Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

Status
Not open for further replies.
Kichuguu,

Una uhakika na unachosema? Princess Diana alivyokufa, waingereza hawakugusa mwili wake kule mpaka aliporudishwa UK pamoja na kutaka kushiriki kwenye initial investigation.

Pakistan alivyokufa Bhutto hakuna daktari wa nje aliyeruhusiwa kwenda kuchunguza mwili wake.

Tumesisitiza sana umuhimu wa kufuata sheria hapa, tukiwa agents wa kutaka zivunjwe tena
tunakosea sana. Sheria mbovu hazivunjwi wakati wa majanga, wakati kama huu ndio wakati wa kujua sheria fulani ni mbovu ili baadaye ifanyiwe marekebisho na sio kuivunja.

Kutibu mgonjwa na kuchunguza chanzo cha kifo ni vitu tofauti.

Dunia hii haina shortcuts, lazima tuheshimu sheria zilipo na kama ni mbovu, dawa sio kuzivunja bali kuzifanyia marekebisho au kuziondoa.

Kwenye hili labda jawabu ni kutumia mtanzania na hao wengine kuwa mashahidi kwenye huo uchunguzi kama sheria inaruhusu.
thanks, but it does not make any sense to me.

Nchi nyingi za ulaya na marekani zina sheria kuwa madakatri wote wanofanya kazi za kidaktari kuwa wamesajiriwa katika nchi husika. Sidhani kama Tanzannia tuna sheria ya namna hiyo, vinginevyo Lions Club and Rotary Club wasingeleta madaktari wao wa macho kutoka nje.
 
Dogo tu hilo ,na wanaweza kuumbuka hata na madaktari waliomo nchini ,si wawatafute madaktari wa agha khan ,kama ni rahisi kwao wakimbize maiti upande wa pili wa mpaka huko Kenya au watoe tamko kuwa Wangwe amepigwa risasi ,inatosha kuwashika hao wanaotilia mguu ,sasa unaona picha inakaribia kwani hapa kuna kuumbuka kwa uchunguzi uliotolewa na serikali ambao ulificha mambo.na kuwapelekewa wfiwa mwili uliokuwa wameshausindika kwenye jeneza tayari kwa kuzika,ila machale yaliwacheza wanafamilia bila ya shaka walipata fununu kwa hao hao walioufanyia uchunguzi wa mwanzo ,kwa luga ya kisasa waliwatonya wanafamilia kuwa jamaa yetu kapigwa lisasi lakini tumeambiwa tufiche na kuuleta mwili kwa maziko tu yale yale ya Dr Omar Ali JUma.
Halafu jamani nasikia wakuriya wengi wapo jeshini na vyeo vya juu hivi watakubali serikali ya Kikwete iwe inafanya mambu kiholela na kuwataka wananchi waamini.
Jeshi la Bangadeshi liliwakamata mawazili na raisi wao wote na kuwaweka ndani kutokana na corruption na naona kuna haja ya hapa Tanzania kufanyika jambo hili.
 
Lord have mercy !

Na kweli Lord have mercy maana waziri wa kilimo na chakula sijui afy anazungumzia uchunguzi wa kifo. Ina maana hatuma a better person wa kuiwakilisha serikali katika hilo au ni kigezo gani wamekichukua kwa kumpatia Wasirra hii nafasi au ni u'tyson' wake?

Mi hata sijui bwana
 
Who are they protecting really to reach up to an extent of kukosa aibu na utu ... wanatufanya tupekuwe zaidi ili ukweli ujulikane
 
Kwa mujibu wa Invisible ni kuwa...
Daktari amepatikana na sasa ndio Mwili unachukuliwa na kupelekwa Hospitali.Jina La Daktari na Hospitali anayopelekwa anafuatilia..Mwili ndio unachukuliwa dakika hii.

Naomba kuwasilisha

Huyo daktari ni mwanaume kweli kweli. Kwenye msiba uliojaa siasa kama huu, wanaweza kuingia waliomo na wasiokuwemo. Ni bora ashirikishe watu wengine wengi kama waangalizi
ili akisema tofauti na kile wanachotaka wananchi, yasije yakampata mabaya.

Namwonea huruma na kumwombea pia huyo daktari.
 
Guiltness
talking about the guiltness
rest on their conscious
ooh yeah, ooh yeh yeh yeah

They live their lives
On false pretence
everyday, each and everyday yeah

These are the big fish
who always try to eat down the small fish
a just a small fish
ooh yeh yeh yehaa

I tell you again
They will do anything
to materialize their every wish
oh yeh yeh yeah

woe to the down pressors
They'll eat the bread of sorrow
Woe to the downpressors
They'll eat the bread of sad tomorrow

Guiltness........

Bob Marley
 
na vibaka hawakuionma hiyo bastola wala simu!!
Inawezekana hakuwa na ufahamu wakati anaibiwa ndo mana hakuweza kuitumia. Swali la msingi hapa ni je inaonyesha imetumika siku hiyo ( idadi ya risasi au maganda ya risasi karibu) kama ndiyo basi aliitumia nani na kwa lengo gani.

Ila Deus Mallya kweli ukatoe sadaka ya shukrani. Ajali kama ile umenusurika hivyo? bil aahata kuteguka mkono. Mungu wako anakupenda sana
Mwosha huoshwa. Time will tell.
 
Who are they protecting really to reach up to an extent of kukosa aibu na utu ... wanatufanya tupekuwe zaidi ili ukweli ujulikane

Naima daktari ameshapatikana ngoja tusubiri matokeo ya uchunguzi...
 
...astaghafirullah!
R.I.P (babu) Prof Shaba, daima utakumbukwa!

Mchongoma,
Kumbe Prof. Ameshafariki? Nilikuwa sijapata hizi habari. RIP Prof.Shaba. Nafikiri kifo chake kweli kilichangiwa na vitu vingi si pombe tu. Kwanza nasikia alilia sana kwenye msiba wa prof. Makene akisema wazi kabisa "Wamemuacha peke yake, wote rafiki zake wametangulia..". Ilikuwa inaonekana kabisa kama Mzee kakata tamaa kuwa na yeye inabidi awafuate RAFIKI ZAKE. Na sijui msiba wa mwanae Dr. aliuhimili vipi. Au ni baba alitangulia? Kwa mtoto na mwanae ilikuwa pengo kubwa kwa taifa.
 
Gembe ,unataka wanaojua wakuelezee ,wakati huo huo unasema kuwa ole wao CHADEMA, sasa kama hujui kwanini unafika kwenye conclusions za ole CHADEMA? Unajua kama wangekuwa wamehusika na kwa jinsi tunavyojua mikondo yetu ya kisiasa na kisheria muda huu wasingetumia nguvu kubwa kiasi hiki cha hata kuhakikisha kuwa wanafanya spinning kwenye media ,jana nilisema kuwa subirini spinning kuna watu walinibishia.

Nina taarifa kuwa liwalo na liwe leo watazika mwili na ndugu wa marehemu wataachwa kwenye mataa ,kwani tayari agizo limeshatolewa kuwa ni lazima wazike.

CCM wamemtuma Feruz huko yule naibu katibu mkuu wa CCM zanzibar ,na jana walikuwa na sherehe nzito kwenye Motel moja ambayo inamilikiwa na Cristopher Gachuma,
 
sasa huu ndio ubabaishaji,daktari kutoka nje haruhusiwi wanataka kutuambia ikitokea incident karibu na mpakani let say ajali kubwa na majeruhi wakawa wengi haiwezekani madaktari kutoka nchi ya jirani kuja kusaidia? something is wrong here,sasa mbona viongozi wengine wa serikali wana wanasheria binafsi kutoka nje (chenge) what about this,au kiongozi akiumwa hawezi kuagizwa daktari binafsi kutoka nje kumtibu.Something very fishy is cooking out of this,hizi sio zama za ujima where information and communication zilikua owned na watu wachache.hata wakijaribu kuficha tutajua at the end.hata wakitoa daktari mwingine apart from yule wa mwanzo waliyemtoa, mambo yatakuwa yaleyale, maana watakua wameshamwambia mambo ya ' KUMSHUGHULIKIA' akienda kinyume na matakwa 'YAO',kiling that doctor proffessionally and socially, That is what they do.sasa hii inafanya hata sisi wengine tuliokuwa hatuna doubt na kifo hiki tuhame kambi na kuwa na mtazamo mwingine kabisa.jipu likiiva litatumbika tu hata ukiziba na plasta, they should now this.
 
Interesting (theroy),

...kama ni risasi; kuna uwezekano pia ilipigwa toka nje ya gari, huenda na 'majambazi', note: 'matundu ya risasi' nyuma ya shingo kutokea mdomoni (angle of entry/exit), na yule mtu wa tatu aliyedai marehemu ana pesa katika mfuko wa koti!
 
thanks, but it does not make any sense to me.

Kichuguu,

Vifo mahali popote ni very controversial hasa vitokanavyo na ajali. Ndio maana anayetakiwa kutoa maamuzi juu ya kifo kimetokana na nini lazima awe na authority fulani kwenye nchi husika.

Ukiruhusu mtu yeyote, ataletwa dr. kutoka sehemu na kusema jambo ambalo si ajabu halina ukweli. Kasheshe itakayotokea hapo hakuna anayejua. Baada ya hapo utamkuta wapi huyo daktari mpaka umshitaki kwa kuzua? Imagine ile case ya Diana angekuja daktari mwingine toka nje akasema dereva hakulewa? Kasheshe ambayo ingetokea hapo, hakuna anayejua.

Daktari waliosajiliwa kwenye nchi, wanabanwa na sheria za nchi. Kama ametoa uchunguzi fake, hushitakiwa na mabaraza ya madaktari na pia vyombo vya dola. Huyo Mkenya Tanzania tutaenda kumkuta wapi kama amevurunda kwenye taarifa yake?

Hiyo sheria ina make sense na ndio maana karibu kila nchi inayo. Hivi kweli madaktari wote wa TZ hatuwezi kupata daktari ambaye anaweza kuchunguza na kusema ukweli? Mbona kifo cha risasi ni rahisi mno kugundua?
 
Kichuguu,

Vifo mahali popote ni very controversial hasa vitokanavyo na ajali. Ndio maana anayetakiwa kutoa maamuzi juu ya kifo kimetokana na nini lazima awe na authority fulani kwenye nchi husika.

Ukiruhusu mtu yeyote, ataletwa dr. kutoka sehemu na kusema jambo ambalo si ajabu halina ukweli. Kasheshe itakayotokea hapo hakuna anayejua. Baada ya hapo utamkuta wapi huyo daktari mpaka umshitaki kwa kuzua? Imagine ile case ya Diana angekuja daktari mwingine toka nje akasema dereva hakulewa? Kasheshe ambayo ingetokea hapo, hakuna anayejua.

Daktari waliosajiliwa kwenye nchi, wanabanwa na sheria za nchi. Kama ametoa uchunguzi fake, hushitakiwa na mabaraza ya madaktari na pia vyombo vya dola. Huyo Mkenya Tanzania tutaenda kumkuta wapi kama amevurunda kwenye taarifa yake?

Hiyo sheria ina make sense na ndio maana karibu kila nchi inayo. Hivi kweli madajtari wote wa TZ hatuwezi kupata daktari ambaye anaweza kuchunguza na kusema ukweli? Mbona kifo cha risasi ni rahisi mno kugundua?

sasa niekuelewa, lakini serikali ilikuwa imekubali kuwapo kwa dakatri wake kuhakikisha kuwa post mortem hiyo ni sahihi na hivyo kuipa baraka ya kuwa independent?
 
Si wazike tu na Walijengee. Wakurya lazima walilinde hilo kaburi. Siku moja inabidi aje afukuliwe na afanyiwe uchunguzi mpya. Kuna watu kweli hawafi kimya kimya. Hata Sokoine kuna siku mambo yatafichuka na wabaya wake WATATEMWA kutoka katika kinywa cha MASHUJAA wa Tanzania.
 
Gembe,
Watu wengi hawajui nani kamuua au chanzo cha kifo. Ukisikia mtu anasema ni chama au mtu fulani kamuua huyo jamaa anachemka. Kama navyosikia Tv ta Mhando inadai kuwa ni ugomvi wa CHADEMA na Wangwe, hizo ni PUMBA. Ukisikia mtu anasema kuwa KAPIGWA RISASI, jua huyo anachemka. Ukweli hadi sasa ni kuwa KAFA kwa ajali ya gari. Ila mwili wake majeraha yana unautata. Sasa ili kuondoa UTATA huo, inabidi kufanya uchunguzi kujua kulikoni. Uchunguzi huu uwe huru inabidi ufanyike. Kama amekufa kwa ajali ya gari, kwa nini SERIKALI ya CCM/JK inakataa au kuleta vipingamizi?
Mwisho mie nasema nduguze wapeleke MWILI KENYA. Huko ufanyiwe uchunguzi. WADANGANYIKA wote ambao wamechoka kudanganywa washughulikie hadi mwili uende Kenya na kufanyiwa uchunguzi na kesho urudi kwa mazishi. Serikali ikitaka kupeleka muwakilishi wake basi na ifanye hivyo. Pia ikibidi, si waupeleke MWILI UFANYIWE X-RAY? Kama kuna tundu kichwani litaonekana tu kuwa TUNDU. Na kama sikosei siku hizi kuna mashine kali zaidi.[/QUOTE]...

MKUU....

Hakuna haja ya Xray,kitakachotazamwa hapa ni aina ya jeraha,cut,abrassion,stab wound etc ,then size yake,depth na width,associated wounds na pattern yake nkjeraha la risasi lina characteristict zinazojulikana na daktari yeyote makini,kuna entry wound ilipoingia risasi hili huwa dogo sana na exit wound kule lilikotokea hili huwa kubwa,pia tofauti inaweza kusababishwa na aina ya silaha(a good pathologist,na MUHI2 wako wengi nawafahamu,can tell aina ya silaha, calliber ,distance).Pia jeraha la risasi tofauti na kisu ama kitu chenye ncha kali huwa linaandamana na kuharibiwa sana kwa mishipa ya damu na tissue nyingine zilizojirani na ilipopita risasi,pia kama risasi ilikuwa ni close range kunakuwa na alama ya kuungua kuzunguka pale penye entry wound.....kijumla inahitajika NIA THABITI kutoka kwa serikali juu ya kufanyika uchunguzi huu,wataalamu wapo wazuri mno pale MUHI2 narudia tena,lakini bila NIA THABITI ya kutaka ukweli ujulikane watalazimika kutayarisha ripoti 2....
 
Last edited:
Huyo daktari ni mwanaume kweli kweli. Kwenye msiba uliojaa siasa kama huu, wanaweza kuingia waliomo na wasiokuwemo. Ni bora ashirikishe watu wengine wengi kama waangalizi
ili akisema tofauti na kile wanachotaka wananchi, yasije yakampata mabaya.

Namwonea huruma na kumwombea pia huyo daktari.

Anaweza akawa ni mwenye maelekezo maalum wenye taarifa wafuatilie na kutuambia katoka wapi huyu?

Pia kuna haja ya kujua kuna kitu gani hapa kinachofichwa kuhusiana na kumkataa huyu wa Kenya ? si wangempa tu kibali maalum kwani kufanya hivyo kungewafanya wananchi waamini kuwa serikali wala watawala hawahusiki na msiba huu?
 
sasa huu ndio ubabaishaji,daktari kutoka nje haruhusiwi wanataka kutuambia ikitokea incident karibu na mpakani let say ajali kubwa na majeruhi wakawa wengi haiwezekani madaktari kutoka nchi ya jirani kuja kusaidia? something is wrong here,sasa mbona viongozi wengine wa serikali wana wanasheria binafsi kutoka nje (chenge) what about this,au kiongozi akiumwa hawezi kuagizwa daktari binafsi kutoka nje kumtibu.Something very fishy is cooking out of this,hizi sio zama za ujima where information and communication zilikua owned na watu wachache.hata wakijaribu kuficha tutajua at the end.hata wakitoa daktari mwingine apart from yule wa mwanzo waliyemtoa, mambo yatakuwa yaleyale, maana watakua wameshamwambia mambo ya ' KUMSHUGHULIKIA' akienda kinyume na matakwa 'YAO',kiling that doctor proffessionally and socially, That is what they do.sasa hii inafanya hata sisi wengine tuliokuwa hatuna doubt na kifo hiki tuhame kambi na kuwa na mtazamo mwingine kabisa.jipu likiiva litatumbika tu hata ukiziba na plasta, they should now this.

Ni wakili gani wa Chenge anayetoka nje ya TZ ambaye anamwakilisha Chenge TZ?

Ni daktari gani wa nje ambaye anatibu wagonjwa TZ bila kusajiliwa?

Ni Engineer gani wa nje ambaye anajenga nyumba TZ bila kusajiliwa?

Kama kuna yeyote anafanya hayo hapo juu, anavunja sheria, unaweza kumpeleka polisi.

Cases za majanga zinashughulikiwa na sheria tofauti. Hata red cross wana wanasheria wao wanaowasaidia juu ya namna ya ku operate kwenye nchi mbalimbali.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom