Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

Status
Not open for further replies.
CHACHA WANGWE NA UENYEKITI
CHADEMA 2008
Mwaka 2008 ndani ya Chama Cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
kulikua na vuguvugu na joto kali la
uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chama Taifa na mmoja wapo wa watu waliojitokeza
hadharani kutaka kugombea nafasi hiyo
si mwingine bali alikua ni Mbunge
machachali na mwana siasa mwiba
kutoka Tarime ndugu Marehemu Chacha
Zakayo Wangwe ambae alikua ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA
alijitokeza wazi wazi kutaka kuwania
nafasi hiyo ya uongozi wa juu akiainisha
mapungufu na madhaifu mbali mbali
ndani ya CHADEMA chini ya uongozi wa
Mh.Freeman Aikael Mbowe mapungufu hayo yalimskuma akatoa WARAKA WA
CHACHA WANGWE KWA CHADEMA na
baadhi ya mapungufu hayo ni kama
yafuatayo;
1.Matumizi mabaya ya ruzuku ya chama
2.Madeni ya uchaguzi (Mwenyekiti kukikopesha chama bila makubaliano na
vikao halali vya chama)
3.Uteuzi wa upendeleo wa wabunge wa
viti maalum
4.Utendaji wa kibabe
Baada ya mnyukano mkali na kuona kuna kupoteza nafasi ya uenyekiti Mh.Chacha
Wangwe aliundiwa zengwe ya
kusimamishwa uongozi na kukutana na
kadhia ya kufukuzwa uanachama na
kamati kuu iliyoongozwa na mbowe
wakihofia ushawishi na kujiamini kwa hali ya juu aliyokua nayo Wangwe hivyo
baada ya kikao hicho kuvuliwa uongozi
Wangwe aliamua kutoka Dodoma
kurejea Dar es salaam ambapo akiwa
njiani siku ya Tar 30/07/2008 alipata
ajari mbaya ya gari na kufariki hapo hapo lakini DREVA WA CHACHA WANGWE
ALIPONA huo ukawa mwisho wa ndoto
za Chacha Wangwe kuupata UENYEKITI
WA CHADEMA TAIFA . Baada ya kifo
chake uchaguzi uliifanyika na Freeman
Aikael Mbowe alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.
Pitia waraka wa Chacha Wangwe.
WARAKA WA CHACHA WANGWE KWA
CHADEMA,ALIUANDIKA SIKU CHACHE
KABLA YA KUFAA - HAKI LEO
chacha2.jpg Ajari iliyotoa uhai wa CHACHA
WANGWE na DREVA WAKE AKITOKA
MZIMA mpaka leo yupo Hai
ZITTO ZUBER KABWE NA UENYEKITI
WA CHADEMA TAIFA
Mwaka 2013 tuliona vuguvugu la kutaka kubadilisha uongozi wa CHADEMA Taifa
kwa Naibu Katibu Mkuu Bara ndugu Zitto
Zuber Kabwe kuja na mkakati wa
mabadiliko ndani ya Chacha alianza
kuunda team yake ya kuweza kumsaidia
kufikia adhima yake hiyo aliunda team yake ya ushindi na katika team hiyo
alikuwepo Mwenyekiti wa CHADEMA
mkoa wa Arusha Samson
Mwigamba,alikuwepo mjumbe wa Kamati
kuu CHADEMA Prof.Kitila Mkumbo na
safu hii ilikuja na naandiko likiitwa MKAKATI WA MABADILIKO katika
andiko hili waliorodhesha mapungufu na
madhaifu yaliyopo ndani ya chama na
nini kiifanyike ili kuweza kuyatatua,kama
ilivyo kwa CHACHA WANGWE nao pia
walianisha mapungufu yaliyopo ndani ya CHADEMA ni kama ifuatavyo
1.Matumizi ya fedha yasiyofuata taratibu
ndani ya chama
2.Nafasi za upendeleo ndani ya chama
3.Kukopesha chama bila kufuata taratibu
4.Njia haram za kubaki madarakani Mkakati huu ulivuja ndani ya Chama
hivyo ikapelekea Samson Mwigamba na
Kitila Mkumbo kuvuliwa uanachama wao
ndani ya CHADEMA huku Zitto Kbwe
mwaka 2013 akivuliwa nyazifa zote za
uongozi ndani ya CHADEMA hali hii ilifanya Zitto aendelee kupigan ndani ya
chama na katika vita hii Zitto Kbwe
alivuliwa rasmi uanachama wa
CHADEMA March 2015 ndipo
alipokiimbilia mahakamani na kwa
kuendeleza kile Zitto aliikiamini walirushiana maneno na Mwenyekiti wa
CHADEMA Taifa Freeman Aikael Mbowe
na katika vita hiyo ya maneno Zitto
alinukuliwa na Gazeti la Raia Tanzania
na maneno hayo akimlenga Mbowe
"CHACHA WANGWE DIED I WONT" Swali la kujiuliza kwa nn Zitto atamke
maneno hayo na alikua akimlenga nani
hasa kwani Zitto alivuliwa uanachama
wakati wa vita ya uenyekiti na Wangwe
nae alifariki wakati wa harakati za
kugombea uenyekiti ndani ya CHADEMA na katika vita hiyo ya Wangwe na
Mwenyekiti wa sasa wa CHADEMA Taifa
alishinda Mwenyekiti wa sasa wa
CHADEMA Taifa na Wangwe alifariki pia
katika vita ya uenyekiti kati ya Zitto na
Mwenyekiti wa sasa wa CHADEMA Taifa hapa Zitto alifukuzwa uanachama na
Mwenyekiti wa sasa wa CHADEMA Taifa
akashinda uenyekiti?Hapa kuna swali la
kujiuliza na la kufanyia kazi. Pitia link
hapo chini kupata habar kamili ya Zitoo
kusema HATOKUFA KAMA ALIVYOKUFA CHACHA WANGWE
Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai
hatakufa kama Chacha Wangwe...
KUIBUKA KWA TUNDU LISSU KAMA
MWANA SIASA MACHACHARI
KUELEKEA UCHAGUZI WA UENYEKITI WA CHADEMA TAIFA OCTOBER 2018.
Katika siku za hivi karibuni hakuna
mwananchi na mtanzania asiyekubali
kuwa Tundu Antipas Lissu alikua
aking'ara kwa kishindo na akionekana
kuwa ni mwana siasa machachali kutoka upinzani,ni katika kipindi hiki Tundu Lissu
alikua ana wika kwa kiwango cha juu na
alikua akisikka zaidi katika siasa za
upinzani kuliko mtu yeyote katika kipindi
hiki kuelekea uchaguzi mkuu wa
CHADEMA Taifa tunaona ni Tundu Lissu aliyekua na mvuto na anavutia vijana
wengi kuliko mwana sasa yeyote katika
kambi ya upinzani sio siri Lissu alikua
akisikika kuliko Katibu Mkuu wa
CHADEMA,Lissu alikua akisikika sana
kulko Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na Lissu alikua akisikika zaidi ya Katibu
Mkuu CHADEMA bara na CHADEMA
Zanzibar hivyo kuwa mwana siasa
aliyepo katika maskio na midomoni mwa
wana CHADEMA na wana upinzani kwa
ujumla Hali hii inawafanya na iliwafanya watu
wengi waamini ndio mtu pekee
anayeweza kutiikisa na kukijenga
CHADEMA kama akipewa nafasi ya
uenyekiti Taifa CHADEMA kwani mtu
pekee mwenye ujasiri,uthubutu na kujiamini hivyo watu wengi walianza
kumsema kuwa anafaa kuwa Mwenyekiti
wa CHADEMA Taifa mwaka 2018.
Lakini hilo halikutokea kwani mwaka
mmoja kabla ya uchaguzi huo September
06,2017 Mwana siasa huyu mashuhuri alivamiwa nyumbani kwake na kupigwa
risasi akiwa katiika gari lake mpaka sasa
yupo hoi hospiatal nchini Kenya kwa
matibabu na katika hali ya kushangaza
dreva wake alitoka salama salmini bila
kuwa na jeraha lolote na kinachoongofya zaidi dreva huyo alihojiiwa na gazeti la
Mwananchi alisema hana kumbukumbu
sawa kwa tukio la kuvamiwa kwa Lissu
wakati hapo awali alinukuliwa na gazeti
la mwana halisi akielezea tukio zima
mpaka kutaja namba ya gari na ana ya gari la watu waliowashambulia habari
hiyo iko katika link hapa chini
Dereva wa Lissu asema hana
kumbukumbu vizuri kwa kilichotokea
kwenye shambulio dhidi ya Lissu
MASWALI YA KUJIULIZA. 1.Kwa nini kila anayejitokeza kugombea
nafasi ya uenyekiti CHADEMA
anayeonekana ni tishia huvuliwa uongozi
au kufukuzwa uanachama?Nafasi ya
uenyekiti wa chama hiki una nini?
2.Katika vita ya maneno ya Zitto na Mwenyekiti huyo kwa nini Zitto aseme
''CHACHA WANGE DIED I WONT'' hii
kauli ina maanisha nini?Kuna nini nyuma
ya pazia juu ya Kifo cha Chcha Wangwe
mpaka Zitto atoe kauli hii?
3.Katika harakati za kuutaka uenyekiti Chacha Wangwe alipata ajari akafarikii
dunia na dreva wake akatoka salama
salmini na katika nyakati hizi tukielekea
uchaguzi wa chama 2018 Lissu akiiwa
katika pick ya hali ya juu anashambuliwa
kwa risasi zaidi ya 25 yeye anapatwa na maeraha makubwa lakin dreva wake
anatoka salama salmin na katika kutoka
huko anaelezea tukio zima kisha
anaenda Nairobi kwa matibabu ya
kisaikolojia alivyoanza kupata tu
matibabu hayo anaanza kupoteza kumbukumbu juu ya tukio zima kuna nini
nyuma ya pazia?Na matibabu hayo ya
kisaikolojia nani anaya gharamikia?
Wasalaam
Inaonyesha umebebeshwa mzigo mkubwa kuliko uwezo wa akili yako. Kama inataka kuruka hivi
 
Kweli ww ni mtu usiejulikana maana unalazimisha kijani kuwa nyekundu. Mmeshindwa kumuua lisu mmebaki kuweweseka na uchochezi pumbav
 
Nawahurumia walimu waliopoteza muda wao kukufundisha jinsi ya kuandika insha kwani haina uelekeo na dhima nayo haionekani!
Umelenga kuleta au kuonyesha taaharuki ipi na inayohusu nini na imesababishwa na kitu gani kwani hapa naona umeibana cdm lakini umeandika upinzani!
Huko lumumba hakupo sawa naona. Mmeanza kupatwa na albadir kwa jinsi mnavyohangaika kuyajua yaliyo moyoni mwa wapenzi na wafuasi wa Lissu! Hili game mlilolianzisha lazima liishe kwa sisi kuwa washindi hata kama mmekopa midolari kwa riba kubwa ili muwahonge madiwani njaa huko umasaini!
 
Ni ngumu kumeza lakini ndio ukweli
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom