Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

Status
Not open for further replies.
Guys,
Binafsi sioni tatizo la haki kwamba ipo tu kwa baadhi ya watu wenye wadhifa fulani..Hata Yule Saadam Hussein aliponyongwa nilishikwa na hasira, huruma na mchanganyiko wa kuona kwamba haki haikutumika..Kwa hiyo sii kweli kwamba maadam Chadema walisema Chacha Wangwe alikuwa na Njama za kukiua chama ama kumwondoa Mbowe haina maana alistahili kifo na kwamba viongozi wa Chadema wafurahie kifo hiki badala ya kulia kinafiki.

Huyu kijana kusema kweli anaweka mashalka makubwa sana tena mimi baada ya kuona maelezo ya baba yake ndio kwanza nimezidi kumhofia zaidi..Huyu kijana alipomaliza shule ya msingi alihamia dar na akaweza kujisomesha jambo ambalo baba yake hafahamu aliweza vipi.. anachofahamu ni kwamba mwanae kajifunza mambo ya Komputa na msanii mzuri tu ktk uchoraji!..(hii ndio kamba kubwa ya majasusi wote kwa familia zao) Kama kweli huyu kijana alikuwa mchoraji iweje awe ktk msafara wa viongozi tena Ulaya Zurich ambako inasemekana aliacha pasi yake ndani ya ndege!..Yet, aliweza kubadilisha ndege kuendeklea na safari.. mhhhh!Aliweza vipi kuunganishwa na msafara huo kisha basi tunaambiwa tena alikwenda hadi Libya na baadhi wabunge hawakufahamu sababu ya huyo kijana kuwepo ktk msafara huo!..Hii ina maana aliweza kuingia Libya na kutoka bila pasi halafu akashuka Nairobi kukutana na sijui mtu gani kabla hajarudi Dar... Hee jamani kweli huyu mtu wa kawaida kama Mkandara hapa!

Kweli wazee hii imekaa sawa kwenu?
 
Guys,
Binafsi sioni tatizo la haki kwamba ipo tu kwa baadhi ya watu wenye wadhifa fulani..Hata Yule Saadam Hussein aliponyongwa nilishikwa na hasira, huruma na mchanganyiko wa kuona kwamba haki haikutumika..Kwa hiyo sii kweli kwamba maadam Chadema walisema Chacha Wangwe alikuwa na Njama za kukiua chama ama kumwondoa Mbowe haina maana alistahili kifo na kwamba viongozi wa Chadema wafurahie kifo hiki badala ya kulia kinafiki.

Huyu kijana kusema kweli anaweka mashalka makubwa sana tena mimi baada ya kuona maelezo ya baba yake ndio kwanza nimezidi kumhofia zaidi..Huyu kijana alipomaliza shule ya msingi alihamia dar na akaweza kujisomesha jambo ambalo baba yake hafahamu aliweza vipi.. anachofahamu ni kwamba mwanae kajifunza mambo ya Komputa na msanii mzuri tu ktk uchoraji!..(hii ndio kamba kubwa ya majasusi wote kwa familia zao) Kama kweli huyu kijana alikuwa mchoraji iweje awe ktk msafara wa viongozi tena Ulaya Zurich ambako inasemekana aliacha pasi yake ndani ya ndege!..Yet, aliweza kubadilisha ndege kuendeklea na safari.. mhhhh!Aliweza vipi kuunganishwa na msafara huo kisha basi tunaambiwa tena alikwenda hadi Libya na baadhi wabunge hawakufahamu sababu ya huyo kijana kuwepo ktk msafara huo!..Hii ina maana aliweza kuingia Libya na kutoka bila pasi halafu akashuka Nairobi kukutana na sijui mtu gani... Hee jamani kweli huyu mtu wa kawaida kama Mkandara hapa!

Kweli wazee hii imekaa sawa kwenu?

tunataka vijana kama hao, wabunifu wanaoweza kujisomesha kwa kuhangaika.
 
He he...Computer Business? Inanikumbusha movie ya True Lies.....
-Huyu Mallya ana umri gani, na hili jina la Deus Malya ni la kweli au ni cover name?
-kabla ya kupata hayo mafunzo ya ujasusi Libya alipata wapi basic training na alipelekwa uko Libya na serikali au mtu binafsi?
Ni jasusi(spy) au muuaji(Assassin)
 
Hii inamaanisha mafisadi wanaelekea kushinda au ndo mazingaumbwe?ndo maana nilisema kuiondoa sisi em ni mpaka nanihii,ila watanzania wakielimika na kupata uhuru wa habari ndipo kitaeleweka.Watanzania wangapi wana internet access? ,parcent kubwa ya Watanzani kila kukicha afadhali ya jana,looking fo dairlly bread?hii Gap between the have and havenot ndiyo inatutafuna
 
...
(3) Kiti kimelala kidogo hivyo kichwa kipo karibu na mahali fremu ya mlango inapopita.

Ukiangalia picha hiyo unapata picha hii:
- Kama alislide na kufika nyuma alikutana na ncha kali iliyosababishwa na kona ya nyuma kujipinda kuelekea ndani.

View attachment 1937

...Insurgent theory yako inangia akilini 99.9% kwani hicho kiti kimekaa sawia na hilo chuma la mlango wa nyuma lililopinda hapo nyuma ya kiti. Iwapo kichwa cha marehemu wakati wa Impact kilikutana na hiyo ncha 'kali'...

Observe; LH passenger loose seat belt!, huo mkanda unaonekana ulikuwa unatumika mpaka wakati wa ajali. Urefu wa Mheshimiwa (kwenye kiti) na angle ya hiyo ncha!.

Ukijumlisha na maneno ya yule babu kuwa walishindwa kumtoa 'marehemu' kwa mlango wa kushoto,...ina maana 'Mallya' ndie aliyekuwa dereva, kama pangekuwa na mtu wa tatu lazima naye angeumia vibaya sana/kufa kama angekaa kiti cha nyuma, bearing in mind, hapaonekani dalili ya rear seat belts.

Bado nadodosa kujua 'mkono wa kushoto' wa Mallya una siri gani nzito aliyoiona Mwkjj...
 
Paparazi,
Unajua mkuu hapa ni ujuha mtupu unaendelea hasa huyu Mrema sijui alichokuwa akizungumza ni kitu gani.. Wakurya kama Wazuru wakiwa ktk hali ya msiba huvaa nguo za asili na huimba nyimbo za asili hili halihitaji video ni sawa na kuuliza video ya Taarab ktk harusi za Mzenj, vibuyu vya mbege ktk msiba wa mchagga!.
Kama alivyosema BongoTZ, tusiwe tunahukumu vitu ikiwa hatufahamu jadi za watu. Huwezi kudai kwamba kulikuwepo na waislaam wengi ktk msiba kwa sababu watu walivaa vibandiko, hata Mrema mwenyewe huvaa ni asili ya watu wa pwani. Hata Waganda kanzu na koti ni vazi lao, haihusiani na imani yao ya dini.

Kama ni kweli hao vijana walikuwa na hasira basi inawezekana sana ilitokana na kifo cha Wangwe dhujaa wao kwa serikali. Hasira mabyo inampata kila mtu kuona kiongozi wake ameondoka kifo chenye chenye utatani. Na kuna uwezekano mkubwa pia serikali ilitaka Wangwe azikwe siku ile ile wakati wananchi wameisha ambiwa kwamba Wangwe hatazikwa hadi daktari wa familia kisha fanya uchunguzi wa maiti. Kuna ukweli ambao haupingiki kwamba kuna baadhi ya viongozi wa serikali waliotaka maiti izikwe hali sio jukumu lao kutoa maamuzi ya siku ya mazishi..Ni ajabu kubwa sana kuona serikali ikiingilia mazishi ya mtu hata pale familia ilipotaka kufanya uchunguzi wao binafsi bado serikali iliweka mkono wake hali maiti ilikwisha kabidhiwa familia..

Yote haya hamyatazamio isipokuwa wimbo umekuwa Mbowe, mkijaribu kila njia kuharibu jina lake.. Mbowe hawezi kuwa mjinga kiasi kwamba aanzishe vagi na wangwe kisha amuue, kama kweli alitaka kumuua wangwe basi asingesema kitu chochote zaidi ya kupanga mauaji na kutomhusisha yeye kwa njia yoyote ile...Ukitaza kwa makini utaona kwamba kama kuna mtu aliyetaka Wangwe aondoke basi bila shaka ni CCM kwa sababu Tarime ni wilaya inayotakiwa sana kiuchumi na Kisiasa. Uvumbuzi wa dhahabu sehemu hiyo ingekuwa pigo kubwa kwa serikalia ikiwa jimbo hilo litakuwa bado chini ya uongozi wa chama Chadema na Wangwe ndiye pekee kikwazo kikubwa.
 
Mimi sio mtetezi wa serikali wala Mallya naangalia kote.
- Kama mzee alimfungua mkanda akiwa kiti cha abiria then Mallya alikuwa anaendesha.
- Kama mzee alimfungua mkanda akiwa kiti cha dereva then inawezekana Mallya alimwamishia pale baada ya ajali kwani alikuwa mgonjwa na asingeweza kuendesha.
Kama ni ya kwanza, alilaza kiti hivyo kuuzuia mkanda kufanya kazi yake ipasavyo.
Mkuu FMES mimi kutoa hii theory hakumaanishi naitetea serikali hii ni theory bado hatujui ukweli.[/SIZE]


Hapa nimekuelewa mkuu, sawa sawa kuwa wote hatujui kilichotokea ila tunajaribu kupigana kwa thoeries, sina tatizo na hili!
 
mtanzania, nakubaliana na wewe ndio maana mwanzoni ningependa kweli kuona picha ya eneo hasa baada ya habari kuwa gari liligonga miti. Hiyo miti ndiyo ingetuonesha na kama imevunjika kwa sababu gari likigonga mti na mti ni mkubwa kanuni ya newton italisimamisha gari hilo hapo, hii miti gani iliyogongwa na gari kuendelea mbele kwa mita 50 unless siyo miti mikubwa?

Hiyo gari haijagonga mti wala kujigonga kwenye mti lol...!!!wataalamu wanaweza kuchukua tuparticles tudogo twa rangi na kudetermine lliligonga kitu gani...
 
Bob Mkandara

Nakubaliana na wewe kwa hayo uliyoeleza Mallya anatia mashaka sana. Ila pia, tujiulize kama haya tunayosikia ni sahihi maana media inajua kukuza na kupotosha mambo sana. My take ni kuwa hata kama angekuwa mtu wa systems asingeweza kusafiri kote huko bila kuwa na pasipoti.

Nina hofu kubwa sana iwapo Mallya atapata haki yake mbeke mbele ya sheria, jamii kwa kuwa influenced na media imeshamuhukumu kuwa ana lake jambo.

Swali linalonitatiza; inawezekanaje kijana wa miaka 27 aliyekulia kijijini na kuingia mjini anaweza kufanya yote hayo aliyoyafanya bila kuwa na "mtu/taasisi" ya kumshika mkono..!!!
 

...Kwangu mimi, WHAT IS MORE DISTURBING ni kauli ya daktari na kina Prof Wangwe kuwa marehemu aliumia sana kichwani, alipasuka fuvu na kusababisha ubongo kumwagika, LAKINI ukiangalia the BIG picha, kiti cha abiria wa mbele hakina tone moja la damu!!!

...ukiangalia shati jeupe la 'Mallya' kuwa na matone machache mno ya damu, na ukweli kwamba gari linapopinduka damu ya marehemu ingekuwa ingetawanywa huko na huko...
 
Mkuu FMES,

Najua wewe ni katika watu wenye uzoefu na magari na unaendesha masafa marefu. Kwenye gari kuna mambo chungu nzima yanayoweza kusababisha ajali. Lengo hapa ni kuelemishana kwa hoja na kukubaliana, wakati mwingine kukubali kutokukubaliana. Hakuna ambaye theory yake ni msahafu juu ya hili. Anayejua ukweli kamili ni Mallya na mungu wake. Binafsi simlaumu mtu akiamini tofauti na mimi na nitaheshimu huo msimamo wake.

Tatizo linakuja pale watu wanapoacha kujadili hoja iliyombele yetu na wanakimbilia kumtwanga risasi messenger.

Mkuu ni kweli kama ulivyosema, moja kati ya skills nilizonazo kikazi ambazo ninanzo nyingi ikiwa ni pamoja na kupiga muziki, ujuzi wa Engine Room kwenye meli, Criminologist, pia ni Professional Driver, kule US nilikuwa na leseni ambayo bado ninayo ya CDL Class A, yaani ninaweza kuendesha anything kinachotembea barabarani chenye magurudumu, na siku zote nilikuwa nina-deal na Trailer lenye mataili 18, nimewahi kuendesha USA nzima, ninaijua kila state, na Federal Highway ya USA, kuanzia mwanzo mpaka mwisho na nimewahi kufika katika kila mji wa US kwa kuendesha hilo mataili 18, yaani Tractor and Trailer,

My point ni kwamba kabla ya kupewa mataili 18 rasmi kama Operator, ni lazima uende darasani, na moja ya darasa muhimu sana katika hiyo course, ni ajali, yaani vyanzo vy ajali kwa hiyo Class A ukigongana na dreva asiyekuwa na leseni kama wewe, basi kisheria ni kosa la wewe Class A, kwa hiyo ninayo idea kubwa sana na ajali za gari, na ajali kubwa maana yake ni kupoteza leseni kisheria za kule US,

Ajali ya Wangwe, mara nyingi ni ishu mbili muhimu, na sisemi kuwa that was the ishu hapa, either Dreva alikuwa amelala au gari lilikuwa bovu upande mmoja, kwa hiyo huku ambako hakukuumia sana ndiko kulikuwa kuzima, ubovu ulikuwa upande wa pili, kulikoumia sana, kwa jinsi ninavyoliona gari hili ninaamini kwamba Mallya alipaswa kutoka na majeraha makubwa sana kichwani, na kinachonitisha sana kuilko yote na hii ajali ni gari jinsi lilivyoumia, watu wengi walioliona kwa macho, wanasema kuwa "limesukumwa", so far ninajaribu kulitafutia jawabu hili neno, bado sijalipata, na pia kuna utata mkubwa sana na maneno ya Mallya against Mzee aliyekuwa wa kwanza pale, ambaye ameshaongea kwa siri na watu wengi, habari yake inatatanisha sana na sitaki kuwa mzushi, kwa hiyo sitazisema sasa mpaka baada ya kuwa na ukweli wote,

Ninakubaliana na maswali yote anayouliza Mkulu MMJ, na maswali mengi yanyoulizwa na wananchi hapa, kuna wanotania na ninajua kuna walio serious sana kma mimi, hii ajali imeshani-cost hela nyingi sana za simu, na niko radhi kutumia anything zaidi, kupata ukweli kwa sababu Wangwe alikuwa kiongozi pia kama viongozi wengine wa taifa, tena alikuwa Makamu wa Mwenyekiti, nia yangu sio kutafuta mchawi, hapana kuna binadamu wengine huwa tunapenda challenge tu kwenye maisha na pia hapa taifa liko kwenye stake kubwa sana,

Kwa hiyo naomba unielewe kuwa sina nia yoyote mbaya, au natafuta ubishi tuu, hapana infact ninaheshimu sana Insurget alivyokuwa mstaarabu na hii debate, na ninaamini tutaendelea mpaka mwisho, maana hii topic bado sana, kila siku tunagundua mambo mapya,

tuendele na huu mjadala kwa sababu ni muihimu sana huu kwa integrity ya serikali yetu ya sasa, na pia uwezo wetu wananchi wa kufikiri nao pia upo at stake hapa, maana ninamini kuwa hii serikali inatupima pia ikiona tumeridhika haraka haraka na majibu mepesi mepesi, basi tutaona hizi ajali za viongozi wanaotaka mabadiliko kila siku, it got to stop bro, na laiti ungejua impact ya maneno yetu hapa JF huko mbele ungenielewa zaidi.

Ahsante Mkuu.
 
chacha1om4.jpg


Hapa inaonyesha impact imetokea nyuma na wala sio mbele. Uhhh Makubwa haya.
 
Ntasubiri. FMES ukipata habari kamali baada ya uchunguzi, please anzisha thread mpya maana hizi zimekuwa ndefu sana.

Mkuu Heshima mbele,

Kama nilivyoahidi, nitaziweka hapa hapa tena nikishindwa pia nitasema ukweli kuwa nimeshindwa lakni so far so good, ila siahidi time limit tu!

Ahsante Mkuu.
 
Jamani hebu naombeni mnisaidie maana kamili ya neno JASUSI, manake nakumbuka hata polisi walishawahi kudiriki kusema Jambo Forum ni ya kijasusi...!

Sasa nini maana kamili ya JASUSi? na Je Jasusi ni mtu au kitendo?
 
Mchongoma umesema vizuri kwa sababu kama ajali ilitokea kwenye hicho kiti cha abiria, na picha hiyo ilichukuliwa eneo la ajali, na kwenye headrest (kiegesha kichwa) hakuna damu iliyochuruzika kuelekea upande wowote, na gari liko upstanding na hakuna damu kwenye kiegama mgongo, laziima kuwe na swali Wangwe aliumia sehemu gani?

Habari mwanzoni zilisema kuwa alirushwa hadi kiti cha nyuma na yule kijana alisema kuwa kichwa chake kilikuwa kwenye magoti yake (suruali yake haina damu) lakini kuna damu nyingi kiti cha nyuma.

I really want to believe hii ni ajali tu, lakini picha hii inasumbua. Unless kuna mtu atuambie kuwa mara tu ya damu kuanza kutoka wakamtoa Marehemu toka kwenye gari.

another note: Hili gari liligongwa kwa nyuma upande wa kushoto? kwa sababu ukiangalia hizo picha utaona damage ni mbele upande wa kushoto na nyuma karibu na tanki... ilitakiwa moto uanze?
 
Ukiangalia hii picha kwa haraka haraka inaokena kuwa gari limebamizwa upande wa kushoto....impact ya kwanza ilitokea wapi mbele au nyuma...? Likely nyuma na ikaishia mbele...so Wangwe alikuwa amekaa kitu cha nyuma kushoto?

kuun apicha ya upande wa kulia, nyuma na mbele?

Katika eneo la tukio kulikuwa na debris za matairi baada ya mipira kupasuka, na jee kulikuwa na alama zozote kwenye lami kuonyesha dereva alikuwa anajaribu kucontrol gari?
 
Dua,
Mkuu nakubaliana sana na wewe kuwa impact imetokea nyuma upande huu wa kushoto na sio mbele wala kupinduka kumesababisha uharibifu huo hasa huko nyuma ni pagumu zaidi. Mnaozungumzia kuhusu frame hiyo iliyopinda mjue kwamba hiyo frame nmi ile inayoshikilia kioo cha nyuma, imepinda tu lakini inakwenda upande wa pili wa gari hili, nakumbuka niliiona ktk picha za Mnyika ambazo aliweka.
Hata kama alijigonga ktk frame hiyo basi damu zingekuwepo ktk head rest ama kiti hicho sio kiti cha nyuma na tena sidhani kama ni upande huu maanake damu haionekani. Kisha kama nakumbuka vizuri inasemekana damu zilikuwa kiti cha nyuma.. hapa hatuoni wekundu wowote..
Wakuu kwa kutazama gari hili sidhani kama tunaweza kuja na ushahidi wa kutosha hata kidogo..

Insurgent,
Kuna picha alizitoa Mnyika inabidi nizitafute na kuziweka upya!.. najua zipo ktk mada hii hii.
 
Jamani hebu naombeni mnisaidie maana kamili ya neno JASUSI, manake nakumbuka hata polisi walishawahi kudiriki kusema Jambo Forum ni ya kijasusi...!

Sasa nini maana kamili ya JASUSi? na Je Jasusi ni mtu au kitendo?


Mkuu kuna Thread za kuuliza maswali kwenye lugha.
 
Trace evidence can be found at crime scenes. It can be anything from strands of hair or skin cells to tool marks and physical (fracture) matches. Trace evidence can be used to identify a victim or suspect or determine how a crime was committed.



Hairs & Fibers

• Hairs and fibers may be transferred from the suspect or the suspect’s clothes to the victims’ and vice versa.

• A pedestrian struck by a vehicle may leave hairs and fibers on the suspect’s vehicle bumper or windshield.

• Carpet fibers can attach to a suspect’s shoes.

• Hair can usually be found on the floor near the weapon or point of impact between suspect and victim.

• Hair with roots may provide individual DNA evidence.

• Hair also has characteristics. There are 14 different elements that can be identified in a hair sample.

• Fibers are usually collected from clothing, carpeting, furniture, beds, and blankets.

• There are over a thousand known fibers, and several thousand known dye formulas.



Paint

• Paint can be transferred from one vehicle to another in an accident.

• A paint chip left at the crime scene can be used to determine the make and model of the vehicle it came from. Most paint evidence submitted to a lab will come from hit-and-run cases involving automobiles.

• Paint transferred from a window to a suspect’s tool in a break and entry can place that tool at the crime scene.

• Paint is examined with microscopy and several analytic instruments to determine its layer sequence, binder type, and pigment content.

• There are forty thousand different types of paint classified in a database available to police.



Explosives

• Powders and exploded/unexploded devices can be examined to determine what type of explosive may have been used.

• After the Bomb Squad makes sure a device is safe, they submit a sample of the explosive or the debris to the Trace Unit.

• These items are then analyzed with chemical spot tests and analytical instrumentation to determine their chemical make-up.

• This will identify which type of explosive was used.

• These results can then be compared to any evidence found in the suspect’s possession.



Glass

• In car accidents, fragments of glass can be embedded in a victims’ hair or clothing.

• In break and entries, suspects often get glass fragments on their clothing.

• Glass particles can be compared to particles collected from the crime scene to determine if they have a common origin.

• Glass tint, thickness, UV fluorescence, density, and refractive index can all be compared.

• If enough glass is present to reconstruct a pane, often the direction of the impact or sequence of impacts may be determined.



Dust & Dirt

• Can reveal where a person has been, where they live, where they work, and if they have pets.

• Alibi soil samples are taken in many criminal investigations.

• Most soil samples are from the top surface of the soil, and involve taking little more than a tablespoon.

• Pollen can reveal where a person has been (outside).



Firearms

• Includes ammunition, components and residue.

• Characteristics are examined to fins a match.

• Bullets are never removed from their holes. The whole surrounding surface is cut out.

• Bullets are usually never marked.

• Gunshot residue from the hand or face needs to be done within six hours, and a lab can compare it with target residue.



Fluids

• Semen, saliva or sweat can usually be found in spatters, drops or stains.

• It can be fresh, coagulated or in dried form.

• Each form has its own particular method of collection and preservation.

• Bodily fluids, such as vomit, can be found at scenes involving alcohol, drugs, and poisons.

• Cigarette butts may contain dried saliva

• Semen containing sperm is particularly valuable for DNA analysis

• Biological evidence must be transported to the lab quickly.



Blood

• There are 150 known proteins, 250 known enzymes, and many more antigens in blood.

• Investigators can often estimate the time a crime occurred from how dry the blood is.

• The shape of blood at the scene (pool, drops, stains, or splashes) can provides clues as to what happened.

• Recording the location and description of bloodstains is usually the most detailed part of crime scene photography, sketching, and note-taking.

• Blood evidence is frequently used to eliminate a pool of suspects.



Bite Marks

• Each of the thirty-two teeth in humans is unique due to age and wear.

• Bites can tell how quickly the offender subdued the victim.

• Bites can often be matched to dental records.



Headlamp Filaments

• In motor vehicle accidents, the officer can examine the headlights from a car in order to determine if the headlights were on at the time of the collision.

• The filaments in the light bulbs are examined for oxidation, hot stretch, cold breaks, rain bowing, and fused glass particles.



Shoeprints

• Footprints and footwear impressions and tire impressions are examined in the same fashion.

• Impressions can be three-dimensional when left in snow or soft soil, or they can be two-dimensional when a dirty, bloody, or other impression is left on a hard surface.

• Footwear impressions can lead to identification of a suspect because of the treads on the shoes that are worn down to each persons walking style. There may also be accidental scratches, nicks and cuts are left on the bottom of your shoe.

• Tires undergo the exact same changes making them unique as well.

• Questioned impressions from crime scenes can be photographed, lifted, or cast with dental stone to compare to suspect shoes or tires.



Physical (Fracture) Matches

• Comparison between two cut, broken, or torn objects to determine if they were part of the same object.

• When an object breaks, tape is torn, or something is cut, two unique edges are formed. These edges can be compared by the naked eye, and under high magnification to see if they fit together like puzzle pieces.

• If the edges fit together they are said to physically match one another. It can then be said that the two objects were at one time a single object.



Arson Debris

• Extractions and identifications are made using the gas chromatograph or the gas chromatograph/mass spectrometer.

• Analysis is typically for the presence or absence of petroleum products although other non-petroleum based accelerants may be identified.

• The presence of certain products can indicate that arson was involved.



Tool Marks

• When a tool is made and used, tiny nicks and chips begin to form.

• These nicks and chips characterize its blade and edges and pick up traces of substances it came in contact with.

• Tool marks can be found at break and enters, robberies and other crime scenes where tools where used.



Wounds

• Wounds can often be matched to weapons, tool marks on the weapon, or at least the weapon's size, shape, and length.

• Wound pattern analysis is a special technique that often provides clues.



Questioned Documents

• Everyone has a unique style of handwriting.

• Most computers and printers also have a unique printing style.

• Document examiners can establish similarities in handwriting, and computer forensics specialists can often determine the make printer used to type a document.



Miscellaneous Unknowns

• There are many different types of evidence or unknowns found at crime scenes which are submitted to the Trace Unit.

• The Trace Unit can determine what the items are or make a comparison.

• They can determine what types of chemicals were used or determine a type of dye from a suspect’s clothing.

• Lubricants and cosmetics can also be examined and compared.

• When a piece of evidence is brought to the laboratory and no other units are able to analyze it, the Trace Evidence Unit will often receive the evidence and attempt to identify it through the use of numerous microscopic and chemical analyses.

My Take:

Je tuna uwezo wa kufanya uchunguzi wa namna hii?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom