tulikuwa addis na Brother M, basi sikujua kwamba ng'ombe anaweza kudondoshwa kibla kiulaini namna ile manake kwanza tulifika usiku na tukakutana na ceremony ya kutukaribisha basi njian walipangwa mabinti wa kieritrea na kiethiopia walokuwa balaa............baada ya tafrija tukaenda kwa hotel basi uspime Bro aliletewa mdada mrembo balaa akambiwa nimekuja kukupaliwazo ulale unono.....................hapana chezeya dunia hii............saalam hizi zisifike Sweden tafadhal

Haya mambo yaache hivi hivi teacher.....

Wewe endelea kumwomba Mungu usijaribiwe...

kwa wa kigali ninaowaona mjini wanantamanisha kweli kufika kwao..

Naomba uishie kuwaona ugenini tu ndugu yangu...

Achana na mambo ya kujaribu sumu kwenye ulimi..

Wewe umezeeka, rigwaride rikakushinda,.

Je nami litanishinda damu mbichi mimi?

Let me give it a try....not today but tomorrow (if tomorrow comes)

Hivi wewe hujui kwamba wazazi hawapendi watoto wao waumie au wapate shida??

Au umesahau kuwa mimi ni mzazi tena mwenye wajukuu ambaye ni responsible??

Mwenyekiti nimekuelewa
Inabidi niendelee kuimarisha project za hapahapa!

Safi sana Katibu...you just have enough on your plate....achana na mambo ya multi-tasking....

ha ha ha.........West Africa ni sehemu ya kwenda........karibia eneo lote........nini Rwanda bana....babu Dark City asitutishe........na kidogo ukishtulia eneo la Congo Kinshasa.....cc Madame B...........Afrika tumeumbika..........

No comment....


Babu DC!!
 
Sasa wewe ndugu yako akizidiwa si unampa moyo?Naomba uishie kuwaona ugenini tu ndugu yangu...Achana na mambo ya kujaribu sumu kwenye ulimi..Babu DC!!
ukitaka kujua utamu wa sukari, babu si ulisema niilambe??
 
Mi sikutishii nyau nakutishia kile kidogo lakini kikikugusa tu unaanza kulia....lol!!!!!!!

"Baba Paroko twakupa heshima kubwa,ulaa ula ula ula
Kwa kufika mtaa wetu wa jongo,jumuia ya mtakatifu Hyasinta"
Nilikuwa darasa la 3 enzi hizo!!!!
 
"Baba Paroko twakupa heshima kubwa,ulaa ula ula ula
Kwa kufika mtaa wetu wa jongo,jumuia ya mtakatifu Hyasinta"
Nilikuwa darasa la 3 enzi hizo!!!!

Acha vituko weye!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom