The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,639
- 18,270
Invisible na wengine,
Mie naona ni vizuri TBC1? kuonesha Live,Hata CNN huwa wanakatisha habari na shughuli zote kama kukiwa na Breaking News.This is Breaking New and they are right to show the events.mambo mengine hatujui ila kuonesha ni haki na wamefanya Vyema.Wewe ungejuaje haya yote kama siyo TBC!?
Msilifanye suala hili kuwa la kisiasa,nilishasema toka jana..Ole wenu CHADEMA,kwa vyovyote vile bado mnalo...hata kama,kuna kosa lillishafanyika na lazima watu walinywe sasa nomatter who did but it will be like it is.Poleni coz mmeshikwa pabaya
Kama ni chadema iweje serikali ya CCM inawekea ngumu uchunguzi with independent pathologist. Wewe ndiyo unaleta siasa hapa. Ndungu zake wanataka kufahamu ukweli wa mambo. Kitu ambacho ni halali yao, sasa kama serikali haitaki kuwapa independnt person then inatia mashaka kuwa kuna kitu serikali inakijua na wanataka kutuficha.