Kigali, Kigali, Kigali ....Jamani nini hii??

Babu imendikwa bhana ukizimia siku ya taabu yako nguvu zako ni chache....................na waswahili husema tumbi tumbi tumbi ya mgongo
 
Babu usiombe tulikuwa addis na Brother M, basi sikujua kwamba ng'ombe anaweza kudondoshwa kibla kiulaini namna ile manake kwanza tulifika usiku na tukakutana na ceremony ya kutukaribisha basi njian walipangwa mabinti wa kieritrea na kiethiopia walokuwa balaa............baada ya tafrija tukaenda kwa hotel basi uspime Bro aliletewa mdada mrembo balaa akambiwa nimekuja kukupaliwazo ulale unono.....................hapana chezeya dunia hii............saalam hizi zisifike Sweden tafadhal
 
Kwa ninavyokufahamu wewe. Usijaribu hata siku moja kwenda Kigali.

Umesikia?

Wewe umezeeka, rigwaride rikakushinda,.

Je nami litanishinda damu mbichi mimi?

Let me give it a try....not today but tomorrow (if tomorrow comes)
 
Pale ninapokatazwa ndipo ninapopataka......Kigali wait for me......kwani nini bana.......
Mamito mwenyewe rafiki zangu wa Rwanda nahisi wanataka kuniingiza mkenge eti kuwa wanaume wa kirwanda bi balaa..
Ila yote tisa kumi mumie, Cameroun:)) asikwambie mtu!!! mimi simo:dance::dance:
 
Mamito mwenyewe rafiki zangu wa Rwanda nahisi wanataka kuniingiza mkenge eti kuwa wanaume wa kirwanda bi balaa..
Ila yote tisa kumi mumie, Cameroun:-)) asikwambie mtu!!! mimi simo:dance::dance:

ha ha ha.........West Africa ni sehemu ya kwenda........karibia eneo lote........nini Rwanda bana....babu Dark City asitutishe........na kidogo ukishtulia eneo la Congo Kinshasa.....cc Madame B...........Afrika tumeumbika..........
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom