Kigali, Kigali, Kigali ....Jamani nini hii??

Ha,ha,ha,ha,ha,haaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!

Babu ulijikuta unataka hata kusaminisha hadi sarawili za kubadili nini?
Ukienda kichwa kichwa ni hatari
Mtambuzi alijidai mgumu lakini kule alizima fegi...lol!!!!!!

Kamanda, umesahau kwamba ukisikia risasi basi ujue wewe umesalimika??

Mimi ni mzima bwana na ndiyo maana nawapa somo wajukuu....

Naamini hata Addis nitarudi salama...

Babu DC!!
 
Mhakikishie kuwa na mwili wa ubaunsa unao.....

Hivi una kama asilimia ngapi za Hasheem Thabiti?? Asijiekujipa matumaini hewa na kupotelea mujini Kigali...lol!!

Babu DC!!

Kuna jamaa alienda huko
Alijikuta anakula hadi nauli

Ikabidi wahisani wajitutumue kuokoa jahazi

Chezea Kigali weye!!!!
 
nimeelewa sasa...........

kumbe huko ni hatari kiasi hiko LOL....safari za huko nimeshamuahirishia hakuna kwenda

Basi wewe ni abiaria mzuri sana kama Bibi, unatunza mizigo yako yote hata ile isiyoonekana..lol!!

Hongera sana.



Babu DC!!
 
Hata wewe muzee


Mie sina neno ila ni sauti ya unabii tu.....

Wasipotaka kuisikia basi wasije kumlaumu babu yao..lol!!

Ila ukweli tuuseme, kuna wadudu unakutana nao na kwa dakika kama 30 hivi akili inakufa ganzi.....

Ndo maana namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kustaafu salama...

Babu DC!!
 
Mie napita tu ngoja nione hao mention waje ,naona kama nyimbo za muumimi mwinjuma
 
Nimekupata mrembo

Maana wewe katika kondoo wangu wewe nawe umeanzisha ka ubishi siku hizi sijui Ennie kakufundisha?

Baba paroko kawa mtata ndo maana kondoo wako tumekuwa wabishi

usimsingizie Ennie mtu mzima hivi nifundishwe kuwa mbishi
 
Last edited by a moderator:
Mhakikishie kuwa na mwili wa ubaunsa unao.....

Hivi una kama asilimia ngapi za Hasheem Thabiti?? Asijiekujipa matumaini hewa na kupotelea mujini Kigali...lol!!

Babu DC!!

Mmh!! hapo kwenye ubaunsa hapana shida sana babu maana nyama nyama ninazo...

Kasheshe ni kwenye hizo asilimia kadhaa za uHasheem Thabit...
 
Kwenda lazima niende hata kama ukileta zako!!!!!!


Ushauri wangu ni kwamba ujitahidi ubadili mawazo....

Hapa sijui nitafanyaje nikifika Addis....

But, I am sure of victory.....

Babu DC!!

Babu DC!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom