Kigali, Kigali, Kigali ....Jamani nini hii??

Kigali, Kigali, Kigali ....Jamani nini hii??

Hebu niache nisiseme siri paw akanifukuza jf banaa. Im 90% sure hakurudi. Mzanzibari wa watu lol. Basi tuu niishie hapo. Kigali is anazar in bongo movie tone.


Acha kunivunja mbavu Komandoo....

Na wewe unafukuzwa na Paw wakati kwa kubembeleza ndiye mwenyewe??

Haya bwana.....hiyo Kigali tuwaachie wenyewe aisee...

Babu DC!!
 
Nyie vip... we babu wewe! kigali mbona cha mtoto.... Anzia Hargeisa somalia, Shuka mogadishu, nenda Addis Ababa, then ndo urudi kigali, ila bujumbura pia si haba, usisahau singida pia.... kama ukijiskia umechoka sana shuka bondeni afika kusini... then pandisha Gaborone na Ukapumzike Maputo.......


Uko kote sawa tu ila kwa Madiba wanajidai na mi-steak iliyopitiliza......

Kwa watu wanaopenda mizigo iliyoenda shuke huko nako hapafai kabisa.....

Babu DC!!
 
Zamani enzi za Mengistu na Jua wakati huo lilikuwa utosini, nilipita na Gozi langu kwa niliyoyaona ilibidi mzigo niuchunge mara 10 zaidi. Panatisha.

Sasa Jua lisha kuchwa hata zigo liende lenyewe, sitaharuki.

Airport yao miaka ilee ilikuwa chafu ajabu! Nilishindwa kula siku nzima
 
Kusema kweli siwezi kukutakia heri ambayo najua hutapata.....

Its at your own risk and you have been strongly cautioned...!!

Nitaomba tu unisamehe brother....

Babu DC!!

Ngoja niende halafu nitaku prove wrong
Usiwe na shaka Babu!
 
Novena haitakusaidia kitu mdogo wangu....Ukisoma yako naye anasoma yake....

Hujawahi kusikia mwizi akimwomba Mungu ili amsaidie akamilishe mission yake ya wizi??

Kigali siyo salama kwa Me na Ke, dawa ni kubebana ili kila mtu achunge mzigo wake....

Mie nimetimiza wajibu wangu kwa kuwajulisha haya...

Babu DC!!!

sasa dunia ya leo mbona ilo swala la kubebana halitawezekana, imagine me anaenda kigari training then ke nae aache kazi nae aende kigarii! pagumu aisee. nadhan hapa mungu tuu atende.
 
sasa dunia ya leo mbona ilo swala la kubebana halitawezekana, imagine me anaenda kigari training then ke nae aache kazi nae aende kigarii! pagumu aisee. nadhan hapa mungu tuu atende.

Keep praying kama wewe una Imani kwamba it works. I kuna kamari nyingine ni hatari sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom