Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

Status
Not open for further replies.
Kwa mtindo huu kila Dr atakayeombwa kufanya uchunguzi hatakuwa huru kabisa.
And another big doubt (from me) ni kwamba hakuna daktari mzalendo ambaye atakubali kushiriki katika hili baada ya kuona mikanganyo hii kwani naye atakuwa na wasiwasi wa maisha yake.

Sasa watu wanaanza kuona heri kukaa kimya yaishe!
 
It is over tayari, kwa jina la amani ya taifa.
You got it right buddy. That's it!

Only in Bongo... Masikini familia walipania kujua kwa undani chanzo cha kifo cha ndugu yao lakini mizengwe hii itapelekea kusababisha mwili wa marehemu uanze kuharibika na ushahidi utapotea taratibu!
 
mbivu na mbichi zitajulikana tu, weweee hapa wanaleta za kidikteta. Kwa hali hii wanaweza kuhatarisha usalama. Mungu tuepushe na mabaya yote.

Kama kweli Serikali haiogopi kitu, kama kweli serikali haihusiki, kama kweli Serikali haitaki wananchi waishi kwa fununu (rumors) ni sharti itoe nafasi kwa familia kufanya uchunguzi huru.

Pia familia + Chadema waombe uchunguzi huru wa kipolisi kutoka nje ya nchi. Kama autospy tu kunamizengwe je kukamata wahusika itakuwaje? NS yard inahitajika.

Na huyu Tido Mhando, umh msiba gani alihamishia crew na kuacha bunge? TBC wanafaida gani na kifo hiki?

Mungu ibariki Tanzania.
 
Serikali imejaa wapumbavu.Wanayaogopa ya yule Daktari aliyemfanyia Sokoine autopsy alivyolikisha news mpaka wakampiga risasi babu wa watu na kuanza kumtrail from morning to evening ndio maana wanataka Doctor mzalendo wa kuweza kumdanganya.
Na hawa TBC kama broadcasting media naona this is utter bias.wanataka sijui kutuonyesha nini?
Damn them.
 
Mkuu hapa mimi naona ni bora tumalize ubishi kuwa Chacha Wangwe kauawa finish.Kutokana na vijimambo vya serikali inavyo fanya basi inadhihilisha hivyo kwa nini wafanye uhuni wa kumleta Daktari yule yule aliye chunguza??Wajaribu basi kumwita Dr.Masau afanye uchunguzi wa kina.
 
Hapo serikali ndo imeonyesha udhaifu wa khali ya juu sana....wamemleta tena Daktari mamluki yule yule mmmh! sasa serikali inajichimbia kaburi huko Tarime....mbona wao wakiugua wanatibiwa na madaktari wa nje na mbona tunaona madktari wengi mabingwa wapo hapa nchini wanatoa tiba.Huu muungano wa EA haufanyi kazi nini kwa nini wamzuie Daktari toka Kenya???????
 
Haya ndio niliyosema hapo juu kidogo, kuwa wazee wa kazi tayari wameshashika mkondo, na it is over, sasa tuendelee tu na uchunguzi wetu:-


1. Daktari aliyekuwa amekodiwa kutoka Kenya amekataliwa na serikali kwakuwa sheria za nchi haziruhusu na hivyo familia ikaambiwa imtafute daktari mwingine mzalendo ili awasaidie katika suala la uchunguzi.

2. Familia ikaomba daktari kutoka Muhimbili lakini aliyetolewa na serikali ni yule yule aliyefanya uchunguzi kule Dodoma hivyo familia ikamkataa moja kwa moja kuwa huyu alishafanya uchunguzi wa awali na hawauamini na sasa wakatakiwa kutafuta daktari mwingine mzalendo binafsi. Mpaka sasa (wakati naandika) hakukuwa na jibu la daktari gani atatumika.

3. TBC wamehamisha kambi kutoka Dodoma (ambapo walitakiwa kuonesha Bunge 'Live' ) na crew nzima imehamia Musoma - Tarime. Sijui nini wanamaanisha kwa kufanya hivi na priority iko wapi kwa serikali yetu.
Zaidi tutaendelea kuhabarishana


Loh! Damu imenichemka aisee!!

Someone is getting away with murder!!!!

The government is protecting murderers.

How many citizens are on death row for murder convictions?

How many murder cases are either pending or proceeding in the High Court of Tanzania. Will those murder convicts be executed by this same government?


I can't believe this nonsense!!!


I THINK IT IS TIME FOR THIS GOVERNMENT TO STEP DOWN
 
Kilichonishangaza ni TBC kuamua kuhamisha van na crew nzima kutoka Dodoma hivyo kuicha StarTv pekee ndo ioneshe bunge live.

Mkuu hawa TBC1 wanataka kupotosha habari toka jana walikuwa wanasisitiza kuwa ikumbukwe Chacha alisimamishwa uongozi CHADEMA walikuwa wanamaana gani kama si kupotosha?wana lengo la kukihusisha kifo na mtafaluko ulio tokea ndani ya chama.
 
Ni nini mana ya UCHUNGUZI huru iwapo kuna MASHARTI kuhusiana na uchunguzi huo? Serikali si ilisema itakuwa SHAHIDI tu katika uchunguzi huo, kwa nini inapanga sasa ni nani anastahili kuufanya uchunguzi ambao umepangwa na familia? Kama kweli ipo sheria hiyo, haifai kwa sababu katika hili imeshajidhihirisha kuwa ni mbovu
 
...Wanayaogopa ya yule Daktari aliyemfanyia Sokoine autopsy alivyolikisha news mpaka wakampiga risasi babu wa watu na kuanza kumtrail from morning to evening ndio maana wanataka Doctor mzalendo wa kuweza kumdanganya......
Na kwakuwa wazalendo wanalikumbuka hili basi ujue itakuwa ngumu sana. Na akipatikana mzalendo anaweza asifanye professionally kazi yake zaidi zaidi ataifanya politically ili kazi iishe kama atakavyoelekezwa.

Angetumika yule wa Kenya bila masharti yoyote bali aruhusiwe kufuata miiko ya udaktari huku akishirikiana na daktari wa serikali bila kuingiza siasa za aina yoyote (ziwe safi ama chafu) basi ukweli wa mambo ungejulikana na hizi tetesi-tetesi zingeisha ili kupisha shughuli ya mazishi.
 
Hivi wewe unaishi nchi gani - kweli ni Mtanzania - ndio maana wengi wanakuona mpuuzi.
Jamani mag3. Mwenzenu anaandika anavyotamka: Ni mkurya halisi huyu. Tarimr wanaitamka Taarime msameheni .

RIP Chacha Wangwe
 


Loh! Damu imenichemka aisee!!

Someone is getting away with murder!!!!

The government is protecting murderers.

How many citizens are on death row for murder convictions?

How many murder cases are either pending or proceeding in the High Court of Tanzania. Will those murder convicts be executed by this same government?


I can't believe this nonsense!!!


I THINK IT IS TIME FOR THIS GOVERNMENT TO STEP DOWN

Kichuguu,

Kama hizo habari ni kweli hata mimi nitaishangaa sana serikali. Lakini mara nyingi kwenye cases kama hizi rumours zinakuwa na nguvu zaidi ya ukweli, Only time will tell.

Kwa daktari wa Kenya naweza kukubali, kama kuna sheria inayosema hivyo ni sawa, lakini nchi si ina wataalam wengi tu? Hasa wale wanaofanya kazi kwenye private hospitals ambao sio waajiriwa wa moja kwa moja serikalini.

Mimi bado naamini ni ajali tu na hakuna mazingira ya murder hapo.
 
Mkuu hawa TBC1 wanataka kupotosha habari toka jana walikuwa wanasisitiza kuwa ikumbukwe Chacha alisimamishwa uongozi CHADEMA walikuwa wanamaana gani kama si kupotosha?wana lengo la kukihusisha kifo na mtafaluko ulio tokea ndani ya chama.
Nimeambiwa kuwa walikuwa kila wakati wakisisitiza msemo huo... Hii ni mbaya kwa chombo cha umma kuruhusu mtangazaji autumie mwanya huo kueneza propaganda. Nadhani hii inachafua sifa ya TBC. Watangazaji kama hawafanyi kwa hiari yao bali wanaelekezwa basi wanakichafua chombo hiki ambacho kwangu nilikuwa nakiona kama chombo cha taifa. Wanatakiwa kuepuka ushabiki wa aina yoyote! Kama CHADEMA wanahusika na kifo hiki uchunguzi ungekamilika basi ukweli ungejulikana. Tatizo vikinza vishaingia!

Ni nini mana ya UCHUNGUZI huru iwapo kuna MASHARTI kuhusiana na uchunguzi huo? Serikali si ilisema itakuwa SHAHIDI tu katika uchunguzi huo, kwa nini inapanga sasa ni nani anastahili kuufanya uchunguzi ambao umepangwa na familia? Kama kweli ipo sheria hiyo, haifai kwa sababu katika hili imeshajidhihirisha kuwa ni mbovu
MN,

Wajanja wengi wanaojua kutafuta hivyo vipengele na kuvitumia nyakati kama hizi. They did it!
 
Basi ni afadhali serikali ipige marufuku mtu yeyote asitibiwa na madaktari wa nje: hata wao pia.

BTW: Naomba mod uunganishe hizi threads zote tuweze kuzifuatilia kwa mtililiko rahisi.
 
Hili la TBC nadhani ni moja ya spining za media, ambazo zimekuwa co-ordinated very finely na wakubwa. Si ajabu magazeti mengi, radio na TV zinaimba wimbo unaofanana kama kasuku
 
Mkuu hawa TBC1 wanataka kupotosha habari toka jana walikuwa wanasisitiza kuwa ikumbukwe Chacha alisimamishwa uongozi CHADEMA walikuwa wanamaana gani kama si kupotosha?wana lengo la kukihusisha kifo na mtafaluko ulio tokea ndani ya chama.

Hawa TBC ! they are trying to conceal some few things ila watashindwa.
Devil's Advocate!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom