jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,381
- 25,476
Mzee MKJJ hii issue unajiumiza kichwa tu na pengine hata hao scotland yard ni upotevu tu wa pesa tu za walipa kodi.
Tuwaite scotland yard kwani kodi zetu haziwatoshi hawa mashushushu?
Kinachohitajika ni ukweli hapa...Pamoja na ushirikiano...Ukweli ni kuwa kama wana uwezo wa ku mtrain kijana hivyo basi wana uwezo wa kuwa na wachunguzi wazuri tu.
Kwa kuanzia..Ningependa kujuwa muda kamili wa marehemu kufa..Hilo ni swali la kwanza kwenye uchunguzi kama huu...Mara nyingi wanaangalia chakula alichokula na kufanya comparisions ili kuweza kutambuwa kama muda aliokufa ni saa ngapi.....Kujuwa muda wa mwisho aliokula kungeweza kuestimate kuwa alikufa muda gani kwa ku calculate food digestion time....Hapo ingesaidia sana kwani kama ni kweli ajali ilipangwa..Basi tutajuwa kuwa muda walioutaja kuwa ndio alikufa si kweli.
Hapo ndio tungeweza kujuwa pa kuanzia..Ili kujuwa kama alifia pale kwenye hiyo ajali ama la.
Pia possibilities za kuwa poisoned...Posibility ya huyo kijana kuwa trained kwenye issues kama hizo pia imalizwe na upimaji wa traffic issues...Mfano..je kulikuwa na jitihada za kupiga breki?
Je kama Tairi hizo zilipasuka...Distance a kutokea barabarani hadi hapo gari lilipotuwa ni reasonable?
Je umbali huo unaweza kukubaliana na hoja ya kupinduka huko mara sita?
Na pia MKJJ...Kunahitaji vipi Scotland Yard kwa kijana kusema nani alimtuma na ni shughuli gani walikuwa nazo yeye na marehemu?
Kweli kunahitaji wapelelezi wa nje kwa wao kutueleza kuwa kijana alikwenda huko Libya na vongozi wetu kama nani?
Kama haya maswali rahisi yangejibiwa kwanza...Then tungefikiria hao SY.
Pia kulinganisha na taarifa zote ili pale penye ambiguties pawe ndio pa kuanzia.
Pia bastola ni ya nani...Ilitumika?
Mara ya mwisho kutumika ni lini nk.
Kitendo pia cha kijana kumpigia baba yake simu mara baada ya ajali sambamba na viongozi wengine kinshangaza sana ukichukulia kwamba alitakiwa awe shocked na ajali hiyo badal ya kuwa kama vile hata hakuna kilichotokea zaidi ya tumatone twa damu na funguo za gari pia cellphone.
Kama huyu alikuwa na mafunzo yote hayo badala ya kuitumia bastola yake kwa kumzuia jambazi asichukuwe laptop na pesa..Yeye akabahatika kuachiwa simu yake.
Yani majambazi waache bastola na simu yake...Duh!