Kifo cha Dk. Reginald Mengi: Kuna nini nyuma ya pazia?

Kifo cha Dk. Reginald Mengi: Kuna nini nyuma ya pazia?

Imagine una mpa moyo wako mtu anaekula mhindi namna hii , kuna vitu vikikutokea usilalamike
58887053_361821934440494_539983589840626104_n.jpg
 
Yeah.. Moshi alilia sana. Yani hadi sisi wambea tuliokua hatuamini amini mapenzi yake kwa Mengi tukaguswa. Nakumbuka mpaka na mimi nikaangusha chozi kuona Jack anamlilia vile Mengi
Kumbe n ww ulihudhuria msibani Machame?
 
That's why I love Islamic Law.
Ukiona mali inaleta utata wa mirathi ujuwe si ya halali au warithi si wa halali.

Uislam raha sana, kwanza maiti azikwe kwa mali yake, pili ilipe madeni yake yote, itayobaki kama ni madeni au mali basi warithi watagawana kama ilivyoandikwa kwenye Qur'an, hesabu zake zipo wazi kabisa ndani ya Qur'an.

Urithi ni hata madeni, si mali tu. "Tajiri" Kama Mengi utakuta alikuwa anacheza na mikopo tu, sasa wacha warithi wagombanie madeni.

Tutaona muda si mrefu kila mmoja akijitoa kwenye mirathi.
 
Haha hao wakamata fursa wapo sana tu; mjane akijipendekeza tu imekula kwake
Kuna vijana wanajiita 'Tulizo la Wajane'. Kazi yao ni kujifanya wanamajooonzi sanaa na maliwazo laiiiiini wakipata fursa ya kuaminiwa, utasikia mjane kaowa. Taratiiibu huyo Tulizo la Wajane ataanza kujifanya ana mipango miiingi na ataanza kumtenganisha mjane na shemejize kwa kuibua bonge la varangati. Na kwa bibie bado damu inachemka pia ni dada wa kimjini, hawezi kujifungia na kuacha matukia ya kimjini yampite. Kubwa ni kusubiri na kuona kwa sababu yajayo huwa yanafurahisha.
 
Habari wana JF

Usiku huu katika pita pita kwenye twitter nakutana na baadhi ya tweet za Daudi T. Balali.

Kipindi kile cha kifo cha Dokta Mengi nilipata wasaa wa kukutana na mdada mmoja mnyarwanda. Katika kuongea naye aliniambia kwa kinyarwanda maana ya 'Ntuyabaliwe' ni 'hujaambiwa wewe'. Nilipomdodosa akaniambia kwa Rwanda wanapozaliwa watoto hupewa majina kutokana na siku na hali utakapozaliwa.
Mfano ukizaliwa wakati wa shida na kama wewe ni mhutu utapata majina ya kinyonge, matumaini, majina ya kukata tamaa n.k huo hakuna ukoo ukizaliwa unapata jina lako mpaka ufe mtoto wako anapata jina lingine

Kwa watutsi ukizaliwa unapata majina ya kifahari, majina ya kiheshima, majina ya makwezi. Hivyo wanajuana wanyarwanda kwa majina yao huyu ni mhutu au ni mtutsi.

Sasa nilipewa historia kidogo ya haya makabila mawili ya maziwa makuu ila yenye majinamizi makubwa. Mfano mtutsi yoyote hawaoagi mhutu vile vile na wahutu. Kama ikitokea mtutsi kaoa mhutu basi watoto watazaa kwa mtutsi.

Sasa najaribu kuunganisha doti kwa tweet hizo hapo je kuna jambo ambalo hatulijui linaendelea chini chini kwa familia ya Mengi..

AsanteView attachment 1096851View attachment 1096852View attachment 1096853View attachment 1096854View attachment 1096855
Wanaume wa dar. Mwanaume kabisa lkn unajua kuwa flani halali na flani chumba kimoja!? Na hao unaowaongelea ni mme na mke.
 
Kuhamishia mali kwa mtu ambaye hakuchuma ni discretion ya mwenye mali, ana uwezo wa kuamua kumpa yeyote mali yake kwa kadri atakavyoona inafaa katika wosia. Kwa ambaye hajaandika wosia, urithi unapewa kwa mwenye haki hiyo ambaye ni yule aliyeshiriki kuchuma au wale wanaomtegemea. Sasa kuna mantiki gani kuwapa wategemezi madeni, si watazidi kufilisika?

Kuna tofauti ya mgawanyo wa mali baada ya talaka na mgawanyo wa mali baada ya kifo.

Mgawanyo wa mali baada ya talaka unafanyika kwa mujibu wa kifungu cha 114 cha Sheria ya Ndoa, 1971, na hapo mgawanyo huzingatia mali ambazo zilichumwa baada ya ndoa, na mgawanyo huzingatia mchango wa kila mtu.

Mali zilizochumwa kabla ya ndoa hazihusishwi kwenye mgawanyo.


Pili, mgawanyo wa mali baada ya kifo, huzingatia wosia, au taratibu za mahakama kama hamna wosia.

Na kwamba, mwenza wa marehemu (mume au mke) ndiye anarithishwa mali bila kujali kama alichangia au alichangia.

Pia kama watoto in wakubwa pia wanapewa sehemu ya mali.

Probate and Administration of Estates Act na sheria nyingine pia za kidini na kimila pia hutumika
 
"Waswahili" wengi tunayajua hayo, soma post namba 16, labda wanaojifanya Waswahili lakini si Waswahili maana wengi utakuta lugha mama zao si Kiswahili halafu anajiona Mswahili, Kiswahili utakuta kaanza kukisikia anapoanza shule. Waswahili 100% ni Waislam na hayo yapo ndani ya Qur'an.

Ukoo wa Mengi na hata huyo mkewe mdogo si Waswahili. Kumbuka hilo.
khu khu khu ..... AISEE KUMBE WEWE NI MUONGO HIVI????
 
Ukiona mali inaleta utata wa mirathi ujuwe si ya halali au warithi si wa halali.

Uislam raha sana, kwanza maiti azikwe kwa mali yake, pili ilipe madeni yake yote, itayobaki kama ni madeni au mali basi warithi watagawana kama ilivyoandikwa kwenye Qur'an, hesabu zake zipo wazi kabisa ndani ya Qur'an.

Urithi ni hata madeni, si mali tu. "Tajiri" Kama Mengi utakuta alikuwa anacheza na mikopo tu, sasa wacha warithi wagombanie madeni.

Tutaona muda si mrefu kila mmoja akijitoa kwenye mirathi.
Ha ha ha ha ha mpenzi bwana..... Umenichenichekesha
 
Kwa hiyo unataka wote tuongozwe na sheria ya dini yako sio? [emoji22] Bado tupo kwenye maombelezo ya kifo cha Mengi na Kule Sri Lanka.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ya Srilanka waachie wenyewe, hawajaanza leo kuu wana hao, Hapa kuna Mengi ya Mengi.




Huo ni uzushi na uongo, weka ushahidi kama u mkweli. Halafu umeshasema "waislamu", usiunganishe makosa ya "waislamu" na mafundisho ya Uislam.
Unazuga hujui nani walio waua wa Kristo kule Sri Lanka siku ya pasaka? 😏
 
Inabid siku ukiwa na ziara ya Arusha tutafutane bhana tupige story,ila unakunywaga mapombe ya gharama usinitafute
Nakuja Arusha kwenye Akhwari Marathon.. sasa pombe ya bei rahisi ilikia savanna na nimeacha nahamia kwenye kubwa itakuaje sasa hapo ndugu?
 
Who knows? Naongea kutokana na experience, may be mengi Kafa kifo cha kawaida.

Ilaaaaa kwenye sheria kuna kitu kinaitwa causation!!!!!

Kwa kifo kama cha Mzee usione watu wana question mkasema ni wivu, kwani ni mtu gani tofauti na mwanafamiliya ya mengi anataka Mali za mengi.???

Msituchoshe as if tuna akili mgando lazima tuangalie mazingira ambayo Mzee Kafa

Walienda Zanzibar, Mara jack akasema watoto hawajaenjoy, waende Dubai (tetesi)

Kwenye msiba wa kibonde Mzee mengi alikuwa anashikiliwa, je yeye jack alipata wapi ujasili wa kumzuluza Mzee wakati anaumwa.

Usolijua ni usiku wa Giza, iko wazi kwamba Jacky asingeweza safiri mwenyewe kunfata mchepuko wake akamuacha Mzee ndani,

Alitumia akili tu waennde wote, akipata upenyo ndio hivyo tena.

Jack amekuwa faraja ya Mzee muda wote waloishi wote hiyo sio siri ila tukubali, kwamba Mzee hakuwa na uwezo wa kumtimizia haja zake za unyumba.(tetesi)

So ni rahisi sana kuwa na mpango kando.
Mzee kama yule hata stress ya kitu kidogo yaweza muondoa duniani.

Mzee Kafa kifo cha kawaida lakini ambacho kimesababishwa na stress sa mambo mengi.

Note. Wanawake tupunguze tamaa, unapendwa umepewa kila kitu lakini haturiziki, binafisi mwanaume akinitimizia mahitaji muhimu, lazima nimvumilie kwa hali yeyote.
Word.... Word......

Uliyosema yana make alot of sense now
 
Mzee hakwenda kuzurulishwa kama Mange anavyowaambia..

Mzee alienda kukutana na Investors ambao wangefanya Joint Venture kufungua kiwanda cha simu za smartphones Nchini..
Wote hatuwezi kuwa na akili kama za Mke wa askofu, si wewe amino hivyo
 
Back
Top Bottom