Deus Mallya: Maswali na majibu ya Kifo cha Wangwe, Siasa n.k | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Deus Mallya: Maswali na majibu ya Kifo cha Wangwe, Siasa n.k

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ni Mimi Msiogope, Aug 20, 2012.

 1. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kuna taarifa kutoka sehemu mbali mbali huku Moshi Vijijini na baadhi ya maeneo ya Dar kuwa yule mfanyabiashara aliyehusishwa na ajali ya Chacha Wangwe (Deus Mallya) anaendelea na mikakati yake ya kugombea Ubunge kwenye Jimbo la Moshi Vijijini ambalo kwa sasa linaongozwa na Cyril Chami 'Aliyepigwa chini' kwenye baraza jipya la mawaziri la JK.
  Mara kadhaa Deus Mallya amekuwa akikwepa kujibu hili sasa tunaomba kwa kuwa yupo huku atujibu.

  Nawasilisha.
   
 2. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #2
  Aug 20, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  na yule Mushi aliyekuwepo kwenye m4c?
   
 3. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #3
  Aug 20, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,320
  Likes Received: 5,611
  Trophy Points: 280
  Kama ana haki ya kugombea kikatiba ache agombee haina shida:ili mradi tu kama kifungo hakitamfanya akose sifa za kugombea
   
 4. m

  majebere JF-Expert Member

  #4
  Aug 20, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,522
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  kabila lake pekee linampa sifa ya kugombea kupitia CDM. Halafu lazima pia wamlipe kwa kazi alio ifanya(kuuwawa kwa chacha)
   
 5. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #5
  Aug 20, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ile kesi alishinda Rufaa kwa hiyo hatia na hukumu viliondolewa.
   
 6. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #6
  Aug 20, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mushi hatajwi sana.. Huyu huenda anachangia M4C kwa fedha lakini pia bendera na uimarishwaji wa chama anaonekana sana. Pia kuwasaidia watu matatizo yaliyomshinda Mbunge Chami kama ujenzi wa daraja na miradi ya vikundi vya vijana.
   
 7. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #7
  Aug 20, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,809
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  kugombea ni haki ya kila mtu mahakama ilishatoa hukumu dhidi yake kama kuna ana ushahidi zaidi kuwa alihusika au alitumiwa kuumua Wangwe atafute mwanasheria wa magamba ampe huo ushahidi muanzishe kesi! si magamba mnatafuta mbinu ya kuipaka CDM matope tumieni hiyo sasa mbona watu wenye nia za kugombea ubunge, urais,udiwani ni wengi sana wataje wote basi na majimbo yao!
   
 8. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #8
  Aug 20, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkuu hiyo rufaa alishinda na kesi iliyokuwepo ni Trafic Case (Ambayo nasikia ilivyowekwa ilikuwa ni kwa malengo ya kumbana 2010 asigombee) mashahidi wengine nasikia walitoka Dar kumkandamiza.
   
 9. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #9
  Aug 20, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu kwa jinsi unavyojibu hoja ni kama wewe ndiye! Ila kama siyo basi unisamehe lakini kama ni wewe, nakupa BIG UP. nakukubali sana kuwa wewe ni mpambanaji kwelikweli. Mallya namfahamu kwa karibu, ni mchapakazi na ni mtu anayesimamia anachoamini. Jamaa yuko smat sana. Anyway, natamani aje azungumze kitu. But from the bottom part of my heart, kama angegombea jimbo la Lupa ningekuwa meneja wake hata kwa kujitolea. Kaka, go, go kaka. Ntakuchek kwa simu.
   
 10. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #10
  Aug 20, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkuu mimi siye. Yeye yupo huku japokuwa waandishi wenzanguwaliofanikiwa kuwasiliana naye amekuwa akikwepa sana swali hili. Natamani aje hapa aseme neno. Kama una mawasiliano naye na unamfahamu tafadhali tuitie.
   
 11. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #11
  Aug 20, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Yule dogo aliyemfanya kitu mbaya Chacha Wangwe!
   
 12. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #12
  Aug 20, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  huyu si ndo Lipumba aliema ana taarifa za kiintelijensia kuwa kafunzwa ugadi libya
   
 13. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #13
  Aug 20, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Then baada ya Lipumba kusema ikathibitishwa na Nani?
   
 14. m

  mliberali JF-Expert Member

  #14
  Aug 20, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 2,894
  Likes Received: 1,520
  Trophy Points: 280
  ndo mara hii magamba yameishasahau yalicho mfanya sokoine
   
 15. YAGHAMBA

  YAGHAMBA JF-Expert Member

  #15
  Aug 20, 2012
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 538
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Aakili yako imevia na una utapia mlo wa kuelewa, kila wakati uanawaza ukabila na udaini, hili ni tatizo kubwa la magamba ambayo hayajajitambua na yale yanayokula kwa Nape kama wewe majebere.
   
 16. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #16
  Aug 20, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hakuna haja ya majibu haya mkuu. Nadhani muhimu hapa ni kwa yeye kuja na kuthibitisha au kukanusha tetesi hii. Nadhani ndo maana kuna mahali aliandika kuwa ikiwa mtu ameamua kuuamini uongo kuwa ukweli ni vema kutohangaika naye.
   
 17. Deus F Mallya

  Deus F Mallya Verified User

  #17
  Aug 20, 2012
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 707
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nimesoma naomba dakika 30 nitajibu kwa usahihi zaidi.

  Ahsante sana.
   
 18. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #18
  Aug 20, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,317
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Kuna maswali mengi sana ambayo hayajapata majibu kuhusu kifo cha Wangwe. As of now, huyu hastahili hata kuwa mwanachama wa CDM unless someone wants to convince me that he was recruited by CDM leaders to execute Wangwe.
   
 19. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #19
  Aug 20, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tusubiri aje, pengine atajibu na hili,
   
 20. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #20
  Aug 20, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,374
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  2cchoke kungoja dak 30 bado kidogo zifike.
   
Loading...