Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,508
- 6,892
Du, kama hadi na balozi alikuja kama muwakilishi wa nchi then na mimi naanza kupata mashaka ju ya kifo cha huyu taikuni na kama ni kweli pia TISS wanamlinda Jack badala ya police then Napata mashaka Zaidi. Angelindwa na police ningeelewa cause kazi No 1 ya police ni kulinda watu na mali zao, TISS ni tofauti kidogoNakunaliana na wewe kabisa niko nchi za kiarabu karibu miaka 26 wako sensitive sana kwa hii kitu ila kuachiwa kwa jacky anaweza kuachiwa baada ya makubaliani ya nchi mbili ndio maana balozi alikuja na maiti kama mwakilishi wa nchi ila kuna utata sana wa hili