Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

Status
Not open for further replies.
sijawahi kudai kuwa kila ninachokijua nakiweka JF. Uhuru wa habari huendana na kuwajibika kwa habari hizo. So, vinavyoweza kusemwa hadharani vinasemwa vingine vinakuwa ni kuchombeza tu kuwa tunavijua. So, nadhani kutwa nzima ya leo tumemwaga mtama mwingi tu.

Tunachosubiri ni jinsi gani wataamua kutuzuga.
 
Hahaha, niliwahi kuongea na Kubenea akanieleza juu ya mtu aliyejitambulisha kama Invisible. Soon utasikia Mwanakijiji mwingine ndani ya Dar!

BTW: Huyu ndo aliunga deal kwa marehemu na jamaa zetu wa Barrick sio? Halafu marehemu akamfuata Zitto 'atulie' au sio? Una zaidi ya haya?

mmh... hauko mbali sana; clue ya kwanza nilisema ni muda, clue ya pili nilisema ni gari, na final clue ni mwili. na clue ya mwisho....
 
Sijui unaongelewa watu wapi wa Tarime maana mimi ni mtu wa Tarime na sijaona kama watu wa Tarime ni wapenda zari. Tafadhali ondoa generalization kwenye statement zako.

Kama wewe unapenda zari basi si wote. Kama wewe unasuluhisha mambo yako kwa silaha basi ujue kuwa si wote Tarime tunapenda fujo. Umeelewa?

koo za Wachari na sio wa taarime??
Mbona mara nyingi tu zari linaamka Taarime sasa unataka kusafisha nini ? hili ndio tatizo letu ,kama wewe ni mtaarime je wamasai ama wakenya wanapokuja kutuibia zile ng'ombe zetu hua tunafanya dialogue ama ni filimbi linapigwa kila mmoja anachomoka ndani na mshale,gobore, mkuki tayari kwa vita.

Juzi tu zari limetimuka watu wakakimbilia kenya wewe unatoka taarime kweli?
 
Naomba Mwenye Picha Ya Huyu Kijana Aiweke Hapa Tuione Tafadhali
 
Mzee Mwanakijiji

Hili linatisha ngoja tusubiri hiyo breaking news. We are not going to wait for another victim.
 
Kutokana na kutajwa sana kwenye tukio hili kubwa na la kutisha ambalo limegharimu maisha ya Mhe. Chacha Zakayo Wangwe mbunge wa Tarime (CHADEMA) nimeona kuwa ni vyema nikaanzisha thread mpya kwa ajili ya kumjadili huyu kijana Deus Mallya ili kila mwenye habari kumhusu azilete hapa jukwaani.

La kwanza ninaloomba kumhusu huyu kijana ni kuwa tunapomjadili pia tuangalie upande wa pili (endapo hana hatia hizo zote anazotupiwa).

Pili ninaomba sana kama kuna yeyote mwenye picha yake basi atuwekee hapa jukwani.

Hii itatuongezea ari ya kumjadili na pengine wanaweza hata kutokeza watu wanaomjua.

KARIBUNI
 
My two cents,

CCM hawana motive ya kumuua Wangwe, wamuue kwa motive gani jimbo la Tarime? That is very far fetched.

CCM wangependa kuona mtu kama Wangwe anaendelea kuwepo kwa sababu alikuwa controversial na kauli zake -regardless kama zilikuwa sawa au siyo- zilisaidia kuleta mgawanyiko na mtafaruku katika CHADEMA.Kwa hiyo why kill the hen that lay the golden eggs? Jimbo moja la Tarime halina mvuto wa potential ya kukiparaganyisha chama kizima.

I still sense a conspiracy, too many coincidences and unexplained things and reported cover ups kwa ajali ya kawaida.
 
Pundit.. usifikirie CCM (of course inaweza kunufaika zaidi) fikiria nini kilichoko Tarime that is worthy killing for.
 
Kutokana na kutajwa sana kwenye tukio hili kubwa na la kutisha ambalo limegharimu maisha ya Mhe. Chacha Zakayo Wangwe mbunge wa Tarime (CHADEMA) nimeona kuwa ni vyema nikaanzisha thread mpya kwa ajili ya kumjadili huyu kijana Deus Mallya ili kila mwenye habari kumhusu azilete hapa jukwaani.

La kwanza ninaloomba kumhusu huyu kijana ni kuwa tunapomjadili pia tuangalie upande wa pili (endapo hana hatia hizo zote anazotupiwa).

Pili ninaomba sana kama kuna yeyote mwenye picha yake basi atuwekee hapa jukwani.

Hii itatuongezea ari ya kumjadili na pengine wanaweza hata kutokeza watu wanaomjua.

KARIBUNI
Mshaanza kutafuta mchawi ni bora kuwa wawazi
 
mmh... hauko mbali sana; clue ya kwanza nilisema ni muda, clue ya pili nilisema ni gari, na final clue ni mwili. na clue ya mwisho....

clue ya mwisho ni wale vibaka walioiba vitu vingi wakasahau na simu pamoja na huyo mzee shahidi aliyeona si mtu mmoja aliye ndani ya gari.

kuna siku nakumbuka nilipata ajali mipira ya mbele ilipasuka,lakini ilichukua muda kweli wanakijiji kuja kunisaidia,hule mlio uliwatisha sana wao,walifikiri ni mlio wa risasi.

tukiendelea hivi hipo siku watakoma!
 
zamani, habari zilikuwa zinatoka Polisi, zikichujwa na kuzungushwa; hili la Wangwe watapata kazi sana. Na walifanya jambo baya sana kumtaja kwa jina yule shahidi mzee aliyejitokeza hadharani. Wamuhatarisha sana.

Hapana
mimi nafikiri ndio imekua vizuri maana waki mmafia huyu mzee ndio itajulikana wazi nini kilifanyika.

Na huu kama kweli ni umafia basi nafikiri si kakundi kale kadogo ndani ya ccm kanako wakolimba watu.

Maana haka kakundi hua kako well organized hadi polisi na jinsi ambavyo kama kangekua kenyewe wala huyo shaidi wasingempa nafasi ya kuonekana ktk vyombo vya habari.

Hizi ni indecator ya kakundi kapya ka kimafia
 
clue ya mwisho ni wale vibaka walioiba vitu vingi wakasahau na simu pamoja na huyo mzee shahidi aliyeona si mtu mmoja aliye ndani ya gari.

kuna siku nakumbuka nilipata ajali mipira ya mbele ilipasuka,lakini ilichukua muda kweli wanakijiji kuja kunisaidia,hule mlio uliwatisha sana wao,walifikiri ni mlio wa risasi.

tukiendelea hivi hipo siku watakoma!

Hao vibaka kwani wao hua wamejiandaa siku zote ajali kutokea?? ingekua mjini hapo sawa.

Mzee anasema ukweli yule mtu wa tatu ndiye alitokomea na mshiko na vifaa.
 
Pundit.. usifikirie CCM (of course inaweza kunufaika zaidi) fikiria nini kilichoko Tarime that is worthy killing for.

The gold of course, and to make matters even more twisted Mr. Wangwe worked with Afrika Mashariki Gold Mines from 1994 to 1997, so he was some sort of an insider.
 
koo za Wachari na sio wa taarime??
Mbona mara nyingi tu zari linaamka Taarime sasa unataka kusafisha nini ? hili ndio tatizo letu ,kama wewe ni mtaarime je wamasai ama wakenya wanapokuja kutuibia zile ng'ombe zetu hua tunafanya dialogue ama ni filimbi linapigwa kila mmoja anachomoka ndani na mshale,gobore, mkuki tayari kwa vita.

Juzi tu zari limetimuka watu wakakimbilia kenya wewe unatoka taarime kweli?

Hey, muraa!! Taratibu msije mkagechana hapa JF!! kwi kwi kwi kwi kwi kwi.
 
Hao vibaka kwani wao hua wamejiandaa siku zote ajali kutokea?? ingekua mjini hapo sawa.

Mzee anasema ukweli yule mtu wa tatu ndiye alitokomea na mshiko na vifaa.

mzee ajazungumzia lolote la vibaka,hayo yalikuwa maelezo mallya,kutokana na maelezo ya shahidi wa kwanza ambaye ni mallya ni kwamba walikombwa vitu vyote na vibaka,lakini wakamuachia simu na bastola. mzee hata kama kutakuwa na kesi yeye atakuwa ni shahidi wa pili.

fikra zangu kuna huwezekano kwamba walikuwa wa3,lakini kulikuwa na gari ambayo ilikuwa inawafuatilia nyuma,kama kuna lolote walifanya kwa marehemu basi ulikuwa ni ushirikiano wa watu,ajali ilifuata baada ya kitendo.
 
zamani, habari zilikuwa zinatoka Polisi, zikichujwa na kuzungushwa; hili la Wangwe watapata kazi sana. Na walifanya jambo baya sana kumtaja kwa jina yule shahidi mzee aliyejitokeza hadharani. Wamuhatarisha sana.
Mwanakijij
mmh kwa kweli hadi inatisha,lakini mie kwa kuangalia tu picha ya yule kijana ata napata wasiwasi kama kweli ana miaka hiyo 27,pili kwa umri wa wangwe na yeye kuwa karibu kiasi hicho...mmh,bado tena naguna ndiyo wanaweza kuwa lakini marafiki hivyo chadema wasijuie wangwe alikuwa na rafiki yake kipendi aitwaye malya?Lakini tena sijui lipi ni lipi kwani wanapotoka DODOMA alikuwa anaendesha,tena wakarudi mjini,hapo tena haijulikani nani alikuwa anaendesha,na kwa mazingira ya safari ile na wangwe alivyokuwa na hali inayoelezewa na wanae,mtu yeyote mwenye akili timamu lazima ataconclude kwamba wangwe hakuwa dereva,maana kama alishindwa hata kunywa dawa tu au kuweka maji mwenyewe bafuni,halafu ajali pandambili..............mmh,labda siji ingekuwa karibu na morogoro huku tungesema kama alikuwa anaendesha wangwe basi alikuwa amechoka na dawa zilimlevya.
Hat hivyo wangwe tells the passenger kakae siti ya nyuma,alihisi nini?kuchoka tu kwa jamaa?afu tena jama siti ya nyuma kajifunga mkanda wangwe hakujifunga,afu damu ikawa kwenye kiti cha passenger.mmh! kwa mujibu wa malya tena wangwe alihama siti(kitendo hiki kilifanyika lini baada ya kuona tairi zimebust?yap sawa labda alikuwa akijaribu kujiokoa,sasa kama ndio hivyo ndio kusema aliachia usukani ili lijibamize kulia yeye akimbilie kushoto)sasa mwili ukakutwa kiti cha nyuma ulifikeje huko?mie kifizikia ningeelewa kwa kanuni za inertia kuwa wangwe alitakiwa au atupwe nje kupitia kioo cha upande wa kushoto au basi abamizwe na kubaki hapohapo kwenye hiyo siti ya abiria.
Nadhani mwanakiji hili na mengine ndiyo yanayowafanya watu kuquestion mazingira ya ajali yenyewe.Mwanakiji tell us please.Najua hutaki kufunua pandora's box but it suffices to know.
 
Watu wanaanza kuhusisha CHACHA na madini.

Ukweli wa Taarime hizo vurumai za BARRICK ni iniatives za wananchi na eti kumuondoa Chacha ndio aproach ya tatizo hilo ni karibu na uongo kubwa wa kujaribu kuhadaa watu kwa namna moja ama nyingine.

Maana tarime wanachagua mtu ambaye wanaamini ata support mambo yao na kama Barick ni msimamo wa wananchi basi kumuondoa chacha si soln maana wataweka mtu mwingine wa mfano huo. Hii ya kuhusisha madini na kifo cha chacha 99% ni uzushi.

Angalieni sababu zingine.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom