Kifo cha Dk. Reginald Mengi: Kuna nini nyuma ya pazia?

Kifo cha Dk. Reginald Mengi: Kuna nini nyuma ya pazia?

Wewe umethibitisha wapi kama sio yeye jackie ni muhusika ? Kwa nini mnapinga uchunguzi husifanyike , tunahitaji majibu ya kilichomuua Mzee that’s it , he was a public figure regardless Jackie ameusika au hajausika
faida na hasara za umasikini, utajadili kila kitu kilicho mbele yako, hata vile ambavyo havikuhusu.

my take : Tupambane tuukimbie umasikini.
 
Yeah.. Moshi alilia sana. Yani hadi sisi wambea tuliokua hatuamini amini mapenzi yake kwa Mengi tukaguswa. Nakumbuka mpaka na mimi nikaangusha chozi kuona Jack anamlilia vile Mengi
faida na hasara za umasikini, utajadili kila kitu kilicho mbele yako, hata vile ambavyo havikuhusu.

my take : Tupambane tuukimbie umasikini.
 
Uongo,Rita hakuachwa kwa Sababu ya kuzaa kwanza alishafika ukomo wa kuzaa , aliachwa kwa Sababu alikua anatembea na watoto wadogo ndio sababu aliachwa ilikua ukiwa na blackberry tu na unanukia vizuri unamla
faida na hasara za umasikini, utajadili kila kitu kilicho mbele yako, hata vile ambavyo havikuhusu.

my take : Tupambane tuukimbie umasikini.
 
Wewe utakua Mgeni JF , tafuta thread za Jackie na Mzee Mengi haya yote yaliletwa hapa kabla mzee hajafariki
faida na hasara za umasikini, utajadili kila kitu kilicho mbele yako, hata vile ambavyo havikuhusu.

my take : Tupambane tuukimbie umasikini.
 
Shida nayoiona hapa ni kwamba Jacky ni mtutsi na nyumba ikishaingia watutsi mwisho wake wewe mwenye boma wanakufukuza tyuuu. Ila hapa familia ya Mengi ifanye mambo hapana kucheka cheka na Chasaka maana watakula mabua
faida na hasara za umasikini, utajadili kila kitu kilicho mbele yako, hata vile ambavyo havikuhusu.

my take : Tupambane tuukimbie umasikini.
 
Haitambui kwa kuwa mwenyezi mungu atambui zinaa na zinaa ni haramu ndo mana katika uislamu tumeamrishwa kuoa wake zaidi ya wanne kama mtot akipatikana nje ya ndoa amepatikana kwa kuzini na uislamu aujamnyima hako umempa mamlaka mzazi wa kuandika mirathi na kuweza kumjumuisha mtoto wake wa nje kama ikitokea akafa bila kuandika mirathi mdo inakuja swala la mtoto wa nje kuto tambulika katika mali za baba ake
Zaidi ya wake wanne umeitoa wapi hiyo?
 
Katika dhambi ambazo waafrika wengi tumezishindwa na zitatupeleka motoni ni hii ya kusengenya ikifuatiwa na uzinizi kisha uwongo. Yani mwafrika hawezi kuacha kufanya mojawapo katika hayo ndani ya siku!
Idle mind unatarajia zifanye shughuli gani mkuu ?
 
Mwachieni baba wa watu apumzike….its clearly now hakuwa na furaha siku za mwisho,,,Jack staged everything that they are happily married...….mie nahisi alitoka kidogo akarudi akakuta mzee wa watu kashafariki.iweje kama couple mlale chumba tofauti,Jack weee..
Wewe mtaani kwako,una uhakika wanandoa wote wanalala chumba/kitanda kimoja ?
 
Mwachieni baba wa watu apumzike….its clearly now hakuwa na furaha siku za mwisho,,,Jack staged everything that they are happily married...….mie nahisi alitoka kidogo akarudi akakuta mzee wa watu kashafariki.iweje kama couple mlale chumba tofauti,Jack weee..
Hiyo weee ulivyoitamka nimechekaaa1[emoji849][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom