Kigali, Kigali, Kigali ....Jamani nini hii??

Kigali, Kigali, Kigali ....Jamani nini hii??

siku nyingine uwe unanisikiliza utanifanya niwe naenda kufanya maombi hapo
kwa baba Anna jirani yetu hapo wakati baba paroko upo....

Whaaatt????

Halafu huyo baba Anna ndio maana siku hizi anajidai eti kuja kutujulia hali kumbe anataka kujua kama umeamka vyema
Ngoja tu nyambaf zake!!!!!
 
huko kuna umuhimu wa kuona kwa macho lol


Leo ndiyo nimeamini kwamba sisi binadamu tuna matatizo sana...

Yaani mtu anaelezwa kuwa hiki kitu ni sumu halafu ndiyo anasogeza mdomoni??

Itabidi nijizuie kushangaa ili nisijefutiwa cheti changu cha kuchukulia pensheni...

Ila mwenzenu ningeweza Addis nisisingeenda kabisa

Babu DC!!
 
AHhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh,


Hebu angalia vizuri mfumo wako wa ulinzi.....unajua habari ya majuto ni mjukuu haina msaada kabisa...

Babu DC!!
ha haaa, mimi ni mtu mzima bana....
kuanza kwenda mgambo saa hizi si nitaishia kuvunjika mgongo?
la maana kwangu ambalo nakazana nalo kila siku ni kujifua vizuri kwenye mechi..... ili hata akiwa anawaangalia hao warembo awe anakumbuka ninavyomtoa knock-out kila mechi
 
Nimetokea kupachukia sana Kigali, ingawa nasikia na Addis napo hapafai.....:lie::lie:

Bahati nzuri nimestaafu.... nasaidiana na Bibi kuitafuna pensheni yangu....lol!!

Ila Kigali ni mojawapo ya mahali ambapo sitapenda wajukuu zangu waende ende au wapazoee...!!


Cc: Kaizer, Asprin, CHUAKACHARA, KOKUTONA, Mwanyasi, gfsonwin, King'asti, Fixed Point, PakaJimmy, Filipo, Preta, Blaki Womani, marejesho....

Babu DC!!
Dark City ngoja na mie niende pande hiyo[kigali], halafu nikirudi nitakuunga mkono kuwakataza watu wasiende huko
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom