Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,988
- 142,395
MKJJ...Si umekuwa msitari wa mbele kusema kuwa ninapenda kutoka nje ya topic?
Sasa heading hii inasema kuwa ni kwanini alijifanya INVISIBLE...Sasa kujifanya invisible ndio kuwa mwanachama wa chadema?
Ama hii haistahili thread yake?
Unapingana na Slaa kuwa huyo kijana hajulikani na chadema na kwamba alishajaribu kujiunga akakataliwa?
Ama there's something tunamisss hapo kwenye u invisible vs uanachama wa chadema?
NB:Naomba urejee kauli kutoka kwa katibu mkuu kuwa makao makuu haimtambui huyo Deus Mallya...Sasa ni chadema mkoani waliokuwa wakimtabuwa?
Je ni kweli kuna chadema mtandao na jf mtandao kama anavyopenda kusema NN?
Maana hata Kuhani ameshindwa kuniambia kama yeye ni SILENCER...Sasa ndugu yangu unayependa kusema ninatoka off topic...Je kwanini watu kama ni ma mod wawe na status hiyo moja na si kuwa na status mbili?
Yani kama kuhani ni mod..Basi ijulikane na isije kuwa kuhani huyo huyo ndiyo silencer maana hapo kutakuwa hakuna haki.
Huu si mtandao huo?
Mtu kuwa flani halafu uwe na status nyingine na kujiita silencer?
Wapi haki?
Aisee Mangi, ngoja niweke niweke rekodi sawa maana naona umechanganya mambo kidogo. Hilo la JF Mtandao ni figment ya imagination ya Kuhani. Yeye ndo alinituhumu mimi kuwa ni JF Mtandao miezi kadhaa iliyopita ingawa yeye ni premium member (sijui hata ina maana gani kuwa premium member)wakati mimi ni member wa kawaida tu. Alidai eti mimi nimewahi kusema/ kujitamba kuwa ni JF Mtandao. Nilipomwomba ushahidi wa wapi nilisema hivyo, he danced around it until I got tired waiting. Kwa hiyo hayo ya JF Mtandao ni ya Kuhani na si Ngabu.
Last edited by a moderator: